Namna IFFHS inavyotoa takwimu za timu bora afrika na Yanga kwa ujumla

Kiungopunda

JF-Expert Member
Oct 24, 2023
835
1,818
Baada ya IFFHS kutoa list ya vilabu bora Africa baadhi ya watu wamehoji kwa nini Yanga wamekaa juu ya Mamelodi Sundowns na USM Alger bingwa wa (CAF-CC) ?!

Kabla ya kubisha unatakiwa kujua ni vigezo gani vinatumika kupanga list ya vilabu bora Duniani kwa mujibu wa IFFHS..

๐—ฉ๐—ถ๐—ด๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜ƒ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜ƒ๐˜†๐—ผ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ :

โ—‰ Kila kombe lina points zake.

โ—‰ Points hukusanywa kupitia mashindano yote yanayo tambulika na FIFA kwa kuzingatia muda husika, yaani Ligi kuu, FA cup, CAF-CL & CC etc...

โ—‰ Kila ukishinda mechi unapewa points (4) na sare inahesabika points (2).

๐— ๐—ฎ๐—ท๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ถ :

1. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly
2. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad Casablanca
3. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Young Africans SC
4. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Pyramids
5. ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Mamelodi Sundowns

List hii ya vilabu bora Africa imepangwa na IFFHS kwa kuzingatia matokeo na Achievements za vilabu kuanzia November 1,2022 to October 31,2023, katika muda huo Mamelodi na USM Alger wamezidiwa na Yanga SC

Premier league last season :

โ—‰ โœ… 25 โŽ 02 โ€” Yanga โ€บโ€บ ๐Ÿ†
โ—Ž โœ… 24 โŽ 01 โ€” Al Ahly โ€บโ€บ ๐Ÿ†
โ—Ž โœ… 21 โŽ 02 โ€” Mamelodi โ€บโ€บ ๐Ÿ†
โ—Ž โœ… 19 โŽ 02 โ€” Wydad โ€บโ€บ (2) ๐Ÿฅˆ
โ—Ž โœ… 11 โŽ 12 โ€” USM Alger โ€บโ€บ (11)

CAF competitions last season :

โ—‰ โœ… 07 โŽ 02 โ€” Yanga โ€บโ€บ Final ๐Ÿฅˆ
โ—Ž โœ… 06 โŽ 02 โ€” Al Ahly โ€บโ€บ ๐Ÿ†
โ—Ž โœ… 06 โŽ 03 โ€” USM Alger โ€บโ€บ ๐Ÿ†
โ—Ž โœ… 06 โŽ 00 โ€” Mamelodi โ€บโ€บ Semi ๐Ÿฅ‰
โ—Ž โœ… 05 โŽ 03 โ€” Wydad โ€บโ€บ Final ๐Ÿฅˆ

Trophies :

โ—‰ ๐Ÿ† 3 โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga SC
โ—Ž ๐Ÿ† 2 โ€” ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Mamelodi
โ—Ž ๐Ÿ† 1 โ€” ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger

๐—ฅ๐—บ๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฒ๐—ฟ :

Yanga ndio klabu pekee iliyoshinda mechi nyingi zaidi (7) za (CAF) msimu uliopita kuanzia group stage kuliko klabu yoyote :

โ—‰ โœ… 7 โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga
โ—Ž โœ… 6 โ€” ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly Cairo
โ—Ž โœ… 6 โ€” ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger
โ—Ž โœ… 6 โ€” ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Mamelodi
โ—Ž โœ… 5 โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad Athletic

CAF hupanga list kwa kuzingatia matokeo ya CAF pekee ndani ya miaka (5), wangepanga list kwa kuzingatia matokeo ya msimu uliopita kama IFFHS, Yanga pia wangekuwa top (4).

Klabu zilizokusanya points nyingi kwenye michuano ya (CAF) 2022/23.

1. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 36 โ€” ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ฌ Al Ahly Cairo
2. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 30 โ€” ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ Wydad Athletic
3. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 25 โ€” ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ USM Alger
4. ๐Ÿ…ฟ๏ธ 20 โ€” ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Yanga SC

๐—ก๐—ผ๐˜๐—ฒ : Sio Uganga au unajimu ni performance yao ndio inawaweka hapo Yanga that's why hata CAF wameiweka Yanga kwenye top (5) ya vilabu bora Africa kwenye tuzo za (CAF).

Key ๐Ÿ”‘

โœ… โ€” Ushindi
โŽ โ€” Kupoteza
๐Ÿ…ฟ๏ธ โ€” Points

๐Ÿฅ‰โ€” Nafasi ya pili.
๐Ÿฅ‰โ€” Nafasi ya tatu
FB_IMG_1700393431960.jpg
 
Mambo yaende kwa data tu porojo nyingi hazina maana. Hongera yanga haya na simba nao waje watoe data zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom