tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) liwajibike katika kuboresha masuala ya Kimtandao, wanatukwamisha

    Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani wa Leseni (Post Internship Examination) ya Madaktari uliofanyika Desemba 17, 2025, tuliona jambo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais kuwa mgeni rasmi kwenye mechi ya Yanga na Simba huko Zanzibar

    Raisi wa Tangabar anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye dabi ya kariakoo itakayopigwa tarehe 01/03/2026 katika uwanja wa Amaan huko Zanzibar.
  3. JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani. Yaani kumbuka sasa hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Ilikuwa kosa kubwa Mwl. Nyerere kuzingatia siasa za kikanda Tanganyika bila kuzifungamanisha na uchumi na bado nchi ikiwa changa

    Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa Tanganyika wakati huo na ya muda mrefu. Ukitafakari kwa kina katika fikra huru ni jinsi gani...
  5. JamiiForums Tanzania Jiwe la Kumbukumbu la Nyumba Aliyolala Mwalimu Nyerere Ujiji 1954 Wakati wa Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/zZS4uioW6_g
  6. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Watangayika kwa sasa wanahitaji Jamhuri ya Tanganyika kuliko kitu chochote katika safari ya mageuzi na ukombozi wa Taifa hili

    Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili. Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola amejidhihirisha kuwa adui namba moja na tishio kwa usalama na uhai wa Jamhuri ya Tanganyika kuliko...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Special Threads

    GT. Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu. Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Samaki Aina zote Kutoka Ziwan Tanganyika, fresh fish (Wenye Bucha za Samaki)

    Aina za Samaki Sangara. Kg 1 Tsh 10,000 Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000 Sato. Kg 1. Tsh. 9,000 Migebuka Kg 1. Tsh 8,000 Nungi. Kg 1. Tsh 8,000 Kungura. Kg 1. Tsh 8,000 Singa. Kg 1. Tsh 7,000 Napatikana Sumbawanga. (Usafr Juu yako Mteja) Name: Silvester...
  10. JamiiForums Tanzania Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa

    Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa https://youtu.be/cGln0q9H1Oc
  11. R

    JamiiForums Tanzania Haya nyie watu, mnakubali nchi ya Tanganyika inauzwa, mnadhani mtahamia arabuni cum zenji na koo zenu hiyo siku ikija?

    Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
  12. JamiiForums Tanzania Kukatika kwa kiungo: Nani anamshauri nani Tanganyika!

    Kwenye kabumbu kiungo mchezeshaji akiyumba timu lazima ichezee kichapo ama ifanye vibaya Maziwa ya ng'ombe yako ya aina mbili, fresh na mtindi.. Ukisikia maziwa yamekatika maana yake sio fresh na sio mtindi Mbege pia inakatika Pombe pia inakatika Hata soda pia.. Ukiifungua haifanyi psii...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiacha OUT, Kwanini hatuna chuo kinachobeba jina la nchi?

    Akili za baada ya kushiba: UDOM au UDSM kimoja wapo kibadilishwe jina kuwa University of Tanganyika au University of Tanzania. 🥱🥱😌😌
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata Uhuru wa Tanganyika, tutafuta Jina Samia kwenye kila kitu hapa Tanganyika

    Mzanzibari asijekuwa tena Kiongozi wa Tanganyika
  15. JamiiForums Tanzania Msiba wa mzee Mtei na heshima kubwa ya CHADEMA Tanganyika

    MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA Mwl. John Pambalu Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
  16. JamiiForums Tanzania Zimwi la ziraili wa gizani linavyoitesa Tanganyika

    Kuna siku nilikuwa nabarizi kando ya mto wenye kivuli kizuri.. Ghafla nikaliona joka la kijani limepiga mbizi mtoni na ghafla likaibuka na samaki kinywani Kuna sauti ikaniambia pale lile joka la kijani likiulizwa huyo samaki unampeleka wapi kwa hakika litasema likikuwa linamuokoa asichukuliwe na...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kipi chama pendwa zaidi Tanganyika

  18. JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Hatma ya Watanzania na Mustakabali wa Tanganyika Yetu

    Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Adui wa kwanza wa Tanganyika ni China

    Puuzi so.called Waziri wa Mambo ya Nje Anampongeza kwa kupata asilimia 98. Hakuongelea mauaji yaliyotokea 29.10.2025. Huyu ndiye adui wetu!
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kodi za Watanganyika zinajenga shule Zanzibar ambazo hapa Tanganyika hazipo

    Hii sio haki kabisa. Tunawajengea Wazanzibari mbona hapa Tanganyika hakuna shule kama hii?👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…