Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
Ndugu zangu,
Kipekee, napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu Muumba Mbingu na Nchi kwa kutupa uhai na chakula.
Hili suala la kumsubiri Mh. Raisi ndiyo atatue kero za wanachi katika eneo husika na huku wateule wake aliowateua ili kumsaidia hizi kazi, huwa linanipa maswali mengi sana. Mojawapo ya...
Waziri wa ujenzi mh Kamwele amewaondoa madarakani mameneja wa Tanroads wa mikoa ya Lindi na Pwani kufuatia kushindwa kuifanyia matengenezo barabara ya Dar hadi Mtwara.
Maamuzi hayo ya mh Kamwelwe yanafuatia maagizo yaliyotolewa jana na Rais Magufuli ya kutaka hatua zichukuliwe kutikana na ubovu...
Hilo tinga tinga limeharibikia hapo makutani ya service rodi na Bagamoyo rodi kwa wiki ya pili sasa. Magari yanapata taabu kupita na hata kuleta hatari za ajali. Hapo ni Bagamoyo rodi eneo la GOIG.
Maajabu ya tumbuzi ya Arusha ya meneja TARURA kuwa hajaleta wananchi kushuhudia vishindo vya awamu ya tano tumeyaona.
Kuwa TANROADS au TARURA Biharamulo na Ngara wangali wanadunda maofisini hata katika ubovu huu wa barabara uliopo usio mfano? Ama kweli kama hii si moja ya maajabu ya Mussa basi...
Building a gravel road takes planning, preparation and the use of specialised grading and compacting equipment. Ideally, you want a smooth, uniform surface that can handle heavy loads and heavy weather without breaking up.
For highly detailed instructions and insights on how to build a gravel...
Wana Jf kwa yoyote mwenye uzoefu na interview za Tanroads naomba mbinu zaidi na most of questions ambazo huwa wanatoa katika usaili.
Nimeitwa usaili wa weighbridge operator Tanroads geita usaili unafanyika tarehe 22 mwezi huu wa 6.
Kwanza
1. Kuna nafasi ya kutosha
2. Gharama yake ni ndogo
3. Inge wezesha magari kubadili njia kwa haraka na kuondoa foleni milele.
Ulinganisha na vituko vilivyo jengwa pale mbezi , kwa kweli Tanroads imezeeka.. na haina jipya. Daraja la ubungo lenyewe kama sio mchina kukataa design...
Kwenu TANROADS,
Najua hii barabara mnaijua na mnajua kwamba iko chini yenu. Kwa kweli hii Barbara ni kero zaidi ya kero. Kila siku utakutana na magari ya abiria njiani yameharibika. Magari binafsi ndio usiseme.
Kwa kweli wakazi wanaotumia hii Barbara wamekuwa wahanga wakubwa kwa kukosa magari...
Nilisema wazi, kwamba kuna ajali nyingi sana na watu kufa nchini na sababu kubwa ni uzembe wa TANROADS, wala sio suala la madereva. Ndio kuna ajali zinazotokea kutokana na uzembe wa madereva, lakini si kila ajali inatokana na uzembe wa dereava. Dereva anaweza kuwa mzembe na kusababisha ajali...
Wakati meneja wa Tanroads mkoani Morogoro, Godfrey Andalwisye akiondolewa kwa madai ya kutokagua miundombinu, mtendaji mkuu wa taasisi hiyo, Patrick Mfugale amesema barabara ya Morogoro-Dodoma ni chakavu kwa kuwa imejengwa muda mrefu.
Kauli hiyo ya Mfugale imekuja siku moja baada ya Waziri Mkuu...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROAD), mkoa wa Morogoro, Mhandisi Godwin Andalwisye arejeshwe wizarani na nafasi yake ijazwe na mtu mwingine mara moja baada ya kuzembea kutimiza wajibu wake.
Uamuzi huo umekuja baada ya kiongozi huyo kushindwa...
Tunaomba tafadhali muweke matuta. Watoto wanagongwa na watu wazima wanajeruhiwa. Barabara ni nzuri sana na nyoofu ila madereva wanalala mbele sana kwenye barabara hii na ukizingatia iko mtaani 'uswazi' watoto wafyekwa kwelikweli hapa. Hivi juzi akina mama waliweka mawe hapo barabarani.
Nami...
The regional Manager’s office TANROADS - Kigoma, on behalf of the Chief Executive TANROADS, intends to recruit suitably qualified and competent Tanzanians to fill the post of valuer for the period of three years with possibility of contract renewal.
Job title: Valuer ii (one) 1 post
Key...
Nimesoma habari kuwa ajali imetokea huko Dodoma usiku wa Jumapili 29 December wakati lori lenye namba T364 AZZ lilipokuwa likijaribu kukwepa shimo kubwa barabarani liliigonga Coaster yenye namba T846AYU na watu sita kufa hapo hapo. KUna majeruhi wako hospitali wengine ICU.
Kutokana na tukio...
K2a hissani ya lethy mleta mchoro ni kwamba hatimaye mbezi mwisho haitakua na mataa kama design ya mwanzo.
Design mpya inaonyesha morogoro road itapandishwa juu na goba-malamba mawili kinyerezi itakua underpass.
Kama ni hivi kwa niaba ya wapenda maendeleo wote naomba niwapongeze tanroad kwa...
Sisi madereva wa magari makubwa hususani malori tunanyanyasika sana barabarani imefikia hatua hata ya kuichukia serikali yetu inayoongozwa na mtukufu Rais Dkt. John Pombe Magufuli tunaimani sana na Rais wetu huyu kwa utendaji kazi wake wenye kuleta maendeleo nchini na mtetezi wa wanyonge lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.