BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa PWC, Mchechu, Mafuru na Balozi Maharaj kwakweli nje ya mapungufu ya kibinadamu ila the business minded members wapo katika taasisi hii. Nimemsikiliza Maharage yeye kwenye speech yake anaitazama TANESCO kama
1. Wana bidhaa isiyo na mpinzani ndani ya Nchi
2. Wana uwezo wa kuhudumia nchi za jirani ambazo hazina nishati ya umeme wa kutosha
3. Wana asset za 13.Trillion hivyo wanakopesheka
4. Wana monthly billions hivyo they have a vibrant cashflow
5. Wana customer base over 7million people hivyo wana uwezo waku triple number of customer
6. Wana infrastructure nchi nzima hivyo distribution ya umeme siyo tatizo.
Kwa maana hiyo napongeza sana Serikali kwa focus yao ila mashirika kama TTC sioni sababu kwanini lisi izidi Vodacom na Airtel au kwa nini Posta lisiwe zaidi ya DHL, UPS, SDV ambazo wamefikia kumuliki na ndge zake na meli kwa ajili ya shipping na courier services. Nchi ina tunu ya vijana wengi wenye transormative minds wapewe mashirika haya na siyo kuweka watu kuendesha kimazoe