tanu

The Tanganyika African National Union (TANU) was the principal political party in the struggle for sovereignty in the East African state of Tanganyika (now Tanzania). The party was formed from the Tanganyika African Association by Julius Nyerere in July 1954 when he was teaching at St. Francis' College (which is now known as Pugu High School). From 1964 the party was called Tanzania African National Union. In January 1977 the TANU merged with the ruling party in Zanzibar, the Afro-Shirazi Party (ASP) to form the current Revolutionary State Party or Chama Cha Mapinduzi (CCM). The policy of TANU was to build and maintain a socialist state aiming towards economic self-sufficiency and to eradicate corruption and exploitation, with the major means of production and exchange under the control of the peasants and workers (Ujamaa-Essays on Socialism; "The Arusha Declaration").
Julius Nyerere was the first President of Tanzania, serving from the 1960s to 1985. In 1962, Nyerere and TANU created the Ministry of National Culture and Youth. Nyerere felt the creation of the ministry was necessary in order to deal with some of the challenges and contradictions of building a nation-state and a national culture after 70 years of colonialism. The government of Tanzania sought to create an innovative public space where Tanzanian popular culture could develop and flourish. By incorporating the varied traditions and customs of all peoples of Tanzania, Nyerere hoped to promote a sense of pride, thus creating a national culture.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere na wakina Mama wa TANU

    MWALIMU NYERERE NA AKINA MAMA WA TANU Sijui lini CCM itaamka kutoka usingizi mzito na kulitupa pembeni hili blanketi zito walilojigubika kuanzia unyayoni hadi utosini. Ikajitoa katika huu usingizi wa pono wakakusanya picha alizopiga Mohamed Shebe kuanzia zile alizopiga 1954 katika mikutano ya...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANU Tanga wakati wa kudai uhuru wa Tanganyika: Dua ya ushindi wa kura tatu Nnyanjani 1958

    TANU TANGA WAKATI WA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA: DUA YA USHINDI WA KURA TATU MNYANJANI 1958 Chanzo cha yote yanayokuja hapo chini ni marehemu Mama Ummy bint Anzwan moja ya nguzo za CUF siasa za ushindani zilipoanza mwaka wa 1992. Nimepitia faharasha (index) ya kitabu cha Abdul Sykes na nimekuta...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makosa yanayojirudia ya Baba wa Taifa na historia ya TANU

    Ndugu zangu, Dudu kaandika hayo hapo chini na mimi nimeona nifungue uzi mpya niweke maelezo katika hayo maneno yake ili kusahihisha makosa ya historia ya TANU ambayo yamekuwa yakijirudia sasa nusu karne: MAKOSA YANAYOJIRUDIA KATIKA HISTORIA YA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE NA...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania TANU na Sanduku la fedha la Abdul Sykes

    TANU NA SANDUKU LA FEDHA LA ABDUL SYKES 1950s Katika moja ya mijadala ya historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika niliwaahidi wasomaji wangu kuwapa historia ya sanduku la fedha la Abdul Sykes. Nikasahau kwa muda. Leo msomaji wangu mmoja kaniandikia kunikumbusha nitimize ahadi...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika iandikwe upya

  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya "Muasisi" na Muasisi wa TANU Mikindani Msham Awadh 1955

    Msikilize "muasisi" wa TANU Mikindani kisha soma historia ya Msham Awadh kutoka kitabu cha Abdul Sykes (1998) SIKILIZA HISTORIA HII YA ''MUASISI'' WA TANU NA SOMA HISTORIA YA MSHAM AWADH Tukio dogo la kiburi cha askari mpumbavu wa mkoloni ndiko kulisababisha watu wa Mikindani wafungue tawi...
  7. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bilal Rehani Waikela na historia ya TANU Western Province 1955

    BILAL REHANI WAIKELA NA HISTORIA YA TANU WESTERN PROVINCE 1955 ‘’Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda iliyoanzishwa miaka mingi nyuma ambayo ilikuwa maarufu pale mjini. Wanachama wa kilabu hiyo baadhi yao...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yaliyofuatia mara baada ya TANU kuundwa 1954

  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vituko vya madereva: Wimbo wa Umoja wa Vijana Tanu na Mzee Makongoro

    Mzee Makongoro alikuwa ni mwalimu wa Kwaya ya Vijana ya TANU ambayo ilivuma Sana kwa nyimbo za asili na nyimbo zake zilipata umaarufu mkubwa Sana miaka ya sabini na themanini kupitia vipindi mbalimbali vya redio kama TUIMBE SOTE na kipindi cha TUMBUIZO ASILIA kilichokuwa kikirushwa hewani na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nyerere aliwagomea TANU kususia uchaguzi ila Mbowe kawashawishi CHADEMA kususia!! Hili laweza kuwa kaburi la CHADEMA

