Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,040
- 33,687
Beira,Wewe mzee acha utapeli
Mkuu muheshimu Mzee wetu Mohamed Said hata kwa umri basi amekuacha parefu sana😄Wewe mzee acha utapeli
Hata wahuni huzeekaMkuu muheshimu Mzee wetu Mohamed Said hata kwa umri basi amekuacha parefu sana😄
Hapana mzee wangu mimi nakutania tu maana wewe ni mtani wangu
Masai...Ulipotelea wapi baba? Napenda sana makala zako
Beira Boy,Hapana mzee wangu mimi nakutania tu maana wewe ni mtani wangu
Sisi wasukuma huwa tunautani na nyie watu wa pwani na makobazi yenu kwenye miguu
Ahsante,Masai...
Nipo lakini kama ujuavyo JF tulikuwa tunatumikia kifungo.
Alhamdulilah tumetoka jela sasa tuko huru.
Ingia: mohamedsaidsalum.blogspot.com
Hapo chini ni You Tube Channel yangu:
https://youtube.com/@samitungo?si=bWwE19-F8taOrYDz
Beira Boy,Hata wahuni huzeeka
Ni kweli mzee wanguBeira Boy,
Ahsante hakuna shida.
Utani uko katika mila na utamaduni wetu na kwa hakika huongeza mapenzi baina ya watu.
Madini alete ila apungize mambo yake ya kuegemea upande ule😅😅Ni kweli mzee wangu
Mimi hata nyumba ninayoishi hapa ni ya wazaramo
Kuna undugu tiari tushatengeneza kutokana na utamaduni wa utani
Endelea kutuletea madini mzee wetu
Kinyungu,Madini alete ila apungize mambo yake ya kuegemea upande ule😅😅
Itakua mfumo uleee unaipiga vita😂😂🤭Kinyungu,
Siegemei popote lakini huo ndiyo ukweli wa historia ya uhuru wa Tanganyika.
Wewe hushangai kuwa historia hii haikuwapo?
Jiulize kwa nini?
Kinachonishangaza ni kwamba, wanaokukosoa kwa kashfa za udini hawaelezi historia sahihi wanayoijua wao ni ipi.
Mshamba...Kinachonishangaza ni kwamba, wanaokukosoa kwa kashfa za udini hawaelezi historia sahihi wanayoijua wao ni ipi.
Smart...
Holojolo,Hakuna historia ya tanganyika iliyoletwa na mzee Mohamed Said ikiwahusu watu wa imani tofauti na yake! Mara nyingi amekuwa mtu wa upande mmoja, nataka kujua tofauti na mwl nyerere hakuna mtu yeyote aliyepigania uhuru wa tanganyika wa tofauti na dini yako? Kwa nini unaleta historia inayoegamia upande mmoja? Sawa wewe ni mzee una maarifa busara na maarifa lakini kwa hili lazima ukweli tuuseme,wewe ni mdini.