tamaa

Tammas is the first album by Samir Joubran duo with his brother Wissam Joubran, released in 2003 labelled "daquí", by Harmonia Mundi.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Zelensky amejiingiza kwenye mtego-White house yakata tamaa

    Wachambuzi wa kijeshi zaidi na zaidi wameingia kati kuashiria kuwa Ukraine haiwezi kushinda vita vinavyoendelea katij yaje ba Urusi. Baadhi ya wachambuzi hao wamesema raisi wa Zelenky katika vita hivi ni kama kwamba kajiingiza kwenye boksi.Hataki kurudi nyuma na hawezi kushinda Kwa upande wake...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Hakuna kukata tamaa💪💪💪

    Nimeingia Dar juzi nimepata chumba Mbezi karibu na Stendi ya Magufuli katika harakati za kusaka tonge leo nimechanganya kwenye nikawa nauza maji hapa Mbezi stand ya daladala mgambo wakanikamata wakachukua mzigo nimerudi geto kulala, naombeni idea mishe gani nipige hapa town nisikose hela ya kula.
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Karibuni nitaikatia tamaa Simba

    Rais wa heshima wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo Dewji'kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema "Transformation ya Simba bado haijakamilika. huu ni mwaka wa 6. Karibuni ntakata tamaa" Mohammed Dewji aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu Simba miaka minne mfululizo hadi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tamaa inawezaje kumdhuru mtu?

    50 Cent alikuwa akimlipa mama mtoto wake $500,000 kwa mwaka (dola $40,000 kwa mwezi) kama matunzo ya mtoto wao, Ila baby-mama huyo akasema haitoshi! Baada ya mvutano na 50, baby mama huyo akaamua kwenda kwenye mahakama ya familia kuomba nyongeza ya matunzo ya mtoto. Cha kushangaza mahakama...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Msiwakatishe watoto tamaa kwa kutaka wawe kama ninyi

    Hello 👋 Wiki hii nilipeleka mtoto wangu shule uko Arusha nikiwa na rafiki yangu naye akimpeleka mwanae shule zipo tofauti ila mkoa mmoja Baada ya kufika pale shule tukaandikisha nikaenda kumtafuta mwalimu wa darasa ni mkabidhi mtoto na nichukue ripot yake baada ya kuja kupata ripot ndio...
  6. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Tabia za wizi husababishwa na Kutokuwa na Kiasi, Tamaa pamoja na Uvivu wa Kufikiri na Kutenda

    Utu wa mtu unapimwa kwa kazi tena iliyo halali, kinyume na hapo wewe huna tofauti na wanyama waishio mwituni. Kwa muda mrefu sana nimejitahidi kufanya chunguzi mbalimbali, maana ni mambo ninayopenda hasa nikiwa sina vitu vingi vya kufanya. Katika hili nililoandika kwenye kichwa cha uzi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nimegundua hili kuhusu wake za watu. Inaweza kukatisha tamaa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdogo tu katika mahusiano kwa umri wangu mdogo wa miaka 50+ kuna mambo ambayo nimeyagundua ambayo huwa yananifikirisha sana. Shughuli zangu za kikazi hunifanya nisafiri kuhama hama kila wakati. Ingawa familia ilisha settle Dar. Mimi huwa nasafiri sana ndani na nje ya nchi. Mara...
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Una jambo gani la matumaini la kuwaambia watu waliokata tamaa kabisa?

    Naanza mimi hapa. Kwanza hakuna kuchelewa kwenye maisha. As long as bado uko hai hakuna kuchelewa ama kuwahi kwenye maisha. Jambo lolote linaweza kutokea wakati wowote. Mimi nilimaliza form four nikiwa na miaka 22, nikamaliza form six nikiwa na miaka 25. Leo hii vijana wanamaliza chuo kikuu na...
  10. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Tamaa za kimwili ni mbaya sana ukishindwa kuzi control

