tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kampuni za simu na huduma stahiki kwa wananchi

    Kuna kitu inabidi tujiulize kuhusu makampuni ya simu na huduma tunazostahili kupata kutoka kwao, huduma ambazo ni haki yetu kupata na wala hatupewi msaada. Shida inatokea pale watanzania wapoona makampuni haya ya simu yanatuhurumia kutupatia huduma hizi na kwamba bila ya huruma yao basi huduma...
  2. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Tanzania na Siasa za Kenya

    Tanzania ni nchi kongwe katika Ukanda wa Afrika na Afrika Mashariki, Tanzania ina mchango mkubwa katika ustawi na usalama wa nchi za Afrika Mashariki na Kenya ikiwepo. Urafiki wa Tanzania na Kenya ni wa muda mrefu na urafiki huo umechanganyika kwa udugu wa damu kutokana na kuoleana jambo...
  3. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League Yanga 2- 1 Polisi Tanzania 16/08/2022

    Leo tena Mabigwa wa nchi, FA na Ngao ya jamii timu ya Yanga inaanza rasmi mbio za ubigwa wa ligi kuu Tanzania Bara. Leo majira ya saa 10:00 jioni macho na masikio ya Watanzania yataelekea huko jijini Arusha, Yanga watakipiga na Polisi ya Tanzania Mchezo huu huenda ukawa na ushindani mkubwa...
  4. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania SMB Sales Executive -Highland Zone at Airtel Tanzania

    SMB Sales Executive -Highland Zone Airtel Tanzania PLC wishes to recruit for a SMB Sales Executive -Highland Region. The role reports to the SMB Channel Manager in Enterprise Business Department. He/She will be responsible to Acquire quality business customers to contribute towards the...
  5. F

    JamiiForums Tanzania NEC igeni Mfano wa IEBC ya Kenya

    Tarehe 09.08.2022 taifa la Kenya lilifanya uchaguzi mkuu ili kupata viongozi mbalimbali wa taifa hilo. Upigaji kura ulifanyika vizuri kwa amani kwa mujibu wa waangalizi wa Kimataifa, kwa muktadha huo naipongeza IEBC yenyewe, serikali na police wa Kenya kwa kutekeleza majukumu yao vizuri. Jambo...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  7. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania haipaswi kuendelea kuitwa nchi Maskini

    Kwa ujumla, umaskini ni ile hali ya kukosa mahitaji muhimu kama chakula, maji, makazi, huduma za afya, na elimu.I'm Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) ikishirikiana na Idara ya Kuondoa Umaskini ya Wizara ya Fedha na Mipango mwaka 2017 – 18 unaonyesha kuwa...
  8. ankai

    JamiiForums Tanzania Ushindani kati ya ngoma za Nigeria na ngoma za Kibongo

    Ni nyimbo gani ya kibongo ambayo kwa sasa tunaweza kuishindanisha na Buga ya kizz Daniel katika kipindi hiki ambacho Buga imetoka maana naona wabongo wengi wanalalamika kuwa hii ngoma inapendelewa emu niambie ni ngoma gani ya kibongo tunaweza kuishindanisha na Buga ya Kizz Daniel.
  9. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa Tanzania ku-overtake kwenye mstari ulionyooka au alama za wavuka kwa miguu sio maajabu kweli?

    Mara kadhaa nimeona magari yenye utambulisho Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania na ule wa jaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kuzipita gari nyingine wakati alama ya barabarani hairuhusu. Pia, kuzipita gari nyingine kwenye alama ya kuvuka barabara watembea kwa miguu. Je, kama majaji hawa...
  10. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Mnaobeza mafanikio ya Awamu ya Sita, zungukeni Tanzania muone mafanikio ya Serikali ya Rais Samia katika utekelezaji wa miundombinu

    Kuna watu kazi yao wamekuwa ni kupinga na kubeza mafanikio ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluh Hassan, yawezekana wanatumia uhuru wao wa kutoa maoni kikatiba au wameamua kupinga kwa sababu kazi yao ni kupinga bila kutambua hatuna Tanzania nyingine zaidi ya hii tunayoishi...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Taasisi za haki za binadamu ziangalie vimaneno dhidi ya mchezaji mzungu kutoka Simba, Tanzania haijawahi kuwa na ubaguzi wa rangi

