GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,176
Leo natabiri mapema hapa kwa niliowaona wa kule Angola na wa Sudan ama Mafahari Wawili Wakatolewa ( Wakafurumushwa ) Wote au Mmoja wao tu ndiyo akabahatika Kufuzu Kundini lakini siyo Wote kwa pamoja ( kama Mafahari ) ndiyo watapita.
Wengine tumeumbwa kuwa Wakweli halafu tuna Macho ya Kimpira ambao kwa Levels zetu tumebahatika Kucheza hivyo tukisema Jambo kutokana na Macho yetu Pevu ya Michezo na Kiufundi huwa tunamaanisha na tuna uhakika nayo.