Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar.
Akitoa tathmini ya hali ya usalama Zanzibar kwa kipindi cha Januari hadi Disemba 2024 huko Makao Makuu ya Polisi...
Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024.
Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa cheque No ya Tuition Fee imepita wiki mbili (02) lakini hadi hivi sasa hatujawekewa Cheque No ya Boom...
Taasisi ya Takwimu ya Taifa inaonesha kuwa miaka 7 iliyopita 2017 – 2023 Tanzania imewekeza wastani wa asilimia 46 ya pato la taifa, kulingana na uwekezaji wa 46% pato la taifa lilipaswa kukuwa kwa nusu yake ambayo ni 23% lakini uchumi umekua kwa wastani wa asilimia 5.7 tu.
Kwa miaka minne...
Je, wajua kwamba Chadema kwenye kanzi data yao ina wanachama wasiozidi 450,000 nchi nzima.
Hivyo, ukitazama ndani ya miaka 32 ya kufanya siasa nchini CHADEMA inasajili wanachama 14,062 tu kwa mwaka.
Kama utagawanya tena hiyo 14,062 kwa mikoa 26 CHADEMA ina wastani wa wanachama 540 kwa kila...
Wanaukumbi.
⚡️INGIA TU: Takwimu za Ekari za Masuala ya Kiebrania:
Vifo 31 kati ya wanajeshi na walowezi wa Israel vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa Novemba, kama ifuatavyo:
•Novemba 1: Afisa mmoja wa Israel alikufa kutokana na majeraha mabaya aliyopata kwenye mlipuko wa nyumba iliyonaswa na...
Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa.
1. Simon Msuva
2. Mbwana Samatta
3. Feisal Toto
Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa
1. Aishi Manula
2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa
Soma Pia: Full Time Tanzania 1...
TAKWIMU ZA SAED RAMOVIC LIGI KUU AFRIKA KUSINI AKIWA TS GALAXY.
.
🏟 — 76 Mechi
✅ — 27 Ushindi
🤝 — 22 Sare
❎ — 27 Vipigo
⚽ — 82 Magoli ya kufunga
🥅 — 68 Magoli ya kufungwa
🚫 — 31 Clean Sheet
OFFICIAL: Yanga SC 🇹🇿 imemtangaza rasmi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya TS Galaxy,Saed Ramovic kuwa...
Wakuu mpo
Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga.
Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi.
Makombe
🏆 1X NBC Premier league
🏆🏆2X FA Cup
🏆 1X Community shield
🏆 1X Toyota Cup
Ushindi wa 5-1 Vs...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
ENEO LA UCHAGUZI
IDADI
CCM
UPINZANI WOTE
CCM PEKEE
MITAA
4,265
4,265
3,256
1,009
VIJIJI
12,274
12,274
5,879
6,395
VITONGOJI
63,863
63,863
20,000
43,863
80,402
80,402
29,135
51,267
Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini zimeelekezwa kutoa taarifa sahihi kuhusu uendeshaji na utoaji wa huduma kwa kuwa taarifa hizo hutumika katika utekelezaji wa mipango ya Serikali inayolenga kuimarisha sekta ya maji nchini.
Maelekezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
Baada ya kupitia takwimu ya sensa 2022 ina jumla ya wananchi wapatao 61 mil. Na inaonyesha watoto wa Tanzania bara ni 29.365 mil sawa na 49.1%
Waziri TAMISEMI ameripoti idadi ya wapiga kura 31 mil. Hii inamaana kuwa watu wote wenye umri wa miaka 18+ sawa na 100% wamejiandikisha kupiga kura...
Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni
Mwanza
Sensa 1.95 Milioni –...
Serikali leo imetangaza kuwa zaidi ya nusu ya watanzania wamejiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2024. Takwimu zilizotolewa na waziri siku ya leo zimesema zaidi ya watanzania milioni 31 wameandikishwa! Takwimu hizi zinamaanisha, karibu kila...
Kwakuwa wanatambua toka zoezi hili limeanza kulikuwa na dalili mbaya na nia ovu ya kuhujumu uchaguzi huu na kwasababu watakwenda kubandika takwimu hizi leo Oktoba 21, Viongozi CHADEMA Jimbo la Kibamba wakiwakilishwa na Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa jimbo hilo, watoa takwimu za uandikishaji...
Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51 ya Watanzania wanaamini kuwa Serikali yao inafanya kazi nzuri au nzuri katika kuwaondoa watu kwenye umaskini, na kuiweka Tanzania kuwa miongoni mwa nchi mbili pekee za Afrika...
66% ya kaya nchini Marekani zinamiliki wanyama kipenzi.
Kaya za Marekani zina takriban jumla ya mbwa kipenzi milioni 62 na paka milioni 37.
Samaki wa majini wa maji safi hushinda tuzo ya ya wanyama weng kwani kuna jumla ya milioni 139.3 nchini AMerika.
Takriban 2.5% ya kaya za Marekani zina...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
🐍 Kila mwaka, karibu watu milioni 5.4 huumwa na nyoka duniani kote, na kusababisha zaidi ya vifo 800,000 na kuacha mara tatu ya idadi ya walionusurika wakiwa na ulemavu. Ugunduzi wa haraka wa dawa za kuua viini unaweza kuokoa maisha na kupunguza madhara ya kiafya ya muda mrefu. Ulemavu kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.