takwimu

  1. fundi radio

    JamiiForums Tanzania SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni tathmini za performance ya Mohammed Outtara akiwa pale Simba na sababu za kumuita mbovu

    Mmoja wa wachezaji waliopewa "Thank You" pale Simba ni Mohammed Outtara. Huyu ni mchezaji ambaye kila mara watu walipokuwa wakiongelea wachezaji wabovu waliopo Simba na huyu alikuwa anatajwa na sijawahi kuelewa kwa vigezo vipi. Najua wengi wana refer mechi ya Simba na Yanga nadhani itakuwa ya...
  3. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Muda ndio umemchagua Benzema aonekane Straika Bora mbele ya Luis Suarez lakini takwimu zinamkataa

    Ukiwa unatamba huko kuwa Big Benz ni Namba 9 Bora ili akuone na wewe unajua Mpira, usisahahu kumwambia uzuri wa Mula nyama za watu kuwa; huyu ndie Straika la Boli aliyetwaa Pichichi mbele ya (Kijana Bora wa Madeira na Alien wa Argentina), na huyu ndie alieinyima furaha Afrika pale kwa Madiba...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rekodi na Takwimu za mwisho za Ligi ya Mabingwa UEFA/EUROPA

    Ni mchezaji gani ameshinda mataji mengi zaidi ya Ligi ya Mabingwa? UEFA Champions League 5 Karim Benzema (Real Madrid) 5 Dani Carvajal (Real Madrid) 5 Luka Modrić (Real Madrid) 5 Cristiano Ronaldo (Man United, Real Madrid) 4 Gareth Bale (Real Madrid) 4 Casemiro (Real Madrid) 4 Andrés Iniesta...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kuna shida ya takwimu za TCRA kuhusu matumizi ya GB kwa mitandao ya kijamii

    Nimeangalia matumizi ya GBs kwa robo mbalimbali nchini nimegundua kuna shida kwenye takwimu wanazotoa TCRA. Kwa robo ya mwisho ya mwaka 2022 walionesha kuwa tulitumia jumla ya GB Trilioni 90.1 Kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023, data zimebadilika hadi kufikia GB milioni 48 Mimi niombe...
  6. Nanan

    JamiiForums Tanzania Takwimu za kamari za michezo na jinsi soko la Tanzania linavyokua

    Sekta ya kamari mkondoni inaendelea kukua kwa kasi ulimwenguni kote, na waendeshaji daima wanatafuta fursa mpya za kuongeza ushawishi wao. Hivi karibuni, Afrika, ambayo kwa muda mrefu ilikuwa nyuma ya pazia, imekuwa kitovu cha tahadhari na imeonekana kuwa soko lenye matarajio makubwa kwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Takwimu hii nikiwa natokea Mkoa wa Mara naikataa na nakata Rufaa

    Mikoa inayoongoza kwa Uvutaji Bangi nchini Tanzania ni hii ifuatayo..... 1. Arusha 2. Manyara 3. Iringa 4. Morogoro 5. Ruvuma 6. Mara Tangia lini Watu wa Manyara na Morogoro wakawa na Uthubutu wa Kuvuta Bangi / Bange? Takwimu hii ingekuwa kama ifuatayo si tu ningeamini bali ningefurahi mno...
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yawazidi USM Alger kwa Takwimu za CAF

    Baada ya mechi 10 za kombe la Shirikisho Afrika kwa kila timu, Yanga SC wamewazidi USM Alger kwa takwimu karibu zote miongoni mwa timu hizo: Eneo pekee ambalo Yanga wamezidiwa ni mabao ya kufunga ( utofauti wa mabao mawili ) huku Yanga wakitawala maeneo mengine yote yaliyobaki. Takwimu hizi ni...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF Imetoa Takwimu za Golikipa Wa Yanga Vs USAM kuelekea Fainali

