tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. U

    JamiiForums Tanzania Nani Rais bora Tanzania?

    Habari wanajamvi . Naleta mada tajwa hapo juu tujadili pamoja kwa hoja. Nikianza na Raisi wa awamu ya kwanza huyu alikuwa muhimu sana kwa kuwa tanzania ndo ilikuwa inajenga msingi. Ukiangalia kiufundi msingi wa Tanzania ulijengwa kwa tope na kupakwa rangi. Nasema hivo kwa sababu baada ya...
  2. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapata faida gani kama TAZARA itajengwa kwa kiwango cha SGR?

    Katika ziara ya Rais wa Zambia nchini Tanzania, Mh Hakainde Hichilema July 2, 2022, yeye na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania walikubaliana kufufua ujenzi wa reli ya kihistoria ya TAZARA kwa kiwango cha ‘Standard Gauge Railway’ (SGR). Reli ya TAZARA ina urefu wa kilomita 1,860...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Madola 2022: Tanzania yajihakikishia medali, Bondia aingia nusu fainali

    Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza. Kutokana na matokeo hayo, Tanzania imepata uhakika wa medali katika michezo hiyo. Kabla ya hapo, Changalawe...
  4. EGF

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania inavyopiga hatua kiuchumi katika sekta mbalimbali

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Shughuli hizo ni pamoja na uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali. Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au Dunia. Kwa kipindi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa bei za mafuta nchini Tanzania limekuwa tatizo na changamoto kubwa kwa wananchi imetokana na vita zinazoendelea nchi za Ulaya

    Kila kukicha Serikali imeendelea kutangaza mfumuko ya bei ya mafuta mpaka sasa kwa mkoa wa Dar es salaam lita moja ya mafuta ya petroli inakaribia elfu tatu miatano, miezi iliyopita bei za nauli ziliongezwa ili kuendana na mfumuko ya bei ya mafuta. Vita zinazoendelea kati ya Urusi dhidi ya...
  6. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    TAARIFA KUHUSU BIMA ZA WAGOJWA KUKATAA KUWA AUTHORISED KWENYE MFUMO Utaratibu wa mfuko wa NHIF umebadilika ili kuzuia polyvisit za wagonjwa pamoja na polyservices zingine za wagonjwa wetu Kuanzia sasa mteja atakua na nafasi ya VISIT 3 TU KWA MWEZI kwa kituo husika na mteja hawezi kujiamulia...
  7. The Festival

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utamu wa ngoma...

    Nawasalimu ndugu zangu popote pale mulipo🤝🏽. Nina matumaini ni wazima wa afya, na kwa wale waliopata mtihani wa maradhi basi tunawaombea siha njema kwa MwenyeziMungu (Mtukufu, Aliye juu, Aliye mkuu). (Picha kwa hisani ya: Gift of Herbert J. Harris, 1986) Hii ni ngoma ya kijiji chetu. Kila...
  8. bahati93

    JamiiForums Tanzania New World Order on horizon: Je, Tanzania tutapatia this time around?

    Mbiiu la mgambo lishaliaa. Tarumbeta la parapanda lishalia.. Je watanzania tupo kuingia chaka kwa mara nyingine tena? Hapa naongelea tuwe wapambe wa masuperpower wapi wale wa west au wale wa east? Lakini kabla hatujachagua tukumbuke mkenge tulioingia Kwa kumfwata mrusi, aka msovieti kwa...
  9. Jesusie

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ametupia moto unaowaka kwenye nyasi kavu, Tanzania Royal Tour Rally sasa kutumia helikopta

    SHAKA ANENA RAIS SAMIA AMEWASHA KIBIRITI KWENYE NYASI KAVU KUIBUA FIKRA KWA TAIFA JINSI YA KUIMARISHA UTALII, KUKUZA UCHUMI NA HISTORIA YA NCHI. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi wa chama na serikali kuwashirikisha...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na ugumu wa Maisha, Tanzania ni moja ya nchi zenye vijana wasiojitambua kwa kiwango kikubwa

    Nipo Sehemu X Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23. In short vijana 80% Ni brainwashed Sana Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani. Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
  11. Willima

    JamiiForums Tanzania Mtanzania unaijua pensheni ya Rais anapostaafu?

