tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. F

    TANESCO Kibaha badilikeni

    Merry Christmas wana jamvi, Niende moja kwa moja kwenye mada Tanesco Kibaha ambayo ndo inawakilisha Tenesco mkoa wa pwani, imejaa ubabaishaji na kuendekeza rushwa. Nasema HILI kwa sababu moja. Mkoa wa Pwani ni mojawapo ya mikoa ambayo inakuwa kwa kasi sana, lakini pia ni mojawapo ya mikoa...
  2. Rushwa na Tanesco

    WanaJF habari za asubuhi Baada ya Serikali awamu ya tano kutoa offer ya umeme wanayodai ni sg 27,000/- maeneo mbalimbali, hawa wanaotumwa kuja unganisha huwa wanataka uwape na pesa pia, wanadai si rushwa ila ni wajibu wa kazi yao hasa Maeneo ya Arusha kabla ya kuunganishiwa umeme wamehalalisha...
  3. C

    Waziri Kaleman ifumue TANESCO Kyela ni kero na aibu kwa nchi

    Mheshimiwa waziri kyela hakuna umeme ni mwezi sasa, wanakata saa 12 asubuhi kila siku na kurudisha saa 3 usiku, watu wanahamasishwa wanunue generator na sola power, hii ni hujuma fumua uongozi wa Tanesco kyela,tunakuomba mheshimiwa waziri tunajua wewe ni mchapa kazi ila hawa watu wanakuangusha
  4. S

    TANESCO Mbezi Shule tunaomba mtutendee haki wateja wapya

    Nianze kwa kupongeza juhudi kubwa zinazofanywa na watumishi wote wa TANESCO nchini kote bila kuwasahau watumishi wanaotuhakikishia huduma hii ya umeme ipo kwa watumiaji muda mwingi KATIKA ENEO la Mbezi na viunga vyake vyote pokeeni pongezi hizi. Naendelea kutambua na kuheshimu kazi inayofanyika...
  5. S

    Kwanini biashara ya kuzalisha na kusambaza umeme isiwe biashara huria ili TANESCO ishindane na makampuni binafsi?

    Wadau, hivi kuna ugumu gani sisi kama nchi tukawa na sera ya kuruhusu makampuni binafsi kusambaza na kuuza umeme kwa wateja badala ya makampuni haya kuruhusiwa kuzalisha umeme tu na kisha kulazimika kuwauzia TANESCO ambao ndio wenye haki pekee ya kusambaza na kuuza umeme hapa nchi? Faida ya...
  6. Siasa za Umeme: Kwa vile Umeme wa Stigler's utatosha na ziada kuuza nje. Je, TANESCO kusaini PPA mpya 6 toka kwa 6 IPPs, sio ufisadi mpya wa kisasa?

    Wanabodi, Kwa vile hii ni mada technical, yaani ni mada ya kitaalam, naomba kuanza bandiko hili kwa elimu kidogo kwa members wenzangu ambao sio wataalam wa mambo ya power na energy. Watu wanadhani siasa ni kusimama tuu majukwaani na kupiga domo, issues yoyote yenye impact kubwa kwa taifa ni...
  7. Hivi TANESCO siku hizi kuna mgao wa kimya kimya?

    Yani siku hizi umeme hautabiliki huku Bunju, ikipita siku haujakatika basi ni ajabu. Wataka asubuhi warudishe saa 8 au 11, au watakata saa tano warudishe saa 10. Hii Tanzania ya Viwanda itapatikana kwa umeme wa namna hii? Miezi kadhaa nyuma mlikuwa mkikata umeme mkiulizwa mnasema eti...
  8. TANESCO nini shida, umeme sasa ni highly unpredictable, yaani kwa siku unakatika hata mara nne, tano, tutafiki kwel?

    TANESCO imenikumbusha the terrible times we had in 2015.Baadaye ikagundulika hata hivyo kwamba it was sabotage. Mimi sitaki kuamini kwamba hii situation ya sasa ni sabotage, ingawa kwa jinsi hali ilivyo,it can well be,kwa hiyo kuna haja ya "the state machinery" too look into it.Huu uchomwaji wa...
  9. B

    TANESCO Wilaya ya Geita mnawezaje kufikisha siku tatu bila kutengeneza transfoma huku mitini dawa?

