tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Waislamu waligoma Tanzania isipate uhuru kwa sababu hawakupata elimu?

    Chama cha All Muslims of Tanganyika, ambao wengi wao walikuwa waasisi wa chama cha TAA, August 1959 walianzisha harakati kushinikiza uhuru ucheleweshwe hadi kiwango cha waislamu kupata elimu kiongezeke kilingane na cha wakristo. Kupitia TANU, iliandaa jumuiya ya mashekhe na kutoka hadharani...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini Taifa Stars (Tanzania) haichezi mechi nyingi za kirafiki kama mataifa mengine?

    Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu kipindi cha ratiba ya FIFA ya mapumziko ya ligi mbalimbali Duniani. Taifa hili lina tatizo gani...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo. Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Kama Tanzania imeuzwa watuambie basi

    Salamu ya nini? Haina maana umeme toka asubuhi mmekata then mnarudisha jioni, baada ya lisaa limoja mnakata tena, sasa mlirudisha ili iweje? Masoko kila kukicha yanaungua, nauliza bandari mmetahifisha? Au tukisema ukweli mnatukamata na kutuma wale jamaa wasiojulikana kututeka. Taifa...
  5. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu. Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko. Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) itukamilishie malipo yetu ya ‘refund’

    Sisi ni Wanafunzi tuliohitimu katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Campus ya Dar es Salaam tuna madai ya kutorejeshewa malipo tuliyolipa kabla ya kuingiziwa fedha za Bodi ya Mikopo (HESLB). Ipo hivi, tukiwa Mwaka wa tatu zaidi ya Wanafunzi 1,000 tulilazimika kulipa fedha zetu binafsi kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Hali inatisha

    Hali inatisha
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wabantu tumehamia Tanzania. Ikitokea watu fulani wakija wakasema tuwapishe Tanzania ni ardhi ya babu zao tutakubali?

    Habari wadau. Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti. Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Kuwasilisha Ombi CAF Matangazo ya Kiswahili

    TANZANIA KUWASILISHA OMBI CAF MATANGAZO YA KISWAHILI Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inatarajia kuwasilisha ombi la kurusha matangazo ya mechi zitakazochezwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari afariki akiwa na miaka 86. Aliwahi kuhudumu kama Balozi Tanzania mwaka 1973 - 1977

    Martti Ahtisaari Rais wa zamani wa Finland, Martti Ahtisaari, ambaye alikuwa mpatanishi mashuhuri wa amani, amefariki akiwa na umri wa miaka 86. Martti ambaye pia alikuwa ni mshindi wa Tuzo ya Nobel mwaka 2008, alikuwa rais wa Finland kuanzia mwaka 1994 hadi 2000. Rais wa Finland, Sauli...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania Mbioni Kununua Umeme Kutoka Ethiopia

    Hiyo ndio habari kamili ambapo mazungumzo na Serikali ya Ethiopia yanaendelea. ======= Addis Abeba – Ethiopian Electric Power (EEP) has announced plans to boost electric power export to neighboring countries and earn more revenue in the current fiscal year. Last year, the country exported...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania hatuendelei kwenye elimu?

    Ni matumaini yangu hamjambo ,mu wazima wa afya kabisa wakuu. Poleni na majukumu ila Mimi Kuna kitu kinazidi kunimaliza siku Baada ya siku na hicho kitu siendi mbali ila nipo kwenye suala.la mfumo wa elimu nchini. Mimi Tangu nimalize darasa la sana mwaka 2014 mpaka sasa sijaona mabadiliko...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi ndio mada chokonozi za Media za Tanzania, kazi ipo!

    Jisomee Mwenyewe halafu toa maoni yako.
  16. JamiiForums Tanzania Wana Kagera ( Watani zangu Wahaya ) taratibu Kadinali Rugambwa siyo wa Kwenu Bukoba, bali ni wa Tanzania kote

    Tena kwakuwa GENTAMYCINE ni Mtani wenu mkubwa kutoka Uzanakini Wilayani Butiama Mkoani Mara ( Musoma ) leo nawachana na mtulie kama mmemwagiwa Maji Baridi sawa? Kanisa Katoliki halikumteua Kadinali Rugambwa atokae Kwenu Kagera ili awe ni wa Kwenu na muanze Kumtambia na Kutukoga Sisi wengine...
  17. JamiiForums Tanzania Msada wa mwenye mawasiliano ya Kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ya Nyengedi mkoani Lindi

    Kwema tafadhali mwenye mawasiliano na mtu anayefanya kazi kiwandani hapo nahitaji mawasiliano yao kwenye site zao hayapo hewani naona kimya, hii kampuni ya Cassava Starch of Tanzania Corporation Limited (CSTC) ipo Nyengedi mkoani Lindi. Natanguliza shukrani wakuu.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
  19. JamiiForums Tanzania Ndege ya Kwanza kutengenezwa Tanzania yazinduliwa

    Serikali ya awamu ya 6 chini ya Rais Samia inazidi kuonesha na kutafsiri mafanikio ya sekta ya Viwanda Kwa vitendo. Sasa ni zamu ya viwanda vya Kutengeneza ndege ambapo ndege ya Kwanza iliyoundwa ndani ya Nchi skyleader 600 imeoneshwa na kuzinduliwa rasmi kwenye maonesho ya wazalishajo wa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa inapanga kuwarejesha nyumbani raia wake waliopo Israel ili kuwanusuru na athari za Mgogoro unaoendelea baina ya Israel na Palestina.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…