    Kuna simulizi alikuwa anatoa mzee mmoja mstaafu, kwamba kwenye moja ya uchaguzi sikumbuki ni wa mwaka gani uliofanyika enzi za Serikali ya kikoloni, wajumbe wa halmashauri ya TANU walikuwa wamekubaliana kwamba wasusie uchaguzi kutokana na kutokubaliana na utaratibu mbovu wa kura tatu, ambao...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika Burma Infantry 6th battalion vita vya pili vya dunia na msingi wa TANU 1945

    BURMA INFANTRY 6th BATTALION Hiyo picha hapo chini imepigwa Burma wakati wa WWII na hao ni baadhi askari waliokuwa katika Burma Infantry. Nimeweka pia picha ya Abdul Sykes na Ally Sykes wakiwa Burma. Katika hawa askari wote nimeweza kupata majina mawili tu nalo ni wa pili kushoto ni Ally...
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ismaili Bayumi kijana aliyeingiza TANU Kenya 1950s

    BI. TITI MOHAMED ALIVYONIKUTANISHA NA ISMAILI BAYUMI Tuwekeni kumbukumbu kwani kumbukumbu ikihifadhiwa hukumbusha. Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana. Nimekuwa nikiitafuta picha ya marehemu Ismail Bayumi kwa miaka mingi bila mafanikio. Nataka nieleze vipi nilipata historia ya Ismaili...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo: Moja ya Ngome za TANU 1955

    Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana. Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955. Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere kwenda UNO kuidai Tanganyika. Angalia hizi picha za soko lenyewe kama jengo kisha inamisha macho...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia Mpya ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Hamu mpya ya kumfahamu Abdul Sykes na historia ya TANU

    HAMU MPYA YA KUMFAHAMU ABDUL SYKES NA HISTORIA YA TANU Kumekuwa na mwamko mpya wa kushangaza kuhusu historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika. Juma lililopita tukielekea Nyerere Day nimekuwa nikihojiwa na televisheni takriban kila baada ya siku na wakati mwingine siku zikifukuzana mfululizo...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Abdul Sykes anamkabidhi Julius Nyerere chama cha TANU 1954

    ABDULWAHID KLEIST SYKES ANAMKABIDHI JULIUS KAMBARAGE NYERERE CHAMA CHA TANU 1954 ''Chama cha TANU kama vuguvugu la siasa kilikuwa katika fikra za Abdulwahid kwa miaka mingi na alijitahidi sana kufanya bidii kuona kuwa TANU inaundwa. Chama ambacho kitawaunganisha wananchi wote bila ya kujali...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Dome Okochi Budohi "Mau Mau" ndani ya TANU?

    DOME OKOCHI BUDOHI "MAU MAU" NDANI YA TANU? Kadi ya TANU ya Dome Budohi ni no. 6. Dome Budohi alikuwa Mluya kutoka Kenya lakini alikuwa mwanachama na kiongozi wa TAA na hivi ndivyo alivyoweza kupata kadi hiyo no. 6. Mimi nikimfahamu katika utoto wangu kwa jina la Dickson alipokuwa akija kwetu...
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Soma vitabu hivi ujue historia ya tanu na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    SOMA VITABU HIVI UJUE HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Unajua kwa nini kadi ya TANU No. 3 ni ya Abdul Sykes, No. 2 ni ya Ally Sykes na No. 1 ni ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Unaijua azma ya Hamza Mwapachu (1913 - 1962) katika kuwakusanya vijana wasomi ndani ya TAA...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wazalendo wa TANU

    PICHA YA BI. CHIKU BINT SAID KISUSA, BI. TITI MOHAMED, BI. TATU BINT MZEE, JULIUS NYERERE NA AKINA MAMA WENGINE Mmoja wa wasomaji wangu amenitumia picha hiyo hapo chini ya akina mama wazalendo wanachama wa mwanzo wa TANU hao niliowataja hapo juu. Kulia ni Bi. Chiku bint Said Kisusa, Bi. Titi...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Walifikaje tarehe 7 Julai 1954 kuunda TANU na tunawaadhimishaje Wazalendo hawa?

    WALIFIKAJE TAREHE 7 JULAI 1954 NA KUUNDA TANU NA TUNAWAADHIMISHAJE WAZALENDO HAWA? Kuna mtaa Dar es Salaam sisi tulimezaliwa tumeukuta ukiitwa Stanley Street. Baada ya kupatikana uhuru mtaa huu ukabadilishwa jina ukaitwa Aggrey Street kisha baadae wakati marehemu Kitwana Kondo alipokuwa Meya...
Back
Top Bottom