tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Club ya Kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club kuwania kuiwakilisha Afrika Kombe la dunia la Vilabu

    Club ya kimataifa kutoka Tanzania, Simba Sports Club ni moja kati ya vilabu vichache Afrika vinavyowania kuwa wawakilishi wa bara hili katika mashindano ya kombe la dunia la vilabu mwaka 2025
  2. JamiiForums Tanzania Kazi ya Wasemaji wa Vilabu vya soka vya Tanzania ni ipi , Mbona vilabu vya Ulaya hakuna cheo hicho ?

    Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji . Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire...
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio Tanzania bwana: Jamaa alifunga duka na kuzima simu kisa kwenda kuangalia mechi ya Simba

    Peace be upon ya'all, Niko mkoa X kwa wiki 3 kwa ajili za shughuli fulani, sasa katika mkoa huu kuna jamaa tulisoma pamoja kitambo na mwaka 2020 kama bahati nilifanikiwa kukutana nae nilipokuja mkoa huu. Kwakua nilikua na haraka tukabadilishana namba. Next day shedule yangu ilikua tight...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania na mgogoro wa bab el mandeb

    Tanzania Ports Authority (TPA) na Zanzibar Ports Authority (ZPA) na hili mkalitazame, tangu mgogogoro wa Bab el Mandeb uanze na meli kuzunguka bara la la Afrika kwenda Ulaya (Mediterranean) na Marekani kupitia bahari za Tanzania (Indian Oceana), jee kuna ongezeko la kiasi gani la meli za...
  5. JamiiForums Tanzania Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  6. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi haimthamini mtu anayejituma na anaekomaa na taaluma

    Nimeweka uzi huu kwa sababu nipo Ulaya na Ijumaa hii ya leo(22.12.2023) nimepewa tuzo ya utumishi bora katika kampuni ya Continentall hapa Ingolstadt Ujerumani. Tanzania haithamini wasomi na wananchi wenye vipaji nilikuja Ujerumani March 2023 mwezi huu nimepewa tuzo, nimepandishwa cheo na...
  8. JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Single Movies kutokufanya vizuri Tanzania?

    Tangu Kanumba kufariki, soko la Movie moja moja hapa Tanzania limekuwa gumu sana, na waigizaji wengi sasa wamejikita kwenye vipande vya video fupi fupi za kupost instagram na YouTube, na waigizaji wakubwa wamejikita zaidi kwenye Tamthilia. Soko la Movie Moja moja (Single Movie) kwa kweli...
  9. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia Yaipa Tanzania Trilioni 2.8

    Bodi ya Wakurugenzi ya Watendaji wa Benki ya Dunia kupitia ufadhili wa Sera yake ya Maendeleo (DPF) imeidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 750 (Sh trilioni 1.9) kwa ajili ya kusaidia sekta binafsi. Pia imeiidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 385 (Sh bilioni 964.3) kwa ajili...
  10. JamiiForums Tanzania Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  11. JamiiForums Tanzania Unaionaje Africa miaka 100 Ijayo? Case study: Tanzania

    Habari wanajamvi? Toka nchi nyingi za Africa zipate uhuru (Political independence) toka Kwa mkoloni mengi ysmefanywa kwe sector mbali mbali mbali,kijamii na kiuchumi, ni zaidi ya miaka 50 toka nchi nyingi zipate uhuru ila kasi ya maendeleo imekuwa aiendani na uvunaji rasilimali( Resources...
  12. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  13. JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

    Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania uchawa, viongozi kujipendekeza kwa viongozi wakuu lishakuwa janga la kitaifa

    Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi. Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeonyesha kwa kiwango kikubwa wasomi wake kupoteza mwelekeo kutokana na neno uchawa. Haina...
  16. JamiiForums Tanzania Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

    Habari Wakuu, Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania. Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na; 1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa 2. Amehudhuria Mahakamani mara 159 Unaweza kumsikiliza hapo chini
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwa Mateso na Majuto Tanzania uwe hivi

    Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili. Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine. Tunazodolewa kila...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

    Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
  20. JamiiForums Tanzania IMF Approves US$150.5 million Disbursement for the United Republic of Tanzania

    IMF Executive Board Completes Second Review Under the Extended Credit Facility Arrangement for the United Republic of Tanzania and Approves US$150.5 million Disbursement https://www.jamiiforums.com/attachments/1tzaea2023003-pdf.2847103/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…