People's power
Siasa za maji takaUkifatilia sana siasa za nchi hii zinaweza kukupasua kichwa bure!, mhimu kila mtu apambane na hali yake kupeleka ugali nyumbani.
Wamaanisha gallow bird?🤣
Huu uzi lazima aje kulopoka lopoka yule jamaa zamani watu walikuwa wanajua ni demu ila kumbe ni kidume maini, jina lake la mwisho ni bird,
Ana shobo sana.
Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA leo kinatimiza miaka 33 tangu kilipoanzishwa na kusajiliwa Rasmi kama Chama Cha Siasa.Majibu wanayo Polisi wa Mbeya
ni kweli kabisa mkuu.Siasa za maji taka
CHADEMA🤣
Huu uzi lazima aje kulopoka lopoka yule jamaa zamani watu walikuwa wanajua ni demu ila kumbe ni kidume maini, jina lake la mwisho ni bird na anawapenda sana hamas.
Ana shobo sana.
Sipingi.
Kunajamaa alitaka kuchafua upepo kumbe siyo wewe.Sipingi.
Yupi huyo?Kunajamaa alitaka kuchafua upepo kumbe siyo wewe.