Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Kwanza nitangulize shukrani zangu kwa JamiiForums kwa kuwa siku moja baada ya lile chapisho lililoletwa na member kuhusu Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) kuharakisha kutoa matokeo ya Mtihani wa Leseni (Post Internship Examination) ya Madaktari uliofanyika Desemba 17, 2025, tuliona jambo...
Anonymous (9713)
Thread
baraza
changamoto
katika
kuboresha
leseni
madaktari
masuala
mct
tanganyika
usajili
Mama Samia achana na cheap popularity haitakusaidia lolote unatakiwa usiwe muongeaji sana maana naona unaanza kutoboa matundu ya hela wakati huo ukiwa umewekwa kwenye mtego mgumu na mzito sana wa ilani yenye kurasa 300 ya kutekeleza miradi yote iliyoko kwenye ilani.
Yaani kumbuka sasa hivi...
Katika mambo ambayo yameigharimu sana Tanganyika na kuidumaza huenda hata sio siasa ya ujamaa zaidi bali siasa za kikanda(geopolitics) za Nyerere ambazo hazikuzingatia maslahi ya uchumi wa Tanganyika wakati huo na ya muda mrefu.
Ukitafakari kwa kina katika fikra huru ni jinsi gani...
Vyovyote itakavyokuwa kuhusiana na Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni lazima Jamhuri ya Tanganyika iwe na serikali yake inayojitegemea na kamili.
Kwa siku za karibuni, Mkuu wa Dola amejidhihirisha kuwa adui namba moja na tishio kwa usalama na uhai wa Jamhuri ya Tanganyika kuliko...
GT.
Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu.
Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa...
Aina za Samaki
Sangara. Kg 1 Tsh 10,000
Kuhe. Kg 1 Tsh 11,000
Sato. Kg 1. Tsh. 9,000
Migebuka Kg 1. Tsh 8,000
Nungi. Kg 1. Tsh 8,000
Kungura. Kg 1. Tsh 8,000
Singa. Kg 1. Tsh 7,000
Napatikana Sumbawanga.
(Usafr Juu yako Mteja)
Name: Silvester...
Taazia ya Brendon Grimshaw (sunday news 1968) mchango wa Abdul Sykes na ukoo wa Sykes katika uhuru wa Tanganyika ni mkubwa
https://youtu.be/cGln0q9H1Oc
Huo ndio ujumbe wenu. Mbuga, bandari, maji, na kila kitu wameuziwa waarabu, sasa dhahabu nayo watagawiwa waarabu maana watapewa kwa bei ya kutupa kama walivyopewa vingine!
Kwenye kabumbu kiungo mchezeshaji akiyumba timu lazima ichezee kichapo ama ifanye vibaya
Maziwa ya ng'ombe yako ya aina mbili, fresh na mtindi.. Ukisikia maziwa yamekatika maana yake sio fresh na sio mtindi
Mbege pia inakatika
Pombe pia inakatika
Hata soda pia.. Ukiifungua haifanyi psii...
MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA
Mwl. John Pambalu
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
Kuna siku nilikuwa nabarizi kando ya mto wenye kivuli kizuri.. Ghafla nikaliona joka la kijani limepiga mbizi mtoni na ghafla likaibuka na samaki kinywani
Kuna sauti ikaniambia pale lile joka la kijani likiulizwa huyo samaki unampeleka wapi kwa hakika litasema likikuwa linamuokoa asichukuliwe na...
Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.