tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi awashangaa wanaosema kwa lugha nyepesi tusameheane baada ya mauaji ya Oktoba kama vile mtu amekanyaga tu kitumbua

    Rais Wa Chama cha mawakili Tanganyika ameeleza kuwa mauaji yaliyotokea Oktoba ni makubwa hayakuwahi kutokea Toka Tanganyika ijulikane na si Muarabu, Mjerumani wala Muingereza aliyefanya mauwaji makubwa hivi. Awashangaa watu wanaozungumza kwa lugha nyepesi tu kuwa tusameheane kama vile mtu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

    Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Chief Mohosh Plantan (Afande Plantan) katika historia ya Tanganyika

    Watoto wa Chief Mohosh Plantan (Afande Plantan) katika historia ya Tanganyika https://youtu.be/fPdA-pfDcnw?si=c-i7GRJomRUDrOYQ
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tanganyika vs Tanzania

    Chagua jina litakalofaa pale taifa letu litakapokombolewa NB: unaweza kutaja sababu 1. Tanganyika 2. Tanzania Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 18.01.2026
  5. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kutofanikiwa kwa maandamano ya Mo 29 , D9 na hatima ya Tanganyika

    Naona giza mbeleni na hali inatisha Sana Sana! Dini inatumika kuisambaratisha Tanganyika😭😭😭 Hili igizo la RC lilikuwa ni kwa ajili ya kuwatoa Watanganyika kwenye reli ili kikao cha Zenji kiende bila kelele. Kumbukeni wakurugenzi wote nchini wameitwa wako huko Mkandarasi wa igizo hili ndio...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Je, Utawala wa Samia Unaielekeza Tanganyika Kwenye Njia Hatarishi Inayofanana na Mauaji ya Halaiki ya Darfur?

    Sudan inakabiliwa na moja ya majanga mabaya zaidi ya kibinadamu duniani. Tangu Aprili 2023, zaidi ya watu 400,000 wameripotiwa kuuawa na takribani watu milioni 12 wamekimbia makazi yao. Kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) kimeshutumiwa vikali kwa mauaji ya kimfumo dhidi ya raia wa makabila...
  7. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Kuna UVCCM kule Facebook: Amehoji kwanini Serikali ya Tanganyika iliamua kuwapa Zabuni ya kujenga SGR Yapi Merkez (Waturuki) na kuwaacha Wakandarasi

    Bila shaka huyu UVCCM anahofia Performance ya Yapi Merkez katika Ujenzi wa Miradi mikubwa, na Bilashaka anataka kuwatupia zigo la mavi juu ya uharibifu uliotokea. Ngoja nimwambie: - Mradi wa Tanzania Standard Gauge Railway una Phase 6, Katika hizo phase 6 Yapi Merkez walishinda zabuni ya Ujenzi...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kwa maslahi mapana ya Taifa la Tanganyika nawaomba tujadili kwa undani hili jambo la maridhiano

    Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa 29 October 2025 Sasa wachambuzi wenye weledi na ufahamu mpana wanaweza kuja hapa na kutuchambulia...
  9. M

    JamiiForums Tanzania TAHARUKI!! Vijana washusha bendera ya CCM na kupandisha bendera ya Tanganyika

    Kuna picha zinasambaa huko social media zikionyesha vijana wakiwa wamepandisha bendera ya Tanganyika. Nafanyia utafiti kuhusu uhakika wa picha hii. Kama tumeanza kufikia hapa, hii itakuwa ni matokeo ya kuua upinzani sasa CCM itakutana na "Resistance" upinzani ambao haijawahi ona. Kitendo hiki...
  10. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

    Rais mstaafu wa awamu ya nne ndugu Jakaya Kikwete ndiye rais bora zaidi kwa hapa nchini kuliko marais wote waliopita na huyu aliyejipa urais kinguvu Kipindi cha Kikwete maisha yalikuwa poa sana na wengi walitoboa kipindi chake. Japo ufisadi ulikuwa mkubwa, watumishi hewa lakini pesa mtaani...
  11. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Iheshimiwe Jan 21, 2025. Wamejifunza. Tuwaamini?

