tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Bomoa bomoa Kimara Mwisho-Bonyokwa zimeanza tena

    Barabara ya Kimara mwisho bonyokwa kwenda segerea ilkua chini ya TARURA ghafla tumeskia imechukuliwa na TANROADS ambao wanajenga barabara bila kulipa fidia kwenye maeneo ya watu ambapo barabara imewakuta na kutoa notisi ya siku 30 tu watu wabomoe barabara. Barabara tunaipenda ila ni walipe...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Mameneja wa TANROADS wasiosimamia miradi kikamilifu kuanza kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara na madaraja kwa viwango na kupelekea miumbombinu kuharibika ndani ya muda mfupi. Bashungwa ametoa...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Posts at TANROADS February, 2024

    1.Position: CAD Technician (1 Post) Key Entry Qualifications: Must be a Tanzanian Citizen who is a holder of Diploma in Civil Engineering, Highway Engineering or equivalent from a recognized Institutions with working experience of at least five(3)years in related field. He/she must have...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aiagiza TANROADS kufanya tathmini ya maeneo yanayoathiriwa na mvua mara kwa mara

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewaelekeza Mameneja wa TANROADS nchi nzima kuhakikisha wanabainisha na kufanya upembuzi yakinifu kwa maeneo yote ambayo yamekuwa yakiathiriwa na mvua mara kwa mara ili Serikali iweze kuyatafutia suluhisho la kudumu kwa pamoja. Agizo hilo limetolewa na...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Kutumia Teknolojia Mbadala Ujenzi wa Barabara Nchini

    TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji awajibishwe

    Meneja wa TANROADS mkoa wa Tabora, Mhandisi Raphael Mlimaji, awajibishwe kwa kitendo chake cha kinyama cha kufyeka mahindi kwa kisingizio kwamba yamepandwa kwenye hifadhi ya barabara. Kama kweli yuko makini alikuwa wapi siku zote mpaka mahindi yakakua kiasi kile. Halafu mahindi yanachukua muda...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bashungwa Aitaka TANROADS Kupanda na Kuhudumia Miti Katika Maeneo ya Barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aitaka TANROADS kupanda na kuhudumia miti katika maeneo ya barabara

    BASHUNGWA AITAKA TANROADS KUPANDA NA KUHUDUMIA MITI KATIKA MAENEO YA BARABARA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kuendelea kupanda na kuhudumia miti iliyopandwa katika maeneo ya barabara kwa ajili ya kuendelea kupendezesha miji na kutunza mazingira ili...
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchelewa kulipa wakandarasi TANROADS, RUWASA; Je Serikali haina hela?

    Toka Awamu ya Mama aingie madarakani kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya wakandarasi wnaofanya kazi na serekali. Mwezi wa 11 mwaka jana Waziri Bashungwa alifanya kikao na wakandarasi moja ya malalamiko aliyapata ilikuwa na ucheleweshaji wa fedha za wakandarasi tofauti na miaka ya nyuma...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mafuriko yakatisha mawasiliano Barabara ya Morogoro – Dodoma, Waziri Bashungwa atoa maelekezo kwa TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma ambalo leo Januari 9, 2024 lilijaa maji na kusababisha barabara hiyo kufungwa majira ya asubuhi. Pia...
  11. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Various Posts at TANROADS December, 2023

    The Tanzania National Roads Agency (TANROADS) on behalf of the Government of the United Republic of Tanzania has entered into a Contract for the construction of Simiyu Bridge (150M) and its approach road (3KM) to bitumen standard. The Regional Manager’s Office, TANROADS Mwanza on behalf of the...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANROADS, Barabara ya Arusha (Tengeru) kwenda Moshi imewashinda kuitengeneza, imejaa viraka na mashimo

    Niwe wazi na msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Serikali imeshindwa kujenga Kwa kiwango cha kimataifa barabara kutoka Tengeru kwenda Moshi mjini? Sasa imeanza kuziba viraka barabara yote hiyo tena bila aibu! Tanroads wamelala usingizi. Samia anagawa hela kwenye Mchezo. Barabara hiyo...
  13. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami. Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa aipa meno bodi ya ushauri ya TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), kutokafanya kazi za maofisi na badala yake kutembelea na kukagua na kufuatilia utekelezaji wa miradi kuanzia ngazi za awali za manunuzi, mikataba, utekelezaji, ufanisi wa miradi kulingana na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS mnatutesa sana barabara ya Mbezi High School kwenda Bunju kupitia Mpigi Magoe

    Hii barabara ni kero sana tena sana. Mbunge wetu anaishia kutupanga kila mara. Hii barabara isipotengenezwa mpaka 2025 tutaona hakuna tofauti kati ya mbunge huyu aliyepo na yule aliyekuwepo. Haiwezekani barabara ikawa mbovu kiasi hiki wakati huo sisi tuna mwakilishi. Mzee Magufuli (RIP)...
  16. Ulongupanjala

    JamiiForums Tanzania Tanroads Tanga wanatumia rangi nyeupe hafifu zinazofutika muda mfupi kuchora alama kwenye lami

    Habari za leo? Kuna watu/kampuni wamepewa kazi ya kuchora alama za barabarani katika highway ya Tanga mjini, Muheza, sina uhakika na huko kwingine. Hawa watu wanachora alama za chini kwenye lami ikiwemo mstari wa katikati wa kugawa barabara (kushoto na kulia). TATIZO: Wanatumia rangi nyeupe...
  17. Mchapakazihalisi

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa ahaidi kupambana na Rushwa, atoa maagizo kwa mameneja TANROADS nchini

    Bungeni - Dodoma Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent L. Bashungwa(Mb) amemshukuru Mheshimiwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini na ameahidi kudhibiti na kupambana na Rushwa katika mikataba, manunuzi na usimamizi wa miradi. Amesema hayo leo tarehe 06 Septemba 2023 Bugeni...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Mohamed Besta, Mtendaji mkuu tanroads atoa maelekezo utekelezaji miradi ya EPC + F

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania Mhandisi Mohamed Besta amesema TANROADS imepita katika vipindi tofauti lakini sasa ipo katika kipindi ambacho inabidi iwe na ubunifu wa kutumia mbinu mbalimbali na kutafuta namna bora zaidi ya kujenga barabara, na moja ya hatua ambazo zimechukuliwa...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Board Directorship at Institute of Directors

    Position: Board Directorship The right candidates will have the minimum of the following profile: General An loDT member (or a commitment to qualify within 6 months of the appointment) Commitment to the loDT mission, values and objectives Meets the minimum requirements for a Board member as...
  20. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Serikali ya Mkoa Songwe ielezeni jamii kilichotokea kuhusu tuhuma za Kaimu Meneja wa TANROADS

    Kuna jambo limetokea linahusu rushwa, sijajua kwa sababu zipi halitangaziwi au halitajwi hadharani, inawezekana kuna bado mamlaka zipo kazini au inawezekana pia kuna vitu havipo sawa. Hapa kwetu Mkoani Songwe kuna jambo limetokea likimhusisha Kaimu Meneja wa Wakala ya Barabara Tanzania...
Back
Top Bottom