tanu

The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty in the East African state of Tanganyika (now Tanzania). The party was formed from the Tanganyika African Association by Julius Nyerere in July 1954 when he was teaching at St. Francis' College (which is now known as Pugu High School). From 1964 the party was called Tanzania African National Union. In January 1977 the TANU merged with the ruling party in Zanzibar, the Afro-Shirazi Party (ASP) to form the current Revolutionary State Party or Chama Cha Mapinduzi (CCM). The policy of TANU was to build and maintain a socialist state aiming towards economic self-sufficiency and to eradicate corruption and exploitation, with the major means of production and exchange under the control of the peasants and workers (Ujamaa-Essays on Socialism; "The Arusha Declaration").
Julius Nyerere was the first President of Tanzania, serving from the 1960s to 1985. In 1962, Nyerere and TANU created the Ministry of National Culture and Youth. Nyerere felt the creation of the ministry was necessary in order to deal with some of the challenges and contradictions of building a nation-state and a national culture after 70 years of colonialism. The government of Tanzania sought to create an innovative public space where Tanzanian popular culture could develop and flourish. By incorporating the varied traditions and customs of all peoples of Tanzania, Nyerere hoped to promote a sense of pride, thus creating a national culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Vijana Jazz Ya TANU Youth League Ilikuwa inajiita "Sex Batallion"

    Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa inaimba nyimbo za magitaa yaliyojulikana kama galatoni wakati huo. Wimbo Maarufu ulioachwa n John...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mjadala na fikra ya kuunda tanu kalieni camp bombay mkesha wa xmas 1945 baada ya kumalizika vita vya pili vya dunia

    https://youtu.be/vbYWViPdGYk Historia hii ya fikra ya kuunda TANU kutoka Kalieni Camp, nje kidogo ya Bombay Mkesha wa Xmas mwaka wa 1945 ipo katika kitabu hicho hapo chini kilichoandikwa na Judith Listowel na kuchapwa mara ya kwanza London 1965.
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyaraka za Nangwanda Lawi Sijaona Moja ya Vielelezo Muhimu Vya Historia ya TAA na TANU

    NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya nyingine, picha na wakati mwingine akiniandikia maelezo kunieleza yale ambayo siyajui kuhusu baba...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Kuandikwa Historia ya Kweli ya TANU

    MUHIMU WA KUWA NA HISTORIA YA KWELI YA UHURU WA TANGANYIKA Kaandika aliyeandika: "Lakini bado katika kuunganisha vugu vugu la ukombozi, utapungukiwa sana maarifa ukishindwa kujua Mwl. Nyerere ndo alikuwa Master Planner." Nimejitahidi kumjibu kumueleza ukweli wa historia ya ukombozi: Kweli...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Katika Ofisi ya TANU ya Miaka ya 1960

    OFISI YA TANU ILIVYOKUWA MIAKA YA 1960 Kuna mtu kaniletea picha hii ya ofisi ya TANU kama ilivyokuwa katika miaka ya 1960. Pamoja na picha hiki kaniandikia ujumbe ananambia kuwa picha hii itanikumbusha mengi. Kweli na hakika picha hii imenirudisha nyuma sana na imenikumbusha mbali katika...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wanachama wa Mwanzo wa TANU walitoka Rufiji

    WANACHAMA WA MWANZO WA TANU WALITOKA RUFIJI Shughuli ya usajili wa TANU ilifanywa na watu watatu wenye kadi zinazoongozana: Julius Nyerere kadi no. 1, Ally Sykes kadi no. 2 na Abdul Sykes kadi no. 3. Walikubaliana Nyerere akasajili chama kwa msajili kisha wote watatu wakutane nyumbani kwa Ally...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa TANU Mwanza na Kijijini Nyamazugo Geita

    WENYEVITI CHAMA CHA TANU MWANZA NA KIJIJINI NYAMAZUGO GEITA NA HISTORIA YA KADI YA TANU Chairman wa TANU wa kwanza Mwanza nakumbuka jina lake Hussein Jumbe. Kijijini Nyamazugo Geita kadi za TANU zilikuwa zikipatikana kwa Mzee wa Kimanyema jina lake Saadallah. Hii ilikuwa katika miaka ya...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Leo siku ya mashujaa tuwakumbuke mashujaa hawa wa siku za mwanzo za TANU

    LEO SIKU YA MASHUJAA Mwaka jana nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu. Nilipoipata picha hii yenye ubora wa kuridhisha nikaiweka hapa. Leo tunaadhimisha Sikukuu ya Mashujaa na nimeona...
  9. chiembe

    JamiiForums Tanzania Leo sabasaba, tunakumbuka kuzaliwa kwa TANU, tarehe 7/7/1954

    Leo ni siku iliyozaliwa TANU, tushereheke birthday ya chama pendwa na kongwe iliyozaa CCM. CCM ni kama maji, usipoyanywa utayaoga. Leo hata Chadema hawajaenda maofisini wakisherekea kuzaliwa kwa chama hiki kilichoendesha Siasa za ukombozi Afrika. Nani alikuwa haijui code ya 7-7? Ndio hiyo, lift...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mhando wawili katika historia ya TANU: Steven na Peter Mhando nani kapata kuwasikia wakitajwa popote?

    KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO KITABU CHA PILI TANU ilikuwa na historia ya pekee sana ambayo bado inahitaji kufanyiwa utafiti. TANU ilikuwa na ndugu wote wanachama, TANU ilikuwa na marafiki wote wanaTANU na kadhalika na...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya TANU siku zote imeandikwa na makosa

    ''Mwalimu Nyerere na Historia'' (1980) Kitabu cha Prof. G.A. Mhina Kitabu hiki nimekuwancho kwa miaka mingi sana. Lakini kwa kuwa ni kitabu cha picha nilikisoma mara moja tu katika miaka ya 1980 na kikabakia Maktaba. Sikukigusa tena. Jana nimeona picha za TANU katika mtandao na haraka...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Tusiwatukane wala kuwakejeli Wazalendo wa TANU Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

    kopites said: ''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣 JIBU LANGU KWA KAPITES Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu walikuwa wanacheza bao na kunywa kahawa siku nzima na wanawaza Simba na Yanga unaweza kuuweka hapa? Kahawa...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ali Msham, Julius Nyerere na Wanachama wa TANU Tawi la Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa 1954

    ALI MSHAM, JULIUS NYERERE NA WANACHAMA WA TANU WA TAWI LA MTAA WA JARIBU MAGOMENI MAPIPA 1954 Watoto wa Ali Msham walizihifadhi picha hizo hapo chini kwa zaidi ya miaka 60. Miongo sita imepita hadi picha hizi kufika mikononi kwangu na ndiyo ikawa sababu ya historia ya Ali Msham mzalendo...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya TANU Katika Picha Mbili 1955 na 1993

    HISTORIA KATIKA PICHA MBILI 1955 NA 1993 Picha hizo mbili hapo chini zimepishana miaka 38 kwa mkato na kifupi unaweza kusema zimepishana miongo minne yaani miaka 40. Picha ya kwanza ni mkutano kwa kwanza wa mwaka wa TANU Ukumbi wa Ghandhi, Hindu Mandal Dar es Salaam na picha ya pili ni kumbi...
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Kadi ya TANU 1954

    HISTORIA YA KADI YA TANU 1954 Ndugu yangu mmoja kanirushia kadi ya TANU nami kwa kuonyesha shukurani yangu kwake namuwekea hapo chini historia ya kadi ya TANU kama nilivyoeleza katika kitabu cha Abdul Sykes: ''Ally Sykes ndiye aliyechora kadi ya TANU na kuchagua rangi na nembo yake. Rangi...
  16. Chillah

    JamiiForums Tanzania Mwasisi wa TANU, Shushushu anayetajwa kufanya kazi na mashirika 8 ya Kijasusi duniani

    Nina ombi kwa Mzee wetu Mohamed Said utusaidie kuiweka sawa hasa maeneo yanayo husu TAA na TANU Mwandishi naona kama ana pishana sana na machapisho mengi uliyoyachapisha Kama vuguvugu kutoka kwa bwana sykies nk Kwa heshima yako tafadhari tusaidie na uwasaidie hawa waandishi wetu wanao andika...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hassan Kinyozi na Ahmed Seif Waajiriwa wa Kwanza wa TANU Southern Province, 1955

    HASSAN KINYOZI NA AHMED SEIF: WAAJIRIWA WA KWANZA WA TANU SOUTHERN PROVINCE 1955 Bingwa wa historia ya Tanganyika John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU iko mikononi mwa watu binafsi. Iliffe alisema maneno haya katika miaka ya 1960 alipokuwa mwalimu wa historia Chuo Kikuu Cha Afrika...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sheikh Hassan Mohamed Said Kinyozi Mpigania Uhuru na Mmoja wa Waasisi wa TANU Lindi amefariki Dunia

    Jioni hii imenifikia taarifa kutoka Lindi kuwa Hassan Mohamed Said Kinyozi mmoja katika vijana waliowasha moto wa kupigania uhuru wa Tanganyika Southern Province, yaani Jimbo la Kusini amefariki dunia akiwa na umri wa kiasi cha miaka 90. Nakumbuka kama jana siku nilipofika Lindi kwa basi dogo...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwanini nilinyanyua kalamu kuandika historia ya TANU?

    KWA NINI NILINYANYUA KALAMU? Naona ukumbi kama vile umejaa na kinachosubiriwa ni kuanza mazungumzo. Najiuliza mwenyewe kwa nini niliamua kuandika kitabu hicho hapo juu kueleza historia ya TANU ilhali tayari historia ya TANU mbayo ndiyo historia ya uhuru wa Tanganyika ilishaandikwa na Chuo Cha...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Special branch na tasjila ya TANU

Back
Top Bottom