Hamisa Mobetto apostiwa na page mashuhuri ya udaku Marekani (TheShadeRoom)

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Watanzania wote wako proud baada ya mrembo hamisa mobetto kupostiwa na page mashuhuri ya udaku marekani TheShadeRoom. Mrembo huyo amepostiwa kama ndio girlfriend mpya wa mwana muziki na billionaire Rick Rose.

Baada ya page hiyo mashuhuri kumpost inaonekana hadi warembo wamarekani wameanza kumuonea wivu Hamisa Mobetto.

Shukrani sana Hamisa kwa kuifikisha Tanzania uchumi wa juu bila wewe tusingefika huko. We're proud of you 🥳🥳😇🤩




2021_06_20_12_17_29~2.jpg
2021_06_20_12_17_34~2.jpg
 
Back
Top Bottom