OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imeomba bajeti ya Sh trilioni saba kwa mwaka 2020/21 huku ikijikita kuboresha mfumo wa elimu na afya.Akiwasilisha bajeti hiyo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, alisema...