tanroads

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miradi 77 Inaendelea Kutekelezwa na TANROADS Nchini

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Meneja TANROADS aelezea ulipofikia mchakato wa Ujenzi wa Barabara ya Mbagala Mzinga - Kongowe - Kisemvule

    Baada ya andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com aliyedai Barabara inayopita katika Daraja la Mto Mzinga pamoja na Daraja lenyewe maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam ni changamoto kutokana na uchakavu na kutoboreshwa kwa muda mrefu, TANROADS imetoa maelezo. Kusoma alichoandika Mdau bofya hapa ~...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS epukeni mfumo wenye traffic lights kwenye barabara kuu zilizo na magari mengi, kwanini mnatuangusha kama hamna utaalamu?

    Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
  4. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha maeneo ya Ngulelo kuna Mwekezaji amejenga kituo cha mafuta mpaka barabarani. Serikali ichukue hatua

    Hapo vip!! Hili ni jambo baya sana na sio la kufumbua macho. Kuna muwekezaji mmoja anajenga sheli pale alipoekezaga Bonoban anamambo ya ajabu sana. Leo nimepita pale na gari tunashindwa kupishana kama kawaida mapaka mpange folleni msubiriane jambo ambalo halikuwepo...huyu mwekezaji amesogeza...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi na TANROADS - Arusha wafanya ukaguzi wa maeneo hatarishi kwa ajali

    Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarni Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na wakala wa Barabara (Tanroads) Mkoa wa Arusha katika kuhakikisha wanadhibiti ajali za barabarani wameendelea na ukaguzi wa maeneo hatarishi ambayo yanatokea ajali za mara kwa mara huku wakiweka wazi kuchua hatua za...
  6. Faana

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TANROADS

    Nimepita daraja la Wami Dakawa, nikapita daraja la Ferry Dumila, nikapita madaraja ya Kitete, Msowero, Mvumi na Rudewa barabara ya Dumila Kilosa nikajifunza kuwa madaraja ya njia hiyo yaliinuliwa juu sana kiasi kwamba siyo rahisi kuathiriwa na mafuriko ikiwa mvua kubwa zitanyesha Kiteto, Gairo...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Tutaufanyia kazi ushauri kuhusu eneo la Mbezi Bondeni- Bagamoyo Road (Dar) kuwekwa 'Fly over'

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi Tangibovu ili kuboresha zaidi miundombinu. Hayo yameelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania TANROADS Wametoa Ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara za Lami Tanzania

    Wakala wa Barabara Tanzania , TanRoads imechapisha ramani Mpya Inayoonesha Mtandao wa Barabara zao zilozowekewe lami na Zenye vumbi. Ufunguo 1. Rangi Nyekundu inawakilisha Barabara Za Vumbi 2. Rangi Nyeusi inawakilisha Barabara za Lami My Take: Kiuchumi ,kama Nchi tulifi kabisa kuamua...
  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania CAD Technician at TANROADS September 2024

    Tanzania National Roads Agency (TANROADS) is vested with the responsibility of Maintenance and Development of the Trunk and Regional Roads Network in Tanzania Mainland. It is also responsible in conducting Axle Load Control Operations using weighbridge scales. The Regional Manager TANROADS...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkataba Ujenzi Daraja la Jangwani - Dar Kusainiwa mwezi huu Septemba, 2024

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ipo katika hatua za mwisho za kusaini Mkataba wa Ujenzi wa Daraja katika eneo la Jangwani jijini Dar es salaam ambapo mkataba unatarajiwa kuwa umesainiwa mwezi Septemba, 2024. Bashungwa ameeleza hayo leo Septemba 02, 2024 jijini Dodoma...
  11. gstar

    JamiiForums Tanzania Siridhishwi na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

    Awali ya yote, nipongeze juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya kiongozi wake Raisi Samia Suluhu Hassan kwa kuhakikisha kuwa anatekeleza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake hayati Dk. John Pombe Magufuli, pia kuibua miradi mipya na kuitekeleza kukamilifu. Hata hivyo...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aielekeza TANROADS Kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa

    RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TANROADS wapeni Wazawa kipaumbele wajenge Barabara na Madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara na madaraja ili kuwajengea uwezo na kufanya uchumi kuwa na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Mti wa mbuyu katika kituo cha mbuyuni hautaathiriwa na ujenzi wa mabasi yaendayo haraka (BRT4) Mkoani Dar

    MTI WA MBUYU KATIKA KITUO CHA MBUYUNI HAUTAATHIRIWA NA UJENZI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT 4), JIJINI DAR ES SALAAM Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) inaendelea na ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam Awamu ya Nne (BRT 4) kuanzia Daraja la Kijazi (Sam...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania TANROADS Geita Yatekeleza Maagizo ya Waziri Bashungwa, Yakamilisha Usanifu wa Barabara ya Ushirombo - Nyikonga - Katoro

    TANROADS GEITA YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA//YAKAMILISHA USANIFU BARABARA YA USHIROMBO-NYIKONGA-KATORO Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetekeleza maelekezo ya Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa kwa kukamilisha Upembuzi Yakinifu na Usanifu wa Kina wa Barabara ya...
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TANROADS yatoa msaada wa vifaa tiba vya zaidi ya milioni 2 katika kilele cha wiki ya utumishi wa umma

    TANROADS YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA ZAIDI YA MILIONI 2 KATIKA KILELE CHA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha afya Segerea vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mbili. Miongoni mwa vifaa vilivyotolewa ni pamoja...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Makandarasi wazawa kupewa miradi hadi yenye thamani ya bilioni 50

    MAKANDARASI WAZAWA KUPEWA MIRADI HADI YENYE THAMANI YA BILIONI 50: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesikia kilio cha Makandarasi Wazawa na imeamua kupandisha wigo wa thamani ya miradi kwa Makandarasi hao kutoka kiasi cha Shilingi Bilioni...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania TANROADS Morogoro hii ni aibu kwenu kushindwa hili.

    PICHA: Mle mbuga ya mikumi, na kona za iyovi na maeneo mengi kipande hiki matobo barabarani ni mengi mno gari zinapasua matairi na malori plus mabus mengi yanachochora...Fanyeni mrekebishe hii kasoro kwa wakati. Mikumi mjini kilimani
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipa TANROADs Bilioni 431.4 Kutekeleza Miradi ya Ujenzi wa Miundombinu Mikoani Kagera

    RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA Na Mathias Canal, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO TARURA Mbeya hawaoneshi njia mbadala wanapofunga barabara kwa ajili ya ukarabati

    Kuna huu mtindo wa Tarura jiji la Mbeya hasa pale wanapofanya marekebisho ya barabara mbovu zile za ndani, huwa wanaweka kibao cha kuonesha barabara imefungwa (kwa watumiaji wa vyombo vya moto) lakini hawaoneshi njia mbadala ya kupita, sasa je wanaomiliki vyombo vya moto watumie barabara zipi...
Back
Top Bottom