    Heri ya Christmas wakuu. Kuna Flyer nimeiona ya Ndg Nchemba, akitoa salamu za Christmas. Lakini pia anasema "WAMEJIFUNZA". Wamejifunza nini? Imekuwaje wamejifunza? Kuna line moja ya Tupac, inasema "I will not change the world, but I guarantee that I will spark the brain that will change the...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ukame wa matamasha Tanganyika

    Kweli mwaka 2025 utatuachia kumbukumbu nyingi Sana! Kwa kawaida na kwa mazoea ya miaka yote kipindi hiki cha sherehe za Christmas na mwaka mpya ni kipindi cha shamrashamra na vibes za kila aina hasa kutoka kwa wasanii wetu Ni kipindi ambacho radio na tv zinashindana kutangaza matamasha ya...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mageuzi Katika Mtaala wa Kufundusha Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MAGEUZI KATIKA MTAALA WA UFUNDISHAJI WA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Nimepokea ujumbe huo hapo chini kutoka kwa mwanafunzi wangu mmoja: ''Leo rafiki yangu mmoja ambaye ni muhitimu wa Shahada ya Ualimu wa Historia mwaka huu amenipa habari njema kwamba habari za Abdulwahid Sykes na wazee...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anatupa taabu sana kuirudisha Tanganyika yetu

    Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha muungano wetu. Hata waliopo kwenye madaraka tukiwahoji hawana cha maana cha kujibu zaidi wanatupia mpira...
  15. lutemi

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu LISU imekupa fundisho gani na kama angekuwa Rais wa Tanganyika kungekuwa na utawala upi bora?

    ### Mambo makuu kumi ambayo kesi ya Tundu Lissu imenifundisha kama Mtanganyika: 1. Udhaifu wa mihimili ya serikali: Kesi hii inaonyesha jinsi polisi, mahakama na upande wa mashtaka vinavyoweza kutumika kisiasa badala ya kutenda haki. 2. Ukandamizaji wa kisiasa: Mashtaka ya uhaini yanatumiwa...
  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wakuu! Nipeni report kipi kimejiri Tanganyika kwenye siku yake ya uhuru, ndio naamka saizi

    Vipi sherehe za uhuru wa tanganyika zimefanyika ipasavyo na watu kweli wamekumbuka mashujaa waliopigania hili Taifa hadi kuwa huru? Na kama hazijafanyika, vipi mmepewa maelekezo ya kutosha bajeti iliyotengwa kwa ajili ya hii sherehe ilikuwa kiasi gani na imeenda kufanyia nini na huku...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanganyika ndo imekuwa mikononi mwa wananchi, inakuwaje kwa hawa.?

    Nawaza mbeleni kwanza tu. Nikiwatazama Wakuu wa mikoa, RPC, IGP, DGI, Mahakimu, watoto wa wakubwa, wabunge, machawa, wasani wao, Account zinazoshangilia n.k. Kuna kitu kinaitwa kihoro kitaondoka na wengi.
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Mungu akaufanya moyo wa 'Farao' kuwa mgumu ili wana wa Tanganyika wapate kupona

    BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao; kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito, nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao. Kashauriwa karibu na kila mtu, wape watu wako Haki wanayoomba, yeye akawajibu, Haki ipi wanayoomba. Viongozi wa Dini mbalimbali wamemwambia, wape wananchi wako...
  19. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania Ya Rais Samia Suluhu Haitaki Tarehe 09.12.2025 Watanzania Kusherekea Siku ya Uhuru wa Tanganyika

    Tanzania, kama taifa moja lenye umoja, limejengwa kwa misingi ya historia ndefu na changamoto mbalimbali. Hata hivyo, miongoni mwa matukio muhimu katika historia ya taifa hili ni siku ya uhuru wa Tanganyika, ambayo ilitokea tarehe 09 Desemba 1961. Hii ni siku muhimu ambayo inawakumbusha...
  20. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hebu tuongee ukweli nani anayoiharibu Tanganyika, Ni CCM au Wapinzani?

    Unajua watu wazima wanaziba ufa kwa kusema UONGO,wanayoiharibu inchi ni CCM na serikali kwa ujumla,hivi hakuna mtu asiyejua chanzo cha haya matatizo ni mama kujipitisha kugombea peke yake na tume ya uchaguzi ya mchongo. Kama uchaguzi ungekuwa huru na haki kuna mtu yeyote angeingia barabarani...
Back
Top Bottom