    Naona kama huyu ndugu hatendewi sawa, na ni kama vile inaelekea katika hali ya kubaguliwa na kinyanyaswa kwa rangi yake na asili yake. Taasisi za haki za binadamu zitoe angalizo kwa watanzania na wadau wote wa michezo ....waende nalo kwa tahadhari, na ikibidi, watakaoendelea, Tume ya haki za...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu likumbuke Taifa langu la Tanzania

    Hata kama vifijo na chereko vikiwa na kelele ya mawimbi ya bahari bado kuna kilio ktk mioyo ya watanzania. Jambo sio zuri lina andaliwa katika usiri na wanao ulio tupa macho ya rohoni nakutupa ona siri ambazo wengine hawakuwahi kuziona ama kuzisikia tuna piga magoti na kukuomba utuokoe ktk giza...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, kwa miaka 8 watanzania wameagiza magari 561,875

    Wakati namba D ikielekea kuisha tujikumbushe idadi ya magari yaliyoagizwa chini ya namba D. Kwa mfano, Namba T100DAA, ili kubadilika na kua T100DAB inahitajika magari 899, herufi ziko 25 kutoa herufi I. Hivyo kubadili herufi moja inahitajika magari 899 mara herufi 25 unapata magari 22,475...
  14. Jackbauer

    JamiiForums Tanzania Meli ya Kijeshi USS HERSHEL - Woody Williums kutoka Marekani kufanya ziara ya siku tatu Tanzania

    Ni katika harakati za kuimarisha uhusiano wa kiulinzi meli hii kubwa ya kijeshi kutoka USA inafika bandari Salama ikiwa ni zaidi ya muongo mmoja kutokea kwa tukio hili.
  15. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Eneo kama hili lipo wapi Tanzania ili nikaishi?

    •••••••••• NB. Mdau unataja maeneo ya huko kwenu kuwa yanafanana na hapo juu, tatizo hautupii na kapicha kwa kumwaminisha Tomaso. • Usiseme Marangu, Lushoto, Bukoba, Kyera au sijui wapi huko, please tuwekee na picha wengine tupo serious tukaishi eneo hilo.
  16. Mnyuke Jr

    JamiiForums Tanzania Fikra zangu juu ya mpira wa Tanzania

    MIMI SIYO “MZALENDO” Napenda kumshukuru Mungu wangu kwa kunikirimu afya njema bila ya kumfanyia chochote cha maana. Hiyo ndiyo maana kubwa ya neema kwa jinsi ninavyoelewa mimi. Ahsante sana Mungu wangu kwa neema hii. Naweka msisitizo katika neno “wangu” kwa maana kila mtu ana imani yake juu ya...
  17. Mtini

    JamiiForums Tanzania Kikwete wa Kenya na Kikwete wa Tanzania ni watu wawili tofauti

    Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya. Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania

    Emmanuel Mpawe Tutuba Permanent Secretary Ministry of Finance and Planning, Tanzania . the theme, Achieving Climate Resilience, and a Just Energy Transition for Africa, was chosen to provide a framework for the governors of the Banks to share their experiences and engage in addressing climate...
  19. Nyaganilwa N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uchumi Tanzania

    Nianze kwa kutoa pongezi na shukrani za dhati kwa serikali ya awamu ya sita (6) ikiongozwa na Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kupambana na hali ya uchumi wa nchi yetu kila siku. Ningependa kujikita katika sekta ya uchumi maana ndiyo inayopambaniwa sana kwa sasa ,Kama mwananchi mwenye...
  20. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Mei 7, 1919 Vita ya Kwanza Duniani ilituharibia sana, Tanzania tungekuwa mbali sana

    Mimi sio mtaalamu wa historia, ila kwa historia yangu ndogo niliyopata O-level ninaamini Tanganyika chini ya Ujerumani ingekuwa Taifa kubwa sana hapa Afrika zaidi ya hapa ilipo leo. Waliotuharibia walikuwa Waingereza waliokabidhiwa taifa leo. Hatukupaswa tuwe marafiki na waingereza. They were...
Back
Top Bottom