Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,599
- 19,506
Kabla ya CCM kuzaliwa Chama cha TANU kilikuwa kinamiliki bendi kupitia twai lake la TANU Yough League ilijulika kama Vijana Jazz. Mwanzoni bendi ilianzishwa na John Ondoro Chacha mwaka 1971 ikiwa inaimba nyimbo za magitaa yaliyojulikana kama galatoni wakati huo. Wimbo Maarufu ulioachwa n John Ondoro ni ule iuliokuwa unaitwa salamu za wagonjwa uliorudiwa nadhani na mtoto au mjuuu wake hape
View: https://www.youtube.com/watch?v=QhXXQo6Z9Fg
Mwaka 1974 ilipata wanamuziki vijana kadhaa akiwema Hemedi Maneti na Hamza Kalala. Kipindio hivyo Vijana Jazz ikahama kutoka kwenye magalatoni na kuanza kutumia vyombo vya umeme kwa kutumia mtindo wa Koka Koka, na nyimbo mbili nizolizopenda wakati huo ni ule utambulisho wa wa mtindo wa Koka Koka uliojuliaka kama na mwengine uk"Niliruka Ukuta". Kipindi hicho walitoa nyimbo kadhaa ila mimi nilipenka ule wa Koka Koka, uliotoka katika awamu kadhaa
View: https://www.youtube.com/watch?v=ulAJkGEK4oU
Hata hivyo mwaka mwaka 1974/75 wimbo uliotamba nchi nzima Tanzania ulikuwa wa nilituka ukuta
View: https://www.youtube.com/watch?v=tCM8UchP7XA
na ule wa Kamata Sukuma
View: https://www.youtube.com/watch?v=MMELiFY0jxs
Zote zilikuwa katika mtindo huo wa Koka Koka na zilirekodiwa katik Santuri za Polydor. Ila jambo la ajabu funiuko la Santuri zao lilikuwa na nembo inayomsea Vijana Jazz "Sex Batallion" kwa maana ya "Kikosi cha Ngono." Wakati huo wanamuziki wote wa Vijana Jazz walikuwa wavulana ambao walikuwa hawajaoa. Je unadhani walikuwa na maana gani hasa ukiachia ngono? Ilitokea pia kuwa kipindi hicho mwanamuziki James Brown wa Marekani alikuwa na wimbo wake unaitwa "Sex Machine" yaani "Mashine ya Ngono.".
Maneti alifariki mwaka 1990 kwa kilichosemekana kuwa ni madhara ya ukimwi.