tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania TANESCO mbona mmekata umeme tangu usiku huku Bunju?

    TANESCO kuna shida gani mvua kidogo tu mmekata umeme tangu usku mpaka sasa huku bunju. Mnatutia hasara mjini umeme ni muhimu tunapishana na pesa. Yani mvua ikinyesha nyie mnapata excuse ya kukata.
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO imekithiri kwa vitendo visivyo vya kiutumishi

    Wana jamvi nashindwa kuelewa kama sehemu zingine za nchi hii zinapata shida ya kuunganishiwa umeme kama Nzega haswa Nzega Mjini. Kumekua na changamoto kubwa ya kupatiwa huduma ya maunganisho ya umeme hata baada ya kufanya malipo. Mfano mteja anafanya malipo na ndani ya miezi miwili, mitatu...
  3. JAYJAY

    JamiiForums Tanzania TANESCO lini mmeanza kutumia magari yenye namba binafsi?

    Ni mara ya pili sasa nakutana na gari ya Tanesco ikiwa na kile kibandiko cha mduara kama yai mlango wa dereva na ikiwa imebeba ngazi maeneo ya huku ninakojibanza ikiwa na namba ambazo sio "SU" bali zile za kawaida. Mara ya kwanza mida ya saa mbili usiku niliiona gari moja eneo ambalo kulikuwa...
  4. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Wizara ya Nishati na Mawasiliano kusambaza Mkongo wa Taifa kwa nguzo za TANESCO umeishia wapi?

    Juzi jirani na nyumbani ninapoishi nimeona watu wanachimba mashimo kuweka nguzo za miti zile za tanesco. Nikawauliza kwani tanesco bado mnaweka nguzo za miti maana juzi tu nimeona hapo jirani mumereplace nguzo iliyoanguka kwa nguzo ya zege. Jibu lilikua wao sio tanesco ila wanaweka mtandao kwa...
  5. Stavros Myles

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mbeya: Je kuna Electric Surge au Line ya Meta Referral Hospital imezidiwa?

    Tanesco mtusaidie majibu
  6. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tanesco Tabata Mnashirikiana na Wezi. Hili tumelifahamu msibishe!

    Tabata hasa huku maeneo ya Chuoni St. Marys, Camp, Bima n.k Mmekuwa mnakata umeme usiku ili wezi watuibie kila mara. Leo mlikata tena wezi wakaruka ukuta ndani kumbe mimi sijalala. Hiii kesi wengi wanasema ni Ushirikiano mwema wa TANESCO na Wezi. Mnakata bila sababu za msingi kila siku usiku na...
  7. Memento

    JamiiForums Tanzania Kero ya Kukatika Umeme Mara kwa Mara: Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko zile siku 10 za mgao

    Wiki hii kukatika umeme kunanitesa kuliko kawaida, wanakata asubuhi saa 12 wanarudisha jioni saa 12 na nusu. Masaa zaidi ya 12. Niseme wazi siku zile 10 za mgao zilizotolewa sikuwa na kazi nyingi sana hivyo wala sikuona kama ni issue sana na wala sikuathirika. Balaa lipo wiki hii nina kazi...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Tanesco Halmashauri ya Mji Kibaha mnakera sana!

    Wadau kwema, Hawa wahusika. Tajwa hapo juu hakika wamekuwa SUGU, hawa mabwana kila ukiwatembelea pale ofisi kwao kuwauliza kulikon mbona hatufungiwi umeme? Wanasema kwa sasa wanafungia wateja walio omba umeme mwezi wa 8. Yaan since Januari hawa jamaa wanawafungia umeme wateja wa mwezi wa 8...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hongereni Tanesco kutuletea Smart Meters, lakini mtatuunganishia bure ili kubadili zilizopo au tutalipia?

    Hii habari ni faraja kubwa kwa watumiaji wa umeme maana sasa habari za kulala giza kidogo au kwa sana zitapungua maana hata ukiwa Songea safarini utaweza kununua umeme na kuwasha nyumba iliyopo Mwanza. Maana hakutakuwa na haja za kuingiza tokeni ili kuwasha umeme. Lakini je, hizi mita...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka. Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

    Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa sana kuiba umeme wa TANESCO kuliko maji ya DAWASCO?

    Hivi kinachofanya watu waogope kiasi hiki kuiba umeme ni nini hasa? Mbona mitaani wanakata mabomba ya maji na ku-bypass bila uwoga?
  13. Chendembe

    JamiiForums Tanzania TANESCO haitakiwi itetewe Wala kuhurumiwa, ijitetee na isimamiwe

    Mambo ni mengi mno kuihusu TANESCO hali inayoweza kuchafua hali ya nchi. Ni ngumu kueleweka na jamii unaposimama kulitetea au kuliongelea shirika kubwa kuliko yote hapa nchini. Kwa muundo wa uendeshaji wa shirika hili na mashirika mengine ya umma, Ni serikali pekee kupitia wizara husika ndio...
  14. J

    JamiiForums Tanzania TANESCO wasaini mkataba wa kuuziana umeme na Geita Gold Mining

    TANESCO KUVUNA BILIONI 5 MAPATO YA MWEZI KUTOKA GGM Kukamilika kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining (GGM) kutaliwezeshaTANESCO kupata kiasi cha shilingi bilioni 5 kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme. Source: TANESCO ===...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Miaka 4 hata 10 bado haitoshi kuiweka TANESCO sawa

    Nimemsikia Waziri Makamba akisema apewe miaka minne Kama Kalemani na Kero zote za TANESCO atakuwa kazimaliza. Kiuhalisia Miaka minne haitoshi kuiweka TANESCO Sawa, na matatizo naona ndo naona yanaweza kuwa makubwa zaidi kutokana na mambo mbalimbali Kama yafuatayo 1. Miundombinu isiyofuata...
  16. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Maelekezo toka TANESCO ya namna ya kuondoa Error 77 kwenye mita zinazoanza na namba 2421.

    https://t.co/DCXZzvg2Pu
  17. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Awamu ya tano Tanesco hawakukarabati miundombinu ya umeme, sasa mmehitimisha ukarabati tusikie mgao tena

    Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba apendekeza TANESCO kufumuliwa na kuwepo kampuni 3 kwa ajili ya Uzalishaji, Usafirishaji na Ugawaji umeme

    Mbunge wa Kinondoni, Tarimba Gulam Abbas amehoji ikiwa Serikali haioni ni muda mwafaka wa kulifumua Shirika la Umeme (TANESCO) ili kuwe na Kampuni tatu kwa ajili ya kufanya Generation Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji kama ilivyo Nchi nyingine. Akimjibu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema...
  20. K

    JamiiForums Tanzania TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

    Kichwa cha habari chahusika. TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa. Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
Back
Top Bottom