Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 62,511
- 104,784
Ukitazama kiundani kuna mambo yanafikirisha.
Mfano Waislamu wote wanaipinga Israel na wanawajali sana Wapalestina wa Gaza ila hakuna Waislamu wanaojali Ukraine kuvamiwa na mauaji ya raia huko, je huu sio udini?
Wagalatia wengi wako upande wa Israel, je huu sio udini?