takwimu

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni takwimu, rekodi hii ya Yanga SC ndani ya miezi takriban 6, imewahi kufikiwa na timu yeyote duniani?

    Timu ya Dar es salaam Young Africans Sports Club, au Yanga sc aka Wakimataifa ama wananchi kama wanavyotambulika kwa sasa. Ktk msimu huu wa 2023/2024 wamekuwa ktk ubora usiopimika wala kumithirika. Yanga hii ya Gamond imekuwa timu tishio kiasi cha kuogopwa uwanjani na timu pinzani kila...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Ligi Kuu ya England “Premier League” hadi Februari 12, 2024

    Ligi Kuu ya England “Premier League” msimu wa 2023/24 inaendelea, ilianza Agosti 11, 2023 na inatarajiwa kufika tamati Mei 19, 2024. Mechi ambayo hadi sasa ilishuhudiwa na mashabiki wengi uwanjani ni Manchester United 3-0 West Ham United (73,612), iliyoshuhudiwa na mashabiki wachache zaidi...
  4. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

    Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo. Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8...
  5. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Nabi kwenye ligi ya Botola Pro akiwa na AS FAR Rabat

    Kocha wa Zamani wa Yanga Nabi kwasasa anakinoa kikosi cha ASFAR Rabat ya huko Morocco. Ligi hiyo imekamilika kwa mzunguko wa kwanza na hizi ndizo takwimu za kocha Nabi. Amecheza mechi 15 Ana Alama 33 Magoli ya kufunga 33 Magoli ya kufungwa 13 Yupo juu ya Msimamo (Kileleni) Nabi anaupiga...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbona takwimu za Mcolombia wa Azam zinatia uvivu?

    1. Hiyo Cortulua ipo ligi daraja la pili. 2. Cortulua walimsajili 2023 kutoka timu nyingine ya daraja la pili 3. Ameingia kwenyw mechi 10 tu mwaka 2023 na amefunga goli 1😎 4. 2022 amecheza mechi moja na Calabobo, No goal 5. 2021 amecheza mechi 22 na R.Cartagena , akapata Goli 8 6. 2020...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu Za klabu Afrika zinazoongoza kwa kupiga Pasi Sahihi ( Wananchi #3)

    Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
  8. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji huweza kufanywa kwa njia ya takwimu

    Takwimu ni taarifa (data) zilizokusanywa, zikahesabiwa, na kuchambuliwa ili kutoa ufahamu au maelezo kuhusu kitu fulani. Kwa mfano, takwimu zinaweza kuwa idadi ya watu katika eneo fulani, matokeo ya utafiti, au hata vipimo vya kisayansi. Takwimu zinaweza kutumika katika nyanja mbalimbali kama...
  9. Kiungopunda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

    Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?! Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS.. 𝗩𝗶𝗴𝗲𝘇𝗼 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘃𝘆𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗸𝗮...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kimataifa takwimu zinambeba sana Rais Samia. Awe makini ili kuwepo na consistence

    Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia. Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni makubwa wanasema wazi wako tayari kuwekeza Tanzania zaidi ya maeneo mengine. Kwenye utalii nako si...
  11. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Epuka porojo, zijue takwimu za Yanga na Ihefu. Yanga iko juu!

    Tafadhali mfuatiliaji na mpenzi wa soka, epuka porojo. Puuza upuuzi unaoenezwa kuwa Yanga, bingwa mtetezi wa Tanzania, ni kibonde wa Ihefu FC ya kule Mbarali Mbeya. Tangu Ihefu ipande Ligi Kuu, imecheza na Yanga mara tano. Kati ya hizo, Yanga imeshinda mara tatu. Ihefu imeshinda mara mbili...
  12. Best Daddy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu AFL: Simba ni Kinara

    Ni wiki nyingine kwa wapenzi wa soka Africa, kuendelea kushuhudia radha ya soka katika mashindano ya AFL baada ya kutamatika kwa mzunguko wa kwanza(The first leg round). Hakika mzunguko wa kwanza ulikua ni bora sana, wenye mengi ya kuvutia bila kusahau kero za hapa na pale. Nitatoa baadhi ya...
  13. Gordian Anduru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu: Simba kiwango kimeshuka

    Enzi hizo kiwango Cha Simba Kiko juu Al Ahly alikuwa hatoki na point taifa, kabamizwa mara mbili 1-0 lakini baada ya kiwango kushuka Al ahly kafanikiwa kudraw taifa Uzi tayari Povu ruksa
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Takwimu za athari za mgao wa umeme zikoje?

    Taifa letu limekuwa kwenye changamoto ya kutokuwa na umeme wa uwakika toka enzi na enzi. Serikali imefanya jitihada kubwa kusambaza umeme mijini na vijijini. Tuwapongeze viongozi kwa hilo. Kutokana na maendeleo ya teknolojia, uchumi, rasilimali tulizonazo, maendeleo haya hayaendani na ukubwa na...
  16. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonesha kila sekunde 24 kuna mtu anafariki kwa ajali ya barabarani

    Umoja wa Mataifa kupitia Shirika la Afya Duniani (WHO) umeeleza kuwa Magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanachangia vifo vya watu Milioni 41 kila Mwaka Duniani sawa na 74% ya vifo Ulimwenguni. Hayo yamebainishwa katika Kongamano la Mabalozi wa Usalama Barabarani lililofanyika kwenye Ukumbi wa...
  17. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Takwimu: Umri wa Mtanzania kuishi umeongezeka kutoka Wastani wa miaka 44 hadi 65

    Akizungumza katika mkutano maalum uliohusisha pia Wakuu wa Mikoa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, leo Agosti 31, 2023, Mkurugenzi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dkt. Albina Chuwa amesema mchakato wa Sensa uliopita umekuwa na mafanikio makubwa na haijawahi kutokea kuwa na ushirikiano wa juu...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Kipa mpya wa Simba SC Hussein Abel

    Mara nyingi makipa wanaonekana sana ni hawa wa timu kubwa, lakini aliyekuwa kipa wa KMC amethihirisha uwezo wake kwenye takwimu.
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora katika kutumia takwimu za matokeo ya sensa kuleta maendeleo endelevu kwa Watanzania

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KUTUMIA TAKWIMU ZA MATOKEO YA SENSA KULETA MAENDELEO ENDELEVU KWA WATANZANIA Utangulizi Sensa ni zoezi la kuhesabu na kukusanya takwimu za idadi ya watu, makazi, na shughuli za kiuchumi katika nchi. Matokeo ya sensa yanatoa taswira halisi ya hali ya taifa na...
Back
Top Bottom