Kuna Siku Itafika Kazi Zitakua Nyingi Hutajua Uchague Ipi

Ninajibu kulingana na kichwa cha habari.

Tanzania hii hii au nchi nyingine!!

Hii Ichi ingekuwa inatanguliza taifa mbele na sio maslahi ya wahusika binafsi basi tungekuwa mbali mno..na kazi zingekuwq nyingi Kwa mpangilio..
 
Mshahara ukapanda, na majukumu yakapanda na nikajikuta hata kuingia kwenye mitandao inakua ngumu. Hata hawa wanaodai hawawezi kuishi bila JF ni vile hawana majukumu tu, hata hawa wanaondika mada kila siku ni hawana majukumu au labda ni mabosi haswa ambao hawajali results za ofisi zao.

Humu JF hakuna anayejua ulichokula wala mpango wako wa kula. Hakuna anayejua watoto wako ada italipwaje.

Yaani hata iweje, hawa mabrazameni na masista du wa JF wanaoandika kila siku niamini mimi hawana majukumu, ofisini kuna routers lakini hata kuangalia miziki youtube siwezi. Nimenyimwa huo muda.

Umeandika ushuhuda wa safari ya maisha yako, ni ushuhuda mzuri lakini sijaona lengo la kushambulia watu wanaoshinda/kuandika mada JF kwamba hawana majukumu.

Nini tafsiri ya "majukumu" kwako? Mtu mwenye majukumu ni yule ambaye hana muda hata wa kuingia youtube kuangalia mziki?

Unapaswa kuelewa majukumu yanatofautiana, inawezekana kazi zako ni za kukimbizana hupati muda na kuna mwezako kazi yake yeye ni kuamka kuingia ofisini saa 2 asubuhi, kujibu emails mpaka saa 4, kwenda kwenye meeting mpaka saa 6, anamaliza anakaa saa 1 kusubiri mda wa lunch, anamaliza anafanya online meeting mpaka saa 9 mchana anatoka anaenda home.

Kuona watu wako JF sio kwamba hawajali results za ofisi zao, pengine wanadeliver good results kwa ofisi zao kuliko wewe unavyodeliver results kwenye ofisi yako, hii yote ni kutokana na utofauti wa kazi/majukumu.

Andika stori ya maisha yako bila kuingilia/kucriticize uhuru wa maisha ya wengine nadhani ndio ustaarabu na kuonyesha umekomaa kifikra.
 
Basi usikasirike.
 
Kupata kazi sasa unaanza kutuona sisi washinda JF kama hatuna majukumu.

Bro kuwa humble aisee, unaweza siku ukarudi humu kutafuta ufumbuzi wa jambo muhimu watu wasi comment kwenye uzi wako ukaanza ona wana JF wanazingua.

Anyway tupige kazi Mkuu
 
Nakazia
 
Kabla ya huu uzi nilishafuata watu inbox kuna ishu zilikua zinahitaji utatuzi ofisini.

Hakuna aliyejibu inbox.

Nafikiri nimeandika kwa uwazi mno ningeficha ficha ingeweza saidia. Ila nilichoandika ni ukweli mkuu, kwa ambaye anafanya kazi private majukumu yanamnyima muda.

Samahani kama nimeeleweka vibaya.
 
Kupata kazi sasa unaanza kutuona sisi washinda JF kama hatuna majukumu.

Bro kuwa humble aisee, unaweza siku ukarudi humu kutafuta ufumbuzi wa jambo muhimu watu wasi comment kwenye uzi wako ukaanza ona wana JF wanazingua.

Anyway tupige kazi Mkuu
Kaanzs vizuri kamaliza na masimango
 
Umeandika ushuhuda wa safari ya maisha yako, ni ushuhuda mzuri lakini sijaona lengo la kushambulia watu wanaoshinda/kuandika mada JF kwamba hawana majukumu.

Nini tafsiri ya "majukumu" kwako? Mtu mwenye majukumu ni yule ambaye hana muda hata wa kuingia youtube kuangalia mziki?

Unapaswa kuelewa majukumu yanatofautiana, inawezekana kazi zako ni za kukimbizana hupati muda na kuna mwezako kazi yake yeye ni kuamka kuingia ofisini saa 2 asubuhi, kujibu emails mpaka saa 4, kwenda kwenye meeting mpaka saa 6, anamaliza anakaa saa 1 kusubiri mda wa lunch, anamaliza anafanya online meeting mpaka saa 9 mchana anatoka anaenda home.

Kuona watu wako JF sio kwamba hawajali results za ofisi zao, pengine wanadeliver good results kwa ofisi zao kuliko wewe unavyodeliver results kwenye ofisi yako, hii yote ni kutokana na utofauti wa kazi/majukumu.

Andika stori ya maisha yako bila kuingilia/kucriticize uhuru wa maisha ya wengine nadhani ndio ustaarabu na kuonyesha umekomaa kifikra.
Ajazingatia kuna ambao kazi zao ni projects, ukiitwa unapotea hata miezi sita na ukirudi unakaa muda mpaka itokee. Ajazingatia kuna wanaofanya real estate yeye kazi ni mwisho wa mwezi, ajazingatia kuna wenye shift usiku kuanzia saa nne mpaka saa kumi mchana yupo free. Amezungumzia feld yake tu..
 
Kuwa busy hapa jamii forum haimaanishi watu hawafanyi kazi. Kuna siku nilienda kwa profesa mmoja pale udom na kukuta yupo anakomenti hapa jukwaani pamoja na kazi nyingi alizinazo.

Pia kuna watu wanakuwa sana online kipindi fulani halafu wanapotea. Hivyo naamini ni suala la mipango na nyakati zake.
 
Nakukubalia mkuu
 
Haya ameshaelewa jamani. Mazuri tunabeba mapungufu tunarekebishana. Mleta mada hongera lakini nadhani umejifunza jinsi ya kuchagua maneno ya kuongea...keep winning✌️
 
Ninajibu kulingana na kichwa cha habari.

Tanzania hii hii au nchi nyingine!!

Hii Ichi ingekuwa inatanguliza taifa mbele na sio maslahi ya wahusika binafsi basi tungekuwa mbali mno..na kazi zingekuwq nyingi Kwa mpangilio..
Kindly explain Mkuu. Ila kwa hoja yake mtoa mada yuko sahihi. Hamaanishi kwamba kazi zitakua nyingi kwa kila mmoja. Ila kuna siku mtu ambaye hana kazi atapata kazi na maisha yake yatabadilika kiasi kuwa kazi zitakuwa nyingi kwake achague ipi aache ipi.
 
Nimekupata vilivyo
 
Back
Top Bottom