    Hellow Africa 🌍 Mwili una unaushawishi mkubwa sana ambapo ukishindwa kabisa kuzizibiti mwisho wa siku una aangukia poor Wanasayansi wanasemaga matendo yetu. Yanategemeana na vitu vitatu ID EG NA SUPER EGO hizi huwa zinavutana sana kila moja inataka ishinde mwili na akili pia zinategemana...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ukitafuta mali usijinyime kuzitumia, ukifa utaziacha watatumia wengine

    Yapo madhara makubwa sana ya tamaa ya mali na pesa nyingi ambayo watu wengi hawakumbuki mara nyingi wanajisahau sana. Madhara ya kumiliki pesa na mali nyingi sana kwanza kabisa lazima utambue kuwa unakesha usiku na mchana kutafuta pesa na mali nyingi hata wakati mwingine unaogopa kula na...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hizi siku mbili jana na leo zimekuwa chungu sana kwangu. Nimekata tamaa kabisa

    Nimekata tamaa. Najiona si mimi tena. Nimekuwa mtu wa ajabu humu JF naona kama watu wote wameanza kunichukia. Sijui hata nitafanyaje. Naona kama tu nisiishi tena. Sioni makusudi ya kuishi katika hali hii. Nimekata tamaa sana. Jana na leo sijapata hata mtu mmoja wa kugombana naye humu JF...
  13. Bambalaga01

    JamiiForums Tanzania Nimeishiwa nguvu na nimekuwa Mtu mwenye kukata tamaa kwa Mkasa ulionikuta

    Wakuu habarini! Nimekuja kwenu naomba nisaidiwe kimawazo na ushauri. Hivi karibuni nilipeleka barua ya uchumba (posa ) na Mambo yalienda freshi tu. Kikao Cha kupangiana mahari makubaliano yalikuwa kifanyike ijumaa hii. Nimejikuta nina mawazo Sana kwani hela niliyoiandaa kwa ajili ya kuitolea...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Taifa la waliokata tamaa, Dawa yake ni nini?

    Mpaka hapa tulipo kama nchi, tumetoka mbali sana! Tumepitishwa jangwani sisi, kwenye miiba na mbigili tumepitishwa, Tumepita kwenye machungu makali na kisha viongozi wetu badala ya kutengeneza vijana na watumishi waadirifu, wamejikuta wakitengeneza vijana wezi, watumishi wa umma mafisadi na...
  15. lusanasaimon

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kupata Mtoto

    Habari za wakati huu, Wakuu naomba angalau msaada wa mawazo najua humu kuna wajuvi na watalaam mbali mbali kuhusu maswala ya afya. Mimi ni kijana na nimetimiza miaka 27, nina mke lakini sijafanikiwa kupata mtoto na ni mwaka wa 3 toka nimekutana na mke wangu ingawa yeye ana mtoto aliyempata...
  16. mr_stev001

    JamiiForums Tanzania Wapambanaji tusikate tamaa

    Wengine tumetoka vijijini kuja mjini tunajua nini tumefata ,tumekuja kupambana tuokoe familia zetu ,zikae sawaa usisahau kilicho kuleta mjini enline_g✅
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine imekata tamaa; sasa inadai mpaka ipewe ndege za kijeshi F-16 ndio iweze kushinda vita yake na Urusi

    Hadi sasa Ukraine imepewa silaha lukuki za mabilioni ya pesa, lakini imedai kuwa HAZITOSHI!!. Walipopewa HIMARS wakasema sasa watashinda, lakini wimbo wa HIMARS hauimbiki tena, wakataka vifaru vikubwa ili washinde. Wakapewa vifaru vya mjerumani LEOPARDS na vifaru vya Marekani ABRAHAMS na vya...
  18. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Elewa hivi ili usiwakatishe tamaa wengine ili ujisikie vizuri/ uonekane bora

    Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Kijana Ajikata Uume na Kuundoa Kabisa Kutokana na Kukata Tamaa ya Kupona

    Kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo ameeleza kuhusu tukio la mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Marco Samwel (32) ALIYEJIKATA NA KUONDOA KABISA UUME WAKE. Kamanda Mutafungwa ameeleza kuwa lengo la kijana huyo...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

    Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA. Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
Back
Top Bottom