Tigo Tanzania ni wezi kama wezi wengine tu

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,284
Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea.

Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
 
Kumbuka unapoongelea tigo unawasena vigogo yani mithili ya "ROST TAMU HIZI na Rais mmoja mstaafu wa Cuba" kwa mzee tutalia sana ila ukweli ndio huo.
 
Hawa naona wanatafuta vita.
 
Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea.

Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
Niliachana na Tigo kitambo sana.
 
mhh umeskia mule ni pakuhifadhi salio ukitaka kuifaidi tigo we kuwa mtu wa kukopa salio ukilipa unakopa tena muda mwingine wanajichanganya unajikuta ukiweka vocha hawakati ulichokopa muda mwingine unakopa ukija kuangalia hawajakuwekea deni lako unakopa tena na tena yaan ni kuvumiliana kama huna bahati hubahatiki
 
🤣
 
Back
Top Bottom