    Kama ilivyo kwa nchi jirani ambazo zina utaratibu wa kujulisha wananchi wao utaratibu wa utoaji wa mafao ya pension kwa Marais wao wastaafu, jambo ambalo ni tofauti kwa nchi ya Tanzania. Kwa Tanzani pension ya Rais imekuwa ni siri ya Serikali. Kwa mfano nchi ya Kenya imewajulisha wananchi wake...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo katika Sekta ya Elimu Tanzania

    Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wawili wa Tanzania washikiliwa DRC kupisha uchunguzi wa mauaji ya raia

    Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa amewaambia waandishi wa habari kuwa askari walinda amani wa MONISCO waliokamatwa siku ya jumapili ni kutoka Tanzania, wamekamatwa kupisha uchunguzi wa mauaji ya waandamanaji raia wa Congo. Tangu kuzuka kwa maandamano ya kupinga walinda amani nchini DRC askari...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Uteuzi zieleze sababu zinapowatumbua wateule

    Tunawaombeni jitahidini sana pale mkiwa Mnawatumbua Wateule Wenu basi muwe pia mnatueleza na sababu Kuu za Kutumbuliwa Kwao kwani hii itasaidia mno katika dhana nzuri ya Transparency and Accountability na hata kuwa ni Funzo kwa wale Wateuliwa wapya.
  15. Dibwi Method

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kutozingatia utaalamu, chanzo ukosefu wa ajira kwa wasomi Tanzania

    Na Dibwi Tafiti mbalimbali duniani, zimeonyesha Bara la Afrika na Asia kuongoza kwa kuwa na utitiri wa Mashirika na Taasisi nyingi hasa zile za Umma, kutozingatia suala la kuajiri watendaji walio na elimu, utaalamu na uzoefu mahususi kwenye nafasi husika kwenye maeneo ya kazi. Hali hii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Je, maadhimisho ya siku ya wakulima, maarufu kama nanenane yana tija yoyote kwa wananchi wa Tanzania?

    "Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, ametangaza rasmi kurejea kwa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima, Wafugaji na Wavuvi maarufu kama Nane Nane kwa mwaka 2022. Waziri Bashe amesema baada ya timu ya Wizara kupitia na kubuni namna bora kulingana na mazingira ya sasa ya namna bora ya kuendesha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme (Samico Tanzania) aomba pambano na Mandonga, ashusha bei za ufundi kwa wateja wa Jamii Forums tu

    Watu wote ambao mnahitaji fundi makini kwa bei nafuu sana, Fundi Umeme na ujenzi SAMICO kashusha bei kwa OFA. OFA Inaitwa Jenga kwa elfu 50 kwa chumba! Hii ni ofa kwa watu watano tu mwezi wa nane! (Kila chumba kwenye nyumba yako tutachaji elfu 50 tu kufunga kila kitu hadi kukabidhi)! Ofa hii...
  18. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rekodi Mpya: Tanzania avuliwa taji la gharama nafuu za Internet, Kenya ndie bingwa mpya East Africa

    Hongereni majirani, kwa sasa nyie ndio mnaoongozea kwa cheapest internet in East Africa. Well, kwa huku kwetu TZ gharama zimepanda sana, kwa sasa GB 1 ni 1,861 sawa na shilingi yenu ya kenya 94. Youtube views za miziki yetu zilivyo drop ni kithibitisho tosha,
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Taifa huru gizani

    TAIFA HURU GIZANI (TANZANIA) Chanzo cha picha: Vectorstock. Taifa ni jumla ya watu wanaojitambulisha na eneo, lugha, rangi na mila, kwa ujumla ni nchi. Neno taifa linatokana na Kilatini natutio likimaanisha kuzaliwa, watu (kwa maana ya kikabila), spishi au darasa. Taifa lina sifa ya...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwenye orodha ya Wakuu wa Idara za Halmashauri na Majiji nchini Tanzania

    Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali. Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
Back
Top Bottom