    🇲🇱 Djigui Diarra 🆚 Oussama Benbout 🇩🇿 A glimpse on @yangasc1935 and @USMAofficiel goalkeepers’ head-to-head stats before #TotalEnergiesCAFCC finals! 🥅
  10. MwananchiOG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu Peter Shalulile Vs FK Mayele

    Mayele Vs Peter Shalulile Stats . Dstv PL 🇳🇦 Peter Shalulie mabao 12 NBC PL 🇨🇩Fiston Mayele mabao 16 🇳🇦Shalulile CCL mabao 5 🇨🇩Fiston Mayele CAFCC mabao 6 So far Hawa ndio washambuliaji hatari kusini mwa jangwa la Sahara.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ambao bado wanapinga kuhusu NEMC kuchukua hatua dhidi ya uchafuzi wa mazingira wa kelele, wasome hizi takwimu

    Kutokana na ongezeko la watu duniani na shughuli za kiuchumi na kijamii, kelele zimeendelea kuongozeka kwenye makazi ya watu na maeneo ya biashara na hivyo kusababisha madhara mbalimbali kwa binadamu na mazingira. Madhara hayo ni pamoja na kupoteza usikivu (hearing loss); kuondosha utulivu...
  12. Escotter20

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Inonga vs Ibrahim Baka zinashtua

    ... Tangu Bacca aanze kucheza kwenye kikosi cha Yanga kwenye michuano ya CAFCC, Yanga hawajaruhusu bao !! 🙌 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Bamako 🇲🇱 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Monastir 🇹🇳 🇨🇩 TP Mazembe 0 - 1 Yanga 🇹🇿 🇳🇬 Rivers 0 - 2 Yanga 🇹🇿 🇹🇿 Yanga 0 - 0 Rivers 🇳🇬 🇹🇿 Yanga 2 - 0 Marumo 🇿🇦 06 - Games 06 -...
  13. Unai Emery

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha takwimu sio hisia

    KIKAO CHA TAKWIMU NA SIO HISIA, UKISHINDWA IN SHAA ALLAH. CLATOUS CHAMA ni Mchezaji wa mechi ndogo mmesema sio?? Tukiomba takwimu za CAF kwenye klabu bingwa msimu huu namwona ana mabao manne kwenye orodha ya wafungaji akiwa nafasi ya pili nyuma ya Washambuliaji kama Peter Shalulile wa...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Takwimu zinaonyesha kati ya watu wote wanaoishi Tanzania asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano

    Takwimu hizi zinaonesha kuwa, kati ya watu wote waliopo nchini kwa sasa, asilimia 6.4 walizaliwa kabla ya muungano. Idadi hii ni hazina muhimu kwa Taifa katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii, utamaduni na mazingira. Wengi wa watu hawa ni tunu katika kujifunza namna ya utunzaji wa mila na...
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Serikali kujipanga kupitia takwimu za sensa kiuchumi na kijamii Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kupitia takwimu zilizotolewa na Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 Serikali ina jukumu la kujipanga kwa utekelezaji wa kiuchumi na kijamii. Ameyasema hayo leo Ikulu Zanzibar katika shughuli fupi ya...
  17. jastertz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi private company au NGO's, nina Shahada ya Takwimu

    Habari wana JF! Natamani kufanya kazi kwenye private company au NGOs. Nina BSC. STATISTICS. Nimezitafuta sizipati. I work under minimum supervision.
  18. technically

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za mayele 2022/2023 zinaogopesha

    Ni watatu Duniani kwa Takwimu bora baada ya Haland na Mbape🔥🔥🔥💚💛💚
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi za sensa ya 2022 maisha lazima kilio cha ugumu wa maisha ni jambo lisilo epukika

    Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi ya 6M. Kwa kuzingatia ufanisi wetu wa uzalishaji uwiano huu matokeo yake ni ugumu wa maisha
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye takwimu za Mfuko wa Bima ya Taifa anisaidie

    Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa. Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa. Kuna mawazo ninayo kwa serikali lakini ningependa nipate kwanza hizi data ni kwa faida ya wote. Pascal Mayalla
Back
Top Bottom