tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO inaweza ikatengeneza faida kubwa sana endapo wataanza kukopesha units za LUKU. Hii ni ngumu kwa mteja kukwepa marejesho

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu JamiiForums. Kwanini TANESCO haikopeshi units za umeme wa LUKU kwa wateja wake? Mimi ninaona kama mchakato huu utawawezesha kupata faida kubwa sana kama riba kwa maana ni ngumu sana kwa mteja kukwepa marejesho. Tofauti ya mteja wa TANESCO na...
  2. JamiiForums Tanzania 73 Government Jobs UTUMISHI at TANESCO, April 2021

    1.1 JOB TITLE: LAND SURVEYOR TRAINEE - (3 POSTS) 1.1.1 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist in carrying out surveying and mapping studies for the company’s activities; ii. To assist in coordinating survey findings with work of engineering and other technical personnel, clients, and others...
  3. JamiiForums Tanzania CAG: Bwawa la Nyerere liliharakiswa

    Ripoti ya CAG inatanabaisha sintofahamu kuhusu UTARATIBU wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Nyerere mto Rufiji.. mfano, 1. Ujenzi wa bwawa ULISIMAMA KWA MIEZI MI(5) Baada ya kuta za bwawa kugharikishwa na maji. Sababu iliyobainishwa na CAG ni kuwa plan ya ujenzi ya 2017 ilitaka mikondo miwili ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, usisahau kufumua TANESCO

    Pole na pongezi kwako, naomba nikufikishie hili la TANESCO kuweka umeme kwenye nyumba imekuwa balaa, baada ya kufanya wiring ili kumpata surveyor inabidi usubiri hata miezi sita ila ukitoa chochote wanakuja kwa haraka, wakikuambia kwamba watakuletea umeme bila nguzo gharama yake ni laki tatu...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema Serikali itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya mradi wa umeme wa mto Rufiji

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa umeme wa maji ya Mto Rufiji (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Sospeter Muhongo ameniogopesha kwa kauli yake kuhusu ujenzi wa bwawa la Rufiji; je, kuna haja ya wabunge wote kupimwa akili?

    Tangu niliposikia kauli ya Mbunge Sospiere Mukweli akisema kwamba ujenzi wa mabwawa ya kufua umeme kwa sasa yamepitwa na wakati, akili yangu imevurugika kabisa nisielewe nini kinaendelea kichwani mwa wabunge wetu, nimeogopa sana. Na hii imekuja baada ya ile kauli ya hayati Rais John Joseph...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji bajet kiasi gani kutoa TANESCO nitumie solar

    Ni miaka nenda rudi haya matatizo ya umeme yanasumbua kwakweli. Nahitaji walau nikae mwaka mzima bila kuijua shida ya umeme. Je, ni bajeti kiasi gani inahitajika. Transistor
  8. JamiiForums Tanzania Uzembe wa TANESCO, Nguzo iliyo anguka yaua Mwanafunzi Kyela

    Wilayani Kyela, Katika kata ya Serengeti siku ya jumamosi 27-02-2021 ilipata kuanguka nguzo mojawapo ya umeme wa Tanesco Hata kukapelekea kukosekana kwa umeme katika katika kata hiyo. Ikumbukwe leo ni Ijumaa ya tarehe 05-03-2021. Wana-Serengeti wakafanya jitihada ya kuwasiliana na mamlaka za...
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO Morogoro mbona kila siku umeme hakuna kwa muda mrefu?

    TANESCO Morogoro kwa kukatika huku umeme kila siku kwa masaa mengi mjitafakari. Nadhani Mh. Rais Magufuli hajagundua upuuzi huu ila soon atagundua na mtalia na kusaga meno pale mtakapotumbuliwa! Kila siku umeme lazima ukatike na hakuna taarifa yoyote inayotolewa kwa umma. Wananchi wanateseka...
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO tuambieni nini kinaendelea huko Mbeya maana umeme kukatika imezidi sasa

    Ni takribani miezi kadhaa sasa, Mkoa wa Mbeya imekuwa kero, Umeme Unakatika Zaidi ya mara 4 kwa Siku. Na hili tatizo lipo zaidi ya Miezi 3 hivi. Tunaambiwa Bwawa la Mtera Maji yamejaa mpaka wanayafungulia yatoke lakini Umeme katika Siku nzima unawaka si zaidi ya Saa 6 hivi. Tafadhalini acheni...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yasema treni ya SGR haitokuwa na tatizo la umeme

    Serikali imewahakikishia Watanzania kuwa Treni ya Kisasa (SGR) haitakuwa na tatizo la umeme, kwa sababu mabehewa yatakuwa na uwezo wa kuhifadhi umeme wa ziada kwa saa moja hadi mbili. Waziri wa Nishati, Dk Medard Kalemani, alibainisha hayo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro wakati akifungua kikao...
  12. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya maji Sengerema yakatiwa umeme na Tanesco

    Shirika la Umeme nchini (Tanesco) mkoa Mwanza limesitisha huduma ya umeme kwenye chanzo cha maji cha Nyamazugo kinachosambaza maji wilayani ya Sengerema mkoani hapa. Meneja wa shirika hilo wilayani Sengerema, James Kabasa amesema wamesitisha huduma hiyo kutokana na Mamlaka ya Maji Safi ya Mji wa...
  13. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
  14. JamiiForums Tanzania TANESCO Arusha tangazeni kama kuna mgao wa umeme

    Karibia miezi 6 sasa Tanesco Arusha wamekuwa wakikata umeme kila siku. Imefikia mahali sasa suala la kukatika umeme limekuwa la kawaida, yan wanaturudisha nyuma kipindi kile cha Lowassa ambapo kila kona ilikuwa giza. Mi ninachoomba kama kuna mgao tangazeni rasmi, kuliko kutukatia umeme kila...
  15. JamiiForums Tanzania Tabora: Wafanyakazi wa TANESCO wafikishwa Mahakamani kwa uhujumu Uchumi

    Aliyekuwa Meneja wa Tanesco Mkoa wa Tabora, Mohamed Abdallah D’Souza na aliyekuwa Mhandisi Mwandamizi wa Tanesco, Melkiad Msigwa wamepandishwa kizimbani kwa makosa saba, likiwemo la ujuhumu uchumi na kuisababishia serikali hasara ya Sh 60,066,382.40. Wamefikishwa mahakamani na Taasisi ya Kuzuia...
  16. JamiiForums Tanzania TANESCO kujenga bwawa la kufua umeme mto Malagarasi litakaogharimu bilioni 330 kwa ufadhili wa Benki ya Afrika

    Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo. Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
  17. JamiiForums Tanzania Fundi rangi & design

    Pendezesha Nyumba yako kwa rangi Nzur ambazo azchosh, pia naweka wallpaper za Aina zote kwa ufanis wa Hali ya juu napatkana Dar nafanya kaz seem yyte, mawasliano 0656 535646
  18. JamiiForums Tanzania Mtandao - Jini linalosumbua ofisi za Serikali Tanzania, TANESCO hawakosi

    Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa hata katika awamu hii. Mfano unaenda TANESCO kujaza fomu ili uwekewe umeme lakini inamaliza hadi wiki...
  19. JamiiForums Tanzania TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Tangu tarehe 1 mwezi wa 1, wana Nchi walisherekea sikukuu ya mwaka mpya bila umeme. Umeme ulikata kuanzia saa saa 12 jioni, mpaka saa 4 usiku ndiyo mkarudisha. Tangu tarehe moja mwezi huu, mpaka leo hii tarehe 7, mmekuwa mnakata umeme kila siku. Mna kata umeme saa 2 asubuhi au saa 8 mchana...
  20. JamiiForums Tanzania TANESCO: Uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni

    Meneja Uhusiano wa TANESCO Johari Kachwamba, amesema kuwa uwepo wa Kunguru ndiyo chanzo kikubwa cha umeme kukatika mara kwa mara katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, kwani Kunguru hao wanachangia kuharibu miundombinu hususani nyaya za umeme. Kauli hiyo ameitoa hii leo Januari 5...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…