    TANESCO GEITA badilikeni, mteja ni mfalme. Mmetukosea sana sisi wakazi wa mitini dawa hapa Makelemo bar na maeneo jirani. Tangu Jumanne, Jumatano hadi leo hakuna umeme. Au ndo mnawahujumu CCM tuwanyime kura? Tumeshindwa kuwasha mashine wala kunyoosha nguo. Vyakula kwenye majokofu vinaharibika...
  10. S

    Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa

    Maeneo ya Oysterbay - Dar yemekumbwa na kukatikakatika kwa umeme mara kwa mara bila taarifa kwa takriban wiki ya 2 sasa. Si asubuhi, si mchana wala si usiku. Leo tarehe 18 /10/2020 umekatika kuanzia saa 1.30 usiku mpaka mpaka saa hizi saa 7 kasorobo usiku kuamkia tarehe 19/10/2020 ni giza...
  11. TANESCO mnaogopa nini? Tangazeni kuwepo kwa mgao au tatizo kubwa la umeme Dar es Salaam

    Habari wana JF, Naomba kutumia platform hii kulitaka Shirika la Umeme nchini TANESCO kwa uwazi kabisa watutangazie mgao wa umeme au tatizo kubwa sana la umeme kwa wakazi wa Dar es Salaam. Maana kila siku lazima wakate umeme mara 2 hadi 3 bila taarifa yoyote. Huku Kimara leo hata siku...
  12. Lissu: Serikali na benki hazina uwezo wa kujenga bwawa la Umeme Rufiji

    Kwa hikaka nimeamini Magufuli atabaki historia ya hii nchi kwa miaka mingi sana ijayo. Katika Mahojiano ya Lissu na Dotto Bulendu, Mgombea Urais wa CHADEMA, Lissu ameonesha kutoelewa namna gani Serikali ya Magufuli inawezajenga bwawa la Umeme kubwa Kama lile. Haelewi Kama serikali na Bank...
  13. K

    Msaada kuhusu Interview ya Customer Service Officers TANESCO

    Habari za asubuhi wadau. Ninaomba msaada kwa waliowahi kuhudhuria interview Utumishi kwa nafasi ya CUSTOMER SERVICE OFFICERS. Ni maswali gani wanapendelea kutoa? Asanteni sana.
  14. Artisan - Mechanics at TANESCO (7 Posts)

    POST: ARTISAN – MECHANICS – 7 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2020-09-01 - 2020-09-14 JOB SUMMARY: N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES: Servicing and repairing power generation machines under the...
  15. Nafasi ya kazi: Mechanic at TANESCO

    POSTARTISAN - MECHANICS - 7 POST POST CATEGORY(S)ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYERTANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED (TANESCO) APPLICATION TIMELINE:2020-09-01 2020-09-14 JOB SUMMARYNA DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Servicing and repairing power generation machines under the...
  16. Mita ya TANESCO na ununuaji wa Luku

    Ukifunga mita ya TANESCO hii ya Luku kwa mfano mita nimefunga mbezi, alafu nikahama Mbezi na mita yangu nikahamia labda magomeni na hiyo mita, nimesikie eti ni hadi nikahamishe location ya mita ili niweze kununulia umeme sehemu niliohamia bila hivyo siwezi pata hiyo huduma kwa hapo...
  17. Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  18. TANESCO Bagamoyo imulikwe - ni hujuma au magendo?

    Kuna tabia imezuka kwa muda sasa, ikifika saa moja au mbili usiku wanakata umeme. Hakuna mvua au radi (ambavyo huwa visingizio vyao) au maelezo yoyote yanayotolewa na kisha baada ya lisaa hivi ndipo wanarudisha. Wiki imetokea hivi kila siku. Wakazi wa huku tunajiuliza kuna nini? Zamani za...
  19. M

    TANESCO watupatie App

    Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote. Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani. Wadau wa teknolojia inawezeakana?
  20. Asante Rais Magufuli kupambana na mafisadi TANESCO, sasa umeme sio kero tena na haukatiki muda mrefu

    Tanesco iligeuzwa chombo cha kisiasa ambacho mafisadi waliitumia Tanesco kuifanya serikali ya CCM ichukiwe na wananchi ili upinzani ushinde 2015 karibu na uchaguzi mkuu nilikuwa Arusha mjini umeme ulikuwa unazimwa siku nzima unawashwa saa saba usiku na kuzimwa saa tisa usiku. watu vyakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…