Tusiwatukane wala kuwakejeli Wazalendo wa TANU Waliopigania Uhuru wa Tanganyika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,921
30,265
kopites said:
''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣

JIBU LANGU KWA KAPITES

Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu walikuwa wanacheza bao na kunywa kahawa siku nzima na wanawaza Simba na Yanga unaweza kuuweka hapa?

Kahawa na kucheza bao ni katika mila za watu wa Pwani kama wengine wanavyokunywa pombe za kienyeji katika vilabu vya pombe zinazouza dengerua, mbege, kimpumu nk.

Hawa unaowakejeli wewe kuwa ni ''wanywa kahawa na kucheza bao'' ndiyo waliounda chama cha TANU na kupiogania uhuru wa Tanganyika.

Soma majina ya ''wanywa kahawa na wacheza bao'' waliohudhuria mkutano wa kwanza wa TANU Ukumbi wa Arnautoglo August 1954:

Rajab Diwani, Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz, John Rupia, Julius Nyerere, Mshume Kiyate, Max Mbwana, Jumbe Tambaza, Juma Waziri, Rashid Ali Meli, Clement Mohamed Mtamila, Frederick Njiliwa, Iddi Faiz Mafungo, Schneider Abdillah Plantan, Iddi Tulio, Marsha Bilal na Denis Phombeah aliyekuwa Meneja wa Arnautoglo.

Soma pia hapo chini majina ya ''wanywa kahawa na wacheza bao'' walioasisi African Association mwaka wa 1929 na kujenga ofisi ambapo leo ndipo lilipo jengo la CCM Lumumba Avenue:

Kleist Abdallah Sykes, Cecil Matola, Mzee bin Sudi, Suleiman Majisu, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Ibrahim Hamisi, Raikes Kusi na Rawson Watts.

Naomba nami nikuulize wakati hawa ''wanywa kahawa'' wanawatayarisha Watanganyika kupigania uhuru wazee wako wewe wanywa pombe za kienyeji siyo siku nzima bali kwa nyakati maalium walikuwa wanafanya nini?

Mwangalie Mwalimu Nyerere hapo chini na ''wacheza bao kutwa nzima na wanywa kahawa'':

1679374738962.jpeg

1679374775907.jpeg
 
Mtukanane nyie msitukane wazee wetu

Walitujenga kuwa wanaume

Wakatuandalia na maisha yetu baada ya kukua tutarithi nini, nyika wakazifanya kuwa mashamba makubwa

Wazazi wa siku hizi eti wanasomesha tu eti mtoto akikua mali atajitafutia mwenyewe wakati wao wamesomeshwa na kurithishwa pia na wazazi wao

Ahsante wazee wangu wa kihaya mliparangana kubadilisha nyika kuwa mashamba makubwa ya ndizi na kahawa
 
Umeamua kututukana eti wazee wetu mila yao ni kunywa mbege vilabuni 😆😆
 
kopites said:
''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣

JIBU LANGU KWA KAPITES

Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu walikuwa wanacheza bao na kunywa kahawa siku nzima na wanawaza Simba na Yanga unaweza kuuweka hapa?

Kahawa na kucheza bao ni katika mila za watu wa Pwani kama wengine wanavyokunywa pombe za kienyeji katika vilabu vya pombe zinazouza dengerua, mbege, kimpumu nk.

Hawa unaowakejeli wewe kuwa ni ''wanywa kahawa na kucheza bao'' ndiyo waliounda chama cha TANU na kupiogania uhuru wa Tanganyika.

Soma majina ya ''wanywa kahawa na wacheza bao'' waliohudhuria mkutano wa kwanza wa TANU Ukumbi wa Arnautoglo August 1954:

Rajab Diwani, Abdul na Ally Sykes, Dossa Aziz, John Rupia, Julius Nyerere, Mshume Kiyate, Max Mbwana, Jumbe Tambaza, Juma Waziri, Rashid Ali Meli, Clement Mohamed Mtamila, Frederick Njiliwa, Iddi Faiz Mafungo, Schneider Abdillah Plantan, Iddi Tulio, Marsha Bilal na Denis Phombeah aliyekuwa Meneja wa Arnautoglo.

Soma pia hapo chini majina ya ''wanywa kahawa na wacheza bao'' walioasisi African Association mwaka wa 1929 na kujenga ofisi ambapo leo ndipo lilipo jengo la CCM Lumumba Avenue:

Kleist Abdallah Sykes, Cecil Matola, Mzee bin Sudi, Suleiman Majisu, Ali Said Mpima, Zibe Kidasi, Ibrahim Hamisi, Raikes Kusi na Rawson Watts.

Naomba nami nikuulize wakati hawa ''wanywa kahawa'' wanawatayarisha Watanganyika kupigania uhuru wazee wako wewe wanywa pombe za kienyeji siyo siku nzima bali kwa nyakati maalium walikuwa wanafanya nini?

Mwangalie Mwalimu Nyerere hapo chini na ''wacheza bao kutwa nzima na wanywa kahawa'':

Kwani uhuru wa Tanganyika ulipatikana kwa mapigano?
 
Kina Marealle, Mbowe, Mtei, Ukoo wa Mboro, kina Sarakikya, Ukoo wa kina laizer wa Arusha, koo kibao za kaskazini waliunga juhudi na kuacha kujitafutia uhuru wakaungana na Nyerere tena kwa hali na MALI. Hao visebengo wa pwani ni midomo tu. Na hii hali inajirudiarudia kila kukiwa na kiongozi wa kiislam mnaanza kulialia upya na kutafuta huruma, na fujo.
 
Mohamed haujatumia busara mzee wangu umeingiwa na mihemko na maghadhabu ya vijana wa JF. Kwa nini uwaite wazee wenzio walevi wa mbege na chimpumu?
 
Kila...

kopites said:
''Watu wanacheza bao,kunywa kahawa cku nzima,wanawaza simba na yanga tu kwa nini wasizidiwe ujanja.''🤣🤣

Jibu langu hapo chini:

''Mathalan nikikuomba ushahidi kuwa wazee wangu walikuwa wanacheza bao na kunywa kahawa siku nzima na wanawaza Simba na Yanga unaweza kuuweka hapa?

Kahawa na kucheza bao ni katika mila za watu wa Pwani kama wengine wanavyokunywa pombe za kienyeji katika vilabu vya pombe zinazouza dengerua, mbege, kimpumu nk.''
 
Back
Top Bottom