TCRA mebariki Tangazo linalorushwa Clouds FM lenye Sauti iliyoigizwa ya Dkt. Kikwete ikisema "Tukutane kwa Mpalange Kumenoga?"

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete (iliyoigizwa) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.

Hapa GENTAMYCINE nimejikuta nikianza Kujiuliza Maswali mengi sana moja wapo ni kwamba mbona Clouds FM hawafanyii Utani (Dhihaka ) Sauti za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Magufuli ila kwa Kikwete imekuwa Rais Kwao na ndiyo Chaguo lao bora?

Najua fika kuwa 'Kwa Mpalange' ni eneo la Makazi ya Watu huko Yombo, ila tusiwe Wanafiki hapa wala Kuficha kuwa Masikioni mwa Watanzania wengi sasa neno 'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.

Media za Tanzania hebu ifike muda sasa tuwaheshimu hawa waliowahi kuwa Marais wetu (sasa Wastaafu) kwa 'Kimakusudi' kutumia Sauti zao (hata kama ni za Kuigiza) katika Mambo ya Kihuni na yasiyo na Staha pamoja na Maadili.

Ninahisi DG mpya wa TCRA ni Mlokole.
 

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Kwa "Mpalange" kuna husiana vipi na "ufirauni"?

Hebu fafanua ndugu.
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?

Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
 

M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,233
2,000
Halafu hawa Klauzi wanalo lile tangazo la Tigo linalosema "cha asubuhi".

Nchi hii ipo morally corrupted totally. Ndiyo maana tunapoteza hata marais wakali wapo madarakani. Mungu hapendi hivi, damn!
 

Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
14,909
2,000
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?

Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Asubuhi ulianza kuhoji kauli zake kule Chato. Na sasa unahoji hamasa ya kwa Mpalange !!. Kulikoni
Je Jk anakunyima usingizi au tu ni bahati mbaya leo umemuwaza negatively
 

Poisonous

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,477
2,000
Hilo eneo hata hawaishi watu, nilipata kuona mzee mmoja akilionesha na kulielezea hilo eneo katika kipindi cha runinga Wasafitv.
Acha Uwongo tafadhali na usidhani Wote tuliopo hapa JamiiForums ni Ngumbaru (Wajinga) na Popoma (Wapumbavu) kama ulivyo.

Wiki Mbili tu zimepita Mtangazaji wa Wasafi Media Hillary Daud (Zembwela) alienda Kufanya Kipindi huko na hilo eneo la 'Mpalange' lipo Yombo ambapo alimhoji Dada Mmoja Hadija na Mzee na Wote walikuwa wakizungumza wakuwa hapo hapo kwa Mpalange Yombo.

Haya endelea Kudanganya tena hapa JF.
 

Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
3,933
2,000
'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.
Huu ndiyo "ufirauni" ninao uzungumzia. Sasa wewe tufafanulie huko kwa "Mpalange" kuna husiana vipi na hoja yako.

Tatizo lenu Wabongo mnapenda sana kuzusha mambo ya hovyo hovyo kwenye jamii.

Pathetic!!
 

UHURU JR

JF-Expert Member
Jul 24, 2014
12,639
2,000
Acha Uwongo tafadhali na usidhani Wote tuliopo hapa JamiiForums ni Ngumbaru ( Wajinga ) na Popoma ( Wapumbavu ) kama ulivyo.

Wiki Mbili tu zimepita Mtangazaji wa Wasafi Media Hillary Daud ( Zembwela ) alienda Kufanya Kipindi huko na hilo eneo la 'Mpalange' lipo Yombo ambapo alimhoji Dada Mmoja Hadija na Mzee na Wote walikuwa wakizungumza wakuwa hapo hapo kwa Mpalange Yombo.

Haya endelea Kudanganya tena hapa JF.
Yameisha wengine kuchambana hatuwezi,umeshinda.
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,753
2,000
Kama neno Ufirauni hulijui utaweza kweli Kuielewa Nadharia pana ila Hasi iliyojaa katika Vichwa vya Watanzania wengi kuhusu neno la kwa Mpalange?

Acha Kunipotezea muda na usinilazimishe nikaanza Kukudharau kwa Upumbavu wako wa Kurithishwa sawa? Wapishe walionielewa wajadili Mada hii.
Una hoja nzuri sana. Tangazo lolote la biashara linapotoa tafsiri potofu kwa jamii hata kama halikukusudiwa kutoa tafsiri ile linatakiwa lisitumike. Kulingana na maelezo yako (mimi sijalisikia) linatakiwa lisitishwe haraka sana kwani linahamasisha mambo ya ufirauni kwa jamii.
 

Amigoh

JF-Expert Member
May 15, 2016
845
1,000
Baada ya nyie Kuwakataza wasiendelee kutumia Kauli fulani ya Rais Samia kama 'Kibwagizo' chao sasa wameamua kuja na Sauti ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Kikwete ( iliyoigizwa ) ikihamasisha Wasikilizaji tukutane kwa Mpalange na kwamba huko ndiko 'Kumenoga' kwa sasa.

Hapa GENTAMYCINE nimejikuta nikianza Kujiuliza Maswali mengi sana moja wapo ni kwamba mbona Clouds FM hawafanyii Utani ( Dhihaka ) Sauti za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata Magufuli ila kwa Kikwete imekuwa Rais Kwao na ndiyo Chaguo lao bora?

Najua fika kuwa 'Kwa Mpalange' ni eneo la Makazi ya Watu huko Yombo, ila tusiwe Wanafiki hapa wala Kuficha kuwa Masikioni mwa Watanzania wengi sasa neno 'Kwa Mpalange' ni sehemu ya 'Kuhamasisha' Ufanyaji Ngono Kinyume na Maumbile kutoka kwa Mwanaume kwenda kwa Mwanamke.

Media za Tanzania hebu ifike muda sasa tuwaheshimu hawa waliowahi kuwa Marais wetu ( sasa Wastaafu ) kwa 'Kimakusudi' kutumia Sauti zao ( hata kama ni za Kuigiza ) katika Mambo ya Kihuni na yasiyo na Staha pamoja na Maadili.

Ninahisi DG mpya wa TCRA ni Mlokole.
TCRA itabidi I deal na wewe kwanza mleta mada..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom