tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kamati ya sera ya fedha yaridhishwa na utekelezaji wa sera ya fedha nchini na mwenendo wa ukuaji wa uchumi Tanzania

    Saa chache zilizopita kupitia kurasa zake katika mitandao ya kijamii, Benki Kuu imetoa taarifa ya Kamati ya sera ya fedha ambayo kazi yake kubwa ni kufanya tathmini ya utekelezaji wa sera ya fedha na mwenendo wa uchumi. Chini ya Rais Samia Suluhu ukuaji wa uchumi wa Tanzania imeendelea...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza

    DUA KWA VIJANA WETU Leo Jumamosi Agosti 6, 2022 Tanzania inatupa karata zake nne za mwisho katika Michezo ya 22 ya Jumuiya ya Madola inayoendelea jijini Birmingham, Uingereza, wakati mabondia wake Wawili na wanariadha idadi hiyo hiyo wakiingia dimbani kupambania medali. Kwa upande wa ndondi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania MAMVI tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona kimya?

    Siyo siri mzee mamvi tumemmiss sana kwenye siasa za Tanzania, kulikoni? Nani ana taarifa zake za hivi karibuni? Je ameamua kukaa kimya au ameamriwa kukaa kimya?
  4. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania

    Mshahara wa Rais wa Kenya ni mara 3 zaidi ya Marais wa Misri na Nigeria na mara 4 zaidi ya Rais wa Tanzania. Kuna ukweli hapa?
  5. Diversity

    JamiiForums Tanzania KWELI Tanzania yaingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000

    Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000. Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
  6. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC mmeionaje?

    Watu wa Soka, Jana Agosti 4 katika Siku yetu maalum ya BIG DAY tulicheza mechi ya kirafiki na klabu ya Zanaco FC kutoka Zambia na tukaibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri (1-0) katika dimba letu la nyumbani la LITI (zamani Namfua). Tumelinda heshima ya nchi lakini pia tumeisitiri sherehe...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Afrika Kusini zaja na tamasha la msimu wa utamaduni

    Mkurugenzi wa Sera na Mipango Bwana Haji Janabi (kushoto) akiongea na wajumbe wa Kamati ya Maandalizi kutoka Tanzania na Afrika Kusini katika kikao awali kufikia kwa maandalizi ya Tamasha la Msimu wa Utamaduni wa Afrika Kusini nchini Tanzania ambalo linatarajiwa kufanyika kuanzia mwishoni mwa...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania nafukia migodi yote

    Hakuna haja ya kuchimba madini kama bado tunayapeleka kama kipindi cha ukoloni, hata kipindi cha biashara na waarabu wazee wetu walichimba na kuuza madini yakiwa yameshachakwatwa. Mimi binafsi naona Serikali ingekazia kwa miaka kumi katika sekta zifuatazo -Elimu- kuzaliaha wataalamu na kuwauza...
  9. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tasnia ya Mpira wa miguu Kenya Vs Mpira wa miguu Tanzania

    Katika Afrika Mashariki ,watu wengi hupenda huu mchezo Kwa ranki za kimataifa Afrika mashariki kwa timu ni uganda inayoongoza,ila kwa vilabu bado soka la Tanzania lina ushindani mkubwa , uwekezaji na wafatiliaji wengi kuliko nchi zote.Kwa upande wa Kenya mambo bado si mazuri inahitaji nguu kubwa...
  10. Dokta Uchwara

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ni nani haswa Tanzania?

    Huyu anayeitwa Nape anaonekana ana uchungu sana na hii nchi. Sijui ndio uzalendo? Nimekuwa nikimfuatilia tangu kipindi cha awamu ya nne alipokuwa anabwata majukwaani kwa matusi na mbwembwe za kisiasa. Alipofyekwa na kuondolewa serikalini katika kipindi cha Magufuli, alionekana kujawa na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Within a fraction of a minute everybody is desparate to live in Tanzania

    Wananchi wa kawaida wanalalama kupanda bei ya vyakula. Bashe anasema hatafunga mipaka hata kama kilo ya unga itafika buku tano. Kila mtumishi wa umma anawaza kupiga dili ili ajilipe. Gharama na ughali wa maisha unazidi kupaa mithiri ya mwewe anavyokwapua vifaranga. Mkuu wa nchi yupo busy na...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Nafurahi kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi lakini...

    Karibuni kwenye huu mjadala. Kwa miaka ya hivi karibuni tumeshuhudia kuona ligi ya Tanzania ikikua kwa kasi saaana, yote ikichagizwa na azam media kongole kwao kwa udhamini mnono. Tumeshuhudia timu Kama Simba, Yanga, Azam wakiwa na uwezo wa kung'oa wachezaji tokea mataifa makubwa tena wakiwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu nchini Tanzania

    ELIMU NCHINI TANZANIA Mwandishi: Shida Masuba 1.0. Fasili ya Elimu Kwa mujibu wa sera ya Elimu na Mafunzo (2010:1) inafasili elimu kuwa ni “mjumuisho wa maarifa na stadi za kujitambua na kukabiliana na changamoto zilizopo katika mazingira na mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi, kisayansi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  15. Sijali

    JamiiForums Tanzania Why Tanzania can't have 12 solar power farms?

    Solar technologies convert sunlight into electrical energy either through photovoltaic (PV) panels or through mirrors that concentrate solar radiation. This energy can be used to generate electricity or be stored in batteries or thermal storage. Many countries in the world have adopted the...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la habari Tanzania (MCT): Uhuru wa vyombo vya habari nchini unaimarika

    Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa taarifa ya tathmini ya uhuru wa vyombo vya habari nchini kati ya kipindi cha mwezi Januari hadi Juai 2022. Taarifa hiyo imeeleza kupungua kwa kiasi kikubwa kwa matukio ya ukiukwaji wa haki za waandishi wa habari ukilinganisha na miaka iliyopita...
  17. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kwanini vijana wa Tanzania wenye ndoto za kupata fursa za kiuchumi, elimu, kujitolea katika nchi za Umoja wa Mataifa huishia kutapeliwa

    KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA? Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
  18. wanzagitalewa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kampuni ya Yapi Merkezi kuchunguzwa kwa rushwa na kuingilia mambo ya ndani Tanzania

    Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Arioglu anatuhumiwa kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa mradi wa SGR huku akiwatendea visivyo...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Product Delivery Manager Job at BRAC Tanzania Finance LTD

    Job Overview Product Delivery Manager Dar es Salaam BRAC Tanzania Finance LTD It is the largest microfinance institution in Tanzania in terms of branch network, active borrowers, and loan outstanding CAREER WITH BRAC TANZANIA FINANCE LTD BRAC is one of the world’s largest development...
  20. M

    JamiiForums Tanzania kutolewa kwa ela za field (HELSB) baadhi ya vyuo vikuu Tanzania inaumiza wanafunzi wa hali ya chini (watoto wa wakulima)

    Bodi ya mkopo ya elimu ya juu hutoa mikopo kwa wanafunzi wenye vigezo na sifa zinazo stahili kupokea ambapo fedha hizo hujumuisha Ada , field, book and stationary na research ambapo kama mwanafunzi akibahatika kupata vyote huwa ni nafuu kwa mzazi. Lakini mwaka huu 2022 kwa wanafunzi wengi wa...
Back
Top Bottom