Tangazo la mafunzo ya zimamoto, je ni la kweli au utapeli?

Mercenary Army

JF-Expert Member
Jun 2, 2017
269
603
Wakuu kuna tangazo nmelipata limetolewa na jeshi la zimamoto kupitia kamishna mkuu kuhusu mafunzo, je ni tangazo la kweli tuchangamkie fursa au ni matapeli?

IMG-20210607-WA0001.jpg
 
Kuna mtu katuma hayo Maombi ghafla anapigiwa simu anaambiwa atume ela kwenye Namba Simu elf 20,000 kwa ajili ya kupata fomu jamaa akashtuka Kama hawa ni wezi.
 
Yaani jeshi litumie gmail.com wakati kuna tanpol??
Nafikiri ni muda muafaka polisi cyber unit, kufanya yao.

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Mwombaji awe tayari kuhudhuri, badala ya kuhudhuria Spelling errors kama hizi nakuambia ndugu yangu hapo hakuna kazi 💯 %
 
Back
Top Bottom