tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. TANESCO mkoa wa Mara hususani wilaya ya Bunda Mashariki na Serengeti vijijni limekuwa ni kero

    Kwanza hongera na pole kupewa wizara nyeti na ngumu. Nirudi kwenye malalamiko yangu hili shirika la umeme TANESCO mkoa wa Mara hususani wilaya ya Bunda Mashariki na Serengeti vijijni limekuwa ni kero kwa sisi watumiaji. Umeme unakatika hovyo na hawajali. Ninavyongea hakuna umeme toka juzi usiku...
  2. I

    TANESCO kuna nini?

    TANESCO nimelipia umeme mwezi wa nane leo mwezi wa 11 hakuna hata dalili za kufungiwa umeme. Naishi gizani, bora garama za kufungiwa umeme ziwe laki tano tufungiwe kwa wakati.
  3. Kimeumana Bungeni! Spika Ndugai ahoji kama kuna mgao wa umeme nchini

    Spika Job Ndugai amehoji tatizo la kukatika kwa umeme nchini na kuitaka kamati ya nishati kukutana haraka na bodi ya mpya ya Tanesco ili kuwaeleza kazi kubwa iliyoko mbele yao. Sakata hilo liliibuliwa na mbunge wa Kilombero mh Abukary Assenga aliyetaka kujua ni kwa nini Tanesco wanakata umeme...
  4. Waziri Makamba: TANESCO mpya imezaliwa leo, tunataka iendeshwe kibiashara

    Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema ni wakati sasa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuanza kujiendesha kibiashara, kwa ufanisi ili kuchangia uchumi wa Taifa. Mhe. Makamba amesema hayo leo Septemba 26, 2021 wakati akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa ngazi ya Kanda, Mikoa, Wilaya...
  5. Viongozi wa Serikali ya Tanzania tunaombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO wanavyofanya?

    Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla. Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA. "Naombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kwa kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO...
  6. Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

    Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa. Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa. Kama si uhujumu sijui? Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
  7. U

    Vitengo na Mikoa inayoongoza kwa RUSHWA za wateja katika shirika la TANESCO

    Katika vitengo vinavyoongoza kwa Rushwa katika ofisi nyingi za TANESCO ni katika mtiririko hapa chini kulingana na ukubwa wa TATIZO, na pia utaweza kufahamu mikoa ya KITANESCO inayoongoza kwa Rushwa 1. Kitengo Cha Kuungia wateja umeme kwamaana ya wenye nguzo na wasio na Nguzo: hichi ndo kitengo...
  8. January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Leo Mh. Makamba kupitia account yake alikuwa akijibu suala la umeme kukatika. Lakini majibu yake yamejaa walakini. Makamba anasema umeme zamani ulikuwa haukatiki kwa sababu watu walikuwa na hofu ya kufukuzwa hivyo walihakikisha umeme haukatiki, hali iliyopelekea kutofanya rapair. Sasa hivi...
  9. TANESCO wilaya ya Kibaha ni wababaishaji sana

    Waziri Makamba Ukipata wasaa wa kupitia UZI huu basi usisite kutembelea hii ofisi ya TANESCO Kibaha. Wiki mbili zilizopita nilifika ofisi ya TANESCO Kibaha nikirejesha fomu yangu ya maombi ili niweze kupangiwa Surveyor, nikiwa pale ofisini kwao nikaona Tangazo ambalo lilihusu upimaji (surveyor)...
  10. Tanesco loses Sh16 billion per month

    Tanesco loses Sh16 billion per month MONDAY OCTOBER 18 2021 Director general for Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco), Mr Maharage Chande. Summary Tanesco is a big organisation, which collects a revenue worth of Sh1.8 trillion per month, but 60 percent of that money is a loss...
  11. Technician II (Electrical Distribution) at TANESCO - 54 Posts

    POST: TECHNICIAN II (ELECTRICAL DISTRIBUTION) – 54 POST POST CATEGORY(S): ENGINEERING AND CONSTRUCTION EMPLOYER: Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) APPLICATION TIMELINE: 2021-10-15 2021-10-28 JOB SUMMARY DUTIES AND RESPONSIBILITIES To be responsible for operating, controlling...
  12. Ukweli: Tozo za Tanesco ni kodi ya mita, si kodi ya Majengo

    Hii ndio taarifa inayofichwa na Mamlaka na ambayo inawachanganya wananchi, na wala ule uongo wa Viongozi kwamba Nyumba za Tope au za nyasi hazitatozwa hiyo kodi, sasa umedhihirika rasmi kwamba ulikuwa uongo baada ukweli kubaini kwamba kila nyumba inatozwa kodi ya jengo kupitia mita hizo bila...
  13. U

    Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

    Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo 1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila...
  14. K

    Mawazo ya kuibadilisha TANESCO

    Kuhusu Bwawa la Nyerere: Ukweli ni kwamba Umeme wa Bwawa la Nyerere utatutosheleza lakini sio mwingi kiasi cha kuuza nje. Kuna umeme sasa umefika vijijini, joto la dunia linaongezeka, treni ya umeme, matumizi ya Air condition kuongezeka, viwanda vipya. Mfano viwanda vya chuma na cement vinatumia...
  15. Waziri Makamba ujue siyo kila kitu ni cha kubinafisisha

    Waziri wa Nishati January Makamba ajulishwe kuwa kwenye taifa siyo kila kitu ni cha kubinafisishwa kwa masilahi mapana ya taifa. Umeme Bandari Reli Viwanja vya ndege Mbuga etc Baba wa taifa Mwl Nyerere kwenye hotuba yake moja mwaka 1995 alikemea vikali akili ya kuchukua mali ya uma na...
  16. TANESCO inarudi mikononi mwa mafisadi?

    Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994. Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa alikuwa anatumia nguvu ila kiasi alifanikiwa ingawa watu Kama Tundu Lissu walimshauri kwamba...
  17. Mashirika kama TTC sioni sababu kwanini lisiizidi Vodacom na Airtel au kwanini Posta lisiwe zaidi ya DHL

    Napongeza sana kushuhudia transformation inayokwenda kufanyika TANESCO kulifanya shirika la kujiendesha kibishara. Sina wasiwasi na uwezo wa MD Maharage Chande pamoja na bodi yake inayongozwa na gwiji wa ufuatiliaji wa miradi Omary Issa. Lakini pia naangalia wajumbe kama Zawadia Nanyaro alikuwa...
  18. Kilio cha kukosa huduma ya TANESCO kwa wananchi kitaisha lini?

    Kila Mahali wananchi wanaendelea kulia bila Msaada wa viongozi kuhusu kukoswa huduma ya Tanesco kama. 1) kukoswa huduma ya surveyor 2) zaidi ya wananchi 210000 walio lipia huduma ya kuunganishiwa umeme , Hawajaunganishiwa kwa sababu ya upungufu wa meter,nyaya na watu wakuunganisha umeme. 3)...
  19. U

    Makamba futa tarif 4 na tarrif 6, ambapo Bei ya unit moja ni sh 100 na sh 12 ilihali TANESCO wanaonunua zaidi ya 200

    Hii tarif 4 ambapo umeme unanunua unit 1 shilingi 100 ni hasara kwa shirika, kwani Bei ya umeme tanesco anauziwa 200 kwenda juu yeye anawapa watu kwa shilingi 100 kigezo ni umasikini na matumizi madogo. Matajiri na watu wenye uchumi juu ndo wanaongoza kwa kuwa tarrif hii, huku mikoa...
  20. P

    Tatizo la LUKU limerudi tena

    Ni siku ya pili sasa kuna tatizo kubwa ya Luku. either kwa kununua kwa njia ya mitandao ama kwa wakala wao. Waziri mpya tulijua umeingia kuongeza kasi kumbe mambo ni yale yale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…