Ni hatua zipi za kulipia kufungiwa Umeme na TANESCO?

Administer

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
930
1,408
Baba yangu amepewa control number alipe 320960 Ili aunganishiwe umeme. Nataka kumlipia kupitia Airtel money nielekezeni hatua za kufuata.
 
Nimepewa control number nilipe 320960 Ili nifungiwe umeme.Kwa anayejua hatua za kufuata añielekeze
 
Back
Top Bottom