Tanzania yaanza udhibiti wa Ebola mipakani

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
572
2,553
Serikali ya Tanzania imeanza kuimarisha mifumo ya ufuatiliaji katika mipaka ya nchi na viwanja vya ndege kupitia mikakati sita ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola uliotangazwa nchini Uganda jana usiingie nchini.

Jana Uganda ilitangaza mlipuko huo baada ya watu sita kufariki huku mgonjwa mmoja vipimo vya maabara kudhibitisha kuwa anaugua ugonjwa huo katika Wilaya ya Mubende iliyopo katikati ya nchi hiyo.

Akizungumza na Mwananchi leo Septemba 21, 2022 Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Aifelo Sichwale amesema wamepitia tahadhari zote na kuamsha utavari na mifumo na ule wa majibu kwa kuangalia utayari wake wa kufanya kazi.

Chanzo: Mwananchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom