Vijana wengi kwa sasa Tanzania wanajichubua kwasababu ya ubaguzi wa kifamilia na kijamii

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
3,764
2,000
Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii

Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi

Mweusi kama chungu cha mchawi

Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu

Una uzuri gani wewe mweusi kama mkaa!

Tatizo wewe ni mweusi sana yaani mbayaa

Ila jamaa wewe ni mweusi aisee sijui huko kwenu ulitokea wapi

Wazazi wako sisi ni weupe hata sijui ilikuaje tukakuzaa ww ukawa mweusi kuliko watoto wote

Wazazi na jamii kuonyesha mapenzi kwa watoto au watu weupe huku wale weusi wakiachwa tu unakuta mzazi anampenda mtoto mweupe na kuonyesha mapenzi ya waziwazi dhidi ya yule mweusi.

Jamii ya kitanzania inaongoza kwa kuwabagua watu weusi nazungumzia mtu ambaye ni mweusi yaani cheusi mangala

Huko mashuleni ndo usiseme na utani wa hapa na pale, ukigombana tu na mtu cha kwanza anaanza kukushambulia na ngozi yako kwanza kwenda huko ndo maana wewe ni mweusi, peleka weusi wako huko, lione leusi.

Mwishoni kaka wa watu au dada wa watu anaanza kujichubua tu, ubaguzi unauma sana asikwambie mtu bora hata kuuawa kuliko kubaguliwa au maneno ya ubaguzi
 

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
4,769
2,000
Halafu ungejua wanaume weupe wengi hua kwa wanawake mnaonekana watoto wa mama, majitu meusi kama mimi hua tunaambiwa tumekaa kiume , wanawake walio wengi japo sio wote walionekana kupenda rangi nyeusi kikubwa uwe nadhifu tu, mazoezi kiaina hapo kwisha kazi
 

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
4,769
2,000
Asa wanawake wengi wanavutiwa na wanaume weusi,

Mim ni mweusi, hayo manenu ya ubaguz yapo sana ila huwa sijali wala nini na madem wamekuwa wakinipa mbunye since grade one

Comment imefanana na yangu kiukweli mimi natumia non chemical kabisa na rangi yangu ni nyeusi lakini mtu mweupe enzi za ujana wangu asingeng’oa mzigo mbele yangu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom