tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Ustadh tongwe

    JamiiForums Tanzania TANESCO wanachotufanyia sasa hivi tutamkumbuka Magufuli, wakazi wa Keko siku ya 3 hakuna umeme

    TANESCO wamejisahau sana haiwezekani leo inaenda siku 4 hakuna umeme mtaani TANESCO wanazunguka tu mtaani na ngazi zao, ukipiga simu zao za call center zote wamezima.
  2. broken ages

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TANESCO Arusha; Hii siyo hujuma?

    Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme na hivyo inapaswa kukatwa ili kupisha nyaya za umeme Hili siwezi kupingana nalo ila ambacho mimi...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania TANESCO imechukua hela zetu lakini haitaki kutufungia Umeme

    Habari wadau, Nina ndugu yangu mkazi wa Kongowe hii ya Mbagala anasema amelipia umeme toka mwaka jana 2021 mwezi wa nane Ile 27,000 lakini mpaka Leo anazungushwa Tu kufungiwa umeme. Kauliza tatizo nini kaambiwa eti Nguzo hakuna ina maana miti yote Ile iliyojaa iringa au Yale yaliyokua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO sio haki walioleta fomu zamani kulipishwa bei mpya

    Kuna mtu alipeleka fomu ya Maombi ya umeme mwezi August 2021. Surveyor akaja kumkagua mwezi Nov 2021 hakupata control number mpaka leo mwezi Feb 2022 halafu wanamwambia itabidi alipie bei mpya ya 320,000 badala ya 27,000 Je hii ni haki kweli? Nijuavyo mimi sheria mpya au utaratibu mpya...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatwa saa sita usiku, hadi saa 12 jioni

    Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni. January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kilimanjaro yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    Salaam Wakuu, TANESCO kilimanjaro imetoa ratiba ya matengenezo ya miundo mbinu na namna ambavyo mgao utafanyika kuanzia Februari 1 mpaka Februari 10. Tazama ratiba hii katika picha hizi hapa chini. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  7. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  8. Memento

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limetangaza rasmi kuanza mgao wa umeme wa siku 10 kwa nchi nzima ili kuruhusu matengenezo ya mitambo ya kufua umeme kote nchini. Mgao huo utaanza Februari Mosi hadi 10 mwaka huu. ======== TANESCO KUFANYA MABORESHO KWENYE VITUO VYAKE VYA UZALISHAJI UMEME VYA...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Habari TANESCO kina wafanyakazi zaidi ya 200 nchini. Waondolewe waende wapi Waziri January?

    Maagizo ya waziri wa Nishati Mh. January ni kwamba kutokana na Wananchi kutopewa habari juu ya mikakati pamoja na kukatika umeme basi kitengo husika kimefeli hivyo kitengo hicho kibomolewe na kilete watu wengine. Kazi za watu wa habari ni kuchukua habari kutoka kwa viongozi na watu wa fundi na...
  10. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba avunja Kitengo cha Habari na Mawasiliano TANESCO kwa tuhuma za kushindwa kulisemea Shirika

    Mwandishi wetu, Arusha Waziri wa Nishati, January Makamba ameagiza kuondolewa Mara moja Afisa Habari wa Shirika la Umeme nchini (Tanesco) huku akiagiza kuvunjwa kwa idara ya uhusiano wa shirika hilo na kuwekwa watu wapya. Mbali na agizo hilo pia amegiza hatua za haraka zichukuliwe kwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO, kwa nini mnakata umeme kila siku Ali Maua B, Kijitonyama?

    Sisi wakazi wa Ali Maua B, Kijitonyama tumekuwa tukisumbuliwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara na hasa nyakati za jioni giza linapoingia. Cha kushangaza wakati mwingine umeme hukatika zaidi ya mara kumi katika kipindi cha saa moja na wakati mwingine kila baada ya dakika mbili. Hii...
  12. G

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kibaha kulikoni?

    Ni siku ya tatu sasa umeme unakatika bila sisi wateja kujulishwa kama kuna matengenezo yoyote yanaendelea.Nashauri kama kuna marekebisho yoyote yanayofanyika ni vyema tukataarifiwa kwenye vyombo kwamba eneo flani litakosa umeme kwa muda flani ili kupisha maboresho katika miundombinu ya umeme...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Upepo, mvua zaathiri miundombinu ya umeme

    Upepo mkali na mvua kubwa ambazo zimeendelea kunyesha maeneo mbalimbali hapa Nchini zimeathiri Miundombinu ya Umeme Shirika la Umeme Nchini limeeleza kuwa hali hiyo imepelekea baadhi ya wananchi kukosa huduma ya umeme kwa nyakati tofauti Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA), imetoa tahadhari ya Mvua...
  14. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba waelekeze Tanesco waache kusambaza umeme kwa nyaya nyembamba za 25mm badala ya 100mm wanaua vifaa vyetu

    Natambua kabisa licha ya kuwa Makamba ni waziri wa nishati,lakini sina uhakika kama taaluma yake na kazi yake vinawiana.Hata hivyo issue ya taaluma yake sio tatizo kwani hata waziri wa Afya Ummy ni mwanasheria lakini anafanya vizuri kwenye wizara yake. Nimejaribu kufuatilia distribution line za...
  15. Roho Mbaya

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme kukatika; Waziri Makamba jipime kama unatosha au kung'atuka

    Ni takrbani Masaa nane toka saa 3.20 usiku hadi hivi sasa alfajili tuko gizani bila Tanesco kutoa taarifa yoyote kwa Wananchi [emoji819]Watanzania wanalala gizani huku viongozi wakishindwa kuwajibika kwa matatizo yayotokea. [emoji819]Mtu wa kwanza kuwajibika katika hili ni Waziri anayehudumu...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Bora TANESCO Muache kutangaza makato ya umeme, maana ni kila siku

    Lazma mjielewe TANESCO Mtangaze msitangaze lazma mkate umeme, kitu kinachopaswa kutangazwa ni kile kinachotokea kwa nadra sana, Sasa nyie kila siku mnakata umeme, acheni kututangazia fanyeni kazi zenu ukiwepo sawa hata usipokuwepo sawa. Mnatumia mamilioni kila siku kutangaza makatizo ya umeme...
  17. Leak

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tunaomba uwambie kweli ZESCO na Wazanzibari hakuna Umeme wa bure wagharamikie kama TANESCO na wabara.

    Baada ya Mh Rais kusema wazi kuwa wananchi waambiwe kuwa gharama za umeme sio 27,000 tena kama alivyotangaza Rais mwaka jana. Hivi gaharama za kuunganishiwa Umeme zanzibar zikoje? ZESCO imekuwa ikidaiwa madeni mengi sana ya Umeme na Tanesco na wamekuwa wakitegemea kusamehewa na wakisha...
  18. Elitwege

    JamiiForums Tanzania Tanesco mwongozo wa gharama mpya ya kuunganisha huduma ya umeme kuanzia tar 5/1/2022

    Jamaa wapo fasta huenda template ilikuwepo kabisa, wameprint tu lakini mbona hawajafafanua kuhusu vijijini? Alafu anasingizia katikati kuriharibiwa wakati maagizo ni ya kwake. Huwa nashangaa sana wanaosifia Makamba ni akili kubwa.
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumepatikana, mawaziri watakaokwenda na Rais mpaka 2025 ni kama huyu aliyesaini mkataba wa bil 69 kufunga software Tanesco

    Kweli ndege wa rangi moja huruka pamoja. Hivyo mama kwa kauli yake kuwa lazima aunde baraza la mawaziri ambalo anahisi litamuunga mkono kuchapa kazi mpaka 2025 lazima liwe la vijana kama huyu aliyemteua kuwa waziri wa nishati. Waziri ambae alipoingia tu madarakani Tanesco ikapata mkandarasi wa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanesco iliharibiwa hapa katikati eti mwananchi aunganishiwe umeme kwa sh 27,000/=

    Naangalia marudio ya hotuba ya rais hv sasa kupitia ITV rais Samia anatema cheche. Amegusia suala la kuunganisha umeme kwa sh 27,000/= na akasema kuwa haina uhalisia kabisa na haiwezekani. Amemtaka waziri wa nishati kuweka gharama zitakazowezesha Tanesco kujiendesha kwa faida. Tena akamtaka...
Back
Top Bottom