takwimu

  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu: Hii hapa klabu kubwa Afrika Masharii na kati (CECAFA)

    Yafuatayo ni mafanikio ya Al Hilal ya sudan kwenye CAF CHAMPIONS LEAGUE. Kama kuna mtu timu yake ina mafanikio zaidi ya haya basi alete hapa 1966 - Semi-finals 1987 - Finalist 1988 - Quarter-finals 1990 - Quarter-finals 1992 - Finalist 2007 - Semi-finals 2009 - Semi-finals 2011 - Semi-finals...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hamas yatoa takwimu za misikiti na makanisa yaliyoharibiwa na mayahudi. Yatoa wito kwa waislamu na wakristo kulinda tamaduni zao

    Hamas kupitia wasemaji wake imetoa takwimu ya uharibifu uliofanywa na mayahudi katika kipindi chote cha vita mpaka sasa, Jumla ya misikti 610 ya Gaza na makanisa matatu yamebomolewa kabisa na kwa makusudi na majeshi ya IDF, Miongoni mwa majengo hayo ya kiibada yaliyovunjwa yamo yenye historia...
  3. King Leon 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Siyo Tanzania tu, nchi nyingi