tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania TANESCO ya sasa imekuwa pambo; kipindi cha Magufuli ilikuwa ni ya kiutendaji

    TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco...
  2. JamiiForums Tanzania TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa wa Mwanza

    Tanesco acheni dharau kwa Rais Samia Leo katika mkoa wa Mwanza nimeona kitendo ambacho sio cha kiungwana na kinachoonesha dharau kwa mamlaka. TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa huu. TANESCO mnashindwa kutambua kwamba, mwenge unapopita sehemu au mkoa wowote ule ni...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO mnatulipa lini malipo ya mradi wa 400 KVA Kinyerezi

    TANESCO Mmekuja mwanzoni mwa mwezi wa sita mkasema mnatulipa wiki ya mwisho wa mwezi wa sita sasa ni tarehe 6 mwezi wa saba hamjatulipa na tumesubiri toka 2016. Kama hamtulipi tupeni mamlaka ya kuendeleza maeneo yetu tumechoka, wiki ikiisha sasa wengine tutalilipoti kwa Rais Samia.
  4. JamiiForums Tanzania Sababu ya Nyumba kuungua kwa tatizo la umeme na utatuzi wake

    SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE: Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania kutokana na hasa kuongezeka kwa matumizi ya umeme. Juu sheria ya umeme ya kimataifa IEE regulation. Pia...
  5. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanesco Mwanza ni kipimo cha Serikali kufeli

    Katika Jiji la Mwanza, Tanesco Nyakato, wananchi wamekuwa wakilalamika kila wanapoenda ili wapate huduma katika Maeneo mbambali kama, kijerishi, Nyamongoro, Kisesa maeneo ya Isen B, Nyakato, Buswelu, National. Baadhi ya Matatizo yaliyopo ni kutowekewa umeme huku nguzo transforma na wire...
  6. JamiiForums Tanzania Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72. Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Jengo la Tanesco Ubungo lifanywe Hostel za wanachuo

    Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki. Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake Basi...
  8. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea TANESCO ni kumfitinisha Rais Samia kwa Wananchi

    Tokea afariki Magufuli huko TANESCO hakujatulia na mambo yamekuwa ya hovyo sana! Umeme kukatikakatika kwa sasa ni jambo la kudumu. Mfumo wa kununua umeme kwa njia ya simu nao pia chali. Hii si hali njema sana kwa Wananchi na imesababisha usumbufu usiokuwa na lazima. Kipindi cha Utawala wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nyakato, Mwanza: Wananchi walalamika kuzidiwa kwa TANESCO

    Katika Jiji la Mwanza Tanesco Nyakato imeshindwa kutatua kero za wananchi. Wananchi wamelalamika kutofungiwa umeme kwa muda mrefu huku wakidai kupeleka form zao katika kituo hicho kwa mda mrefu wakiahidiwa surveyor kupigiwa simu bila Mafanikio Manager wa Tanesco amedai wanagali mbili na...
  10. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri likibadilishwa Kalemani aondolewe kwa hoja ya Tanesco kutokaguliwa, Mwanasheria Mkuu kusimamia awamu ya 5 kuvunja sheria

    Nasikia tetesi za mabadiliko ya Baraza la mawaziri. Namshauri mama asimuache Kalemani, kwa muda wote ameacha Tanesco bila kukaguliwa hesabu wakati anajua Tanesco inameza zaidi ya trilioni ishirini za nchi kwenye mradi wa bwawa la Stiegler's, mabilioni mengine pia. Kuna uwezekano huko kuna...
  11. JamiiForums Tanzania "Wilaya ya Mbezi Beach" kama inavyoelezwa kwenye taarifa hii ina maana gani?

    Naomba kuuliza hii wilaya ya mbezi Beach imeundwa lini☹️☹️☹️☹️?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanesco, huduma ya Luku imekwama tena leo

    Leo Jpili tangu asubuhi nimejaribu kununua umeme via Mpesa na Simbanking (CRDB) lakini hakuna kitu. Mpesa wamekata kabisa pesa lakini hakuna token iliyokuja.
  13. S

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona makato mengi sana? Anayejua ni ya nini anijuze

    Hii Trans fee ni nini? Au makato ya fee ya barabara imeanza hata kabla ya budget? ===== VAT EWURA REA TRAN FEE??? Ni nini hiki?
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO rudisheni token ama fedha za watu mlizochukua wakati wa tatizo la mtandao

    Rudisheni Token ama fedha za watu mlizokata wakati mna tatizo la mfumo wa LUKU, ni muda sasa hela hamrudishi Token hamtoi, hamuoni kama huu ni wizi kama wizi mwingine? Kwenye mitandao ya simu mtu akipata shida ya miamala ndani ya saa 24 hela zake zinarudi nyinyi mna tatizo gani , watu walinunua...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TANESCO wapeni kipaumbele kwanza waliolipia Tsh 300,000 waishe kabla ya kuanza kufungia LUKU wale wa Tsh. 27,000/=

    Nashukuru bei ya kuingiza umeme imeshuka hadi elfu 27000/= mijini na vijijini kwa sasa. Kesho naenda kuomba luku 10 kwa mpigo kila mpangaji awe na yake. Lakini inasimuliwa wako watu waliolipia bei ya laki tatu ambao hawajawekewa Luku hadi sasa. Kutokana na ongezeko la mahitaji kwa wateja wapya...
  17. JamiiForums Tanzania Gharama za umeme: Rais Samia muwajibishe Waziri Kalemani na uongozi wote wa TANESCO

    Nipo kwenye rekodi hapa ya kumtetea waziri Kalemani huko nyuma lakini leo naomba Rais Samia amfukuze tena ikibidi haraka Sana huyu waziri. Kwa mujibu wa maagizo aliyowapa TANESCO waziri Kalemani anataka sasa karibu watu wote Tanzania nzima wakitaka kuunganishiwa Umeme walipe Elfu 27 tu bila...
  18. JamiiForums Tanzania Umeme wa TANESCO umekuwa kero katika wilaya ya Masasi

    Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme. Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tanesco ukataji umeme wa ovyo

    ..
  20. JamiiForums Tanzania Tanesco Dodoma bado hawataki tulipe 27,000 kuunganisha umeme

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…