tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania hakuna 4G? Hii tunayotumia ni 3.5G na tunadanganywa tu na makampuni ya simu?

    Je, ni kweli kwamba Tanzania hakuna 4g?hii tunayotumia ni 3.5g na tumedanganywa na makampuni ya simu? Wakuu nasikia hii 4g ya Bongo ni ya uongo na kwamba walichofanya wameleta tu 3g ya ulaya Marekani au China na kutuaminisha kuwa na ni 4G Wanasema hii 4g ya Bongo ni chenga tu na ni sawa na 3G...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaikopesha Tanzania Tsh. 2.3 trilioni

    Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mikopo minne yenye masharti nafuu yenye jumla ya dola za Marekani bilioni 1.017 (sawa na shilingi trilioni 2.3391) kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe...
  3. Saint_Mwakyoma

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya kula maisha Tanzania

    Maisha ya binadamu huwa hayana maana kama kumbukumbu za furaha zitazidiwa na kumbukumbu za huzuni, ili kupata furaha kuna njia nyingi sana mojawapo ni kutoka nje ya eneo ulilolizoea. Karibuni wakuu kushare locations kali mnazopenda kwenda kupunguza misongo ya mawazo au kupata happy moments na...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Akili yangu inazitafsiri hivi Tawala ( Awamu ) zote za Uongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

    Awamu ya Nyerere Ya Kujenga Misingi na Maadili mema ya Kuwakomboa Watanzania kutoka kwa Wakoloni na Kuzalishwa Kizazi cha Watu Werevu sana. Awamu ya Mwinyi Ya Kuharibu Misingi yote iliyowekwa na kusababisha nchi kuanza Kuyumba Kiuchumi huku Rasilimali nyingi za nchi zikinyakuliwa na Wachache...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    Balozi Malamula hivi karibuni ametoa kauli kwamba serikali inaandaa sera ili Tanzania inufaike na Diaspora. Mimi nadhani huku ni kupotezeana muda tu. Nilishalisema sana jambo la Diaspora humu ndani. Nilishaziponda sana point za Watanzania ambao wanadai kuwa tusiruhusu uraia pacha kwa kuwa watu...
  6. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wenzetu kielimu marks wametuzidi sana, hebu fananisha grading system ya South Korea na grade yetu

    South korea
  7. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kumsaidia Rais Samia katika kuirudisha Tanzania katika Misingi ya Haki

    Ni ukweli ulio wazi ya kua Nchi yetu pendwa Tanzania ilikuwa inadidimia kwa kasi katika ktk suala la haki za raia wake. Mathalani ilikuwa imekua vigumu kwa watu kupaza sauti zao hata katika mambo yaliyo wazi kabisa kama wananchi kunyanyaswa, wafanya biashara kuonewa, wafanyanyakazi kutoongezewa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali kutunga Sera ya Diaspora kabla mwaka kuisha

    WAZIRI wa Mambo ya Nje Balozi Liberata Mulamula amesema kabla ya mwaka huu kuisha Sera ya Nje inayojumuisha Sera ya Diaspora itakuwa tayari na hiyo ni kwa kutambua uhimu wa diaspora katika kuchangia maendeleo na masuala ya diaspora yanapewa kipaumbele. Ameyasema hayo Bungeni Jijini Dodoma...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuwa Boss Mashirika ya Umma Tanzania

    Mwaka 2016 nilienda Tanzania baada ya kukaa muda mrefu US. Rafiki yangu ambaye nilisoma naye Primary alikuwa ndiyo auditor mkubwa pale MSD hivyo bila mimi kujua aliongea na Managing Director kuhusu kupata watu wenye ujuzi na kampuni za kusambaza madawa kama MSD Wakati na maongezi yao yule...
  10. Skyblue

    JamiiForums Tanzania Nani mwanzilishi wa mtaala wa elimu yetu?

    Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa. Nimwaza sana juu ya elimu...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  12. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Mfumo imara huhitaji watu imara. Tanzania tuna watu wavivu walalamishi, waongo na walafi

    Tusidanganyane mfumo imara hujengwa na watu majasiri,shupavu na walio imara kwenye kusimamia sheria. je hao watu tunao? Mfumo imara hutegemea wananchi imara wenye kujua sheria na taratibu za nchi zao na hasa haki zao za msingi na iwapo sheria, taratibu na haki zao katika nchi zikivunjwa au...
  13. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Hati ya Kusafiria ya Tanzania (Passport) ina nguvu gani?

    Habarini wakuu, Naomba mtutoe tongo tongo hapa. Hati ya kusafiria ya Tanzania unaweza kuingia nchi ngapi bila visa na ni vema pia mwenye kujua hili akazitaja hata nchi zenyewe pia.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida gani Tanzania imepata tangu ianzishe uhusiano wa kidiplomasia na Israel?

    Wakati kukiwa na suala la kuanzisha uhusiano na taifa la Israel, wengi walitoa maoni kwamba msimamo wa kiitikadi wa Tanzania ni kutoshirikiana na mataifa ambayo yanakandamiza jamii fulani ya watu na kukiuka haki zao za binadamu. Na hata tulisema kiitikadi tunaunga mkono jitihada za Wapalestina...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Public Relations Officer (entry level) – 2 Posts at Bank of Tanzania (BOT)

    EMPLOYMENT OPPORTUNITIES. The Bank of Tanzania, an equal opportunity employer and Tanzania’s Central Bank, is looking for suitably qualified young Tanzanian citizens of high personal integrity to fill the following vacant positions at the Head Office, Dodoma, Sub Head Offices in Dar es Salaam...
  16. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 6 New Job Opportunities At Ifakara Health Institute, June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click on each job position below to read more details and apply: 1. Intern- ICT- (1 POST) 2. Laboratory Technician- (1 POST) 3. Field Interviewers- (3 POST) 4. Research Scientist- (1 POST) IHI is an equal opportunity employer. We prohibit intentional biases or discrimination and...
  17. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuilaumu Kenya na Mabeberu kwa matatizo binafsi ya Tanzania: 'We are paying the price of our own Wrongdoings!'

    Wasalauumu wakuu!! Uzi huu nilianza kuuandaa wakati Mama Samia anaenda Kenya, lakini sikuweza kuumaliza kwa wakati, nimeamua niuweke kwa sasa, japo muktadha wa sasa haupo kuijadili Kenya, ila itabidi niuweke kwasababu kuna mambo ambayo yapo relevant sana. Imekuwa ni kawaida sana hapa jamvini...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

    Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
  19. kirikou1

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania tuna waandishi wachunguzi na wachambuzi huru?

    Nimekuwa nikifuatilia ishu zinazoibuliwa mara nyingi labda na top leaders ndio inakuwa mijadala rasmi ya media. Mfano: leo gazeti la uhuru linazungumzia rushwa pale kariakoo, kuna gazeti moja nalo linazungumzia kuhusu aliyekua DC Hai. Yote ni baada ya viongozi kuibua taarifa wao ndio wanapatia...
  20. Ushimen

    JamiiForums Tanzania 80 New Job Opportunities At Bank Of Tanzania (BOT), June 2021- (Various Posts)

    JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: BANK OF TANZANIA (BOT) JOBS PDF FILE
Back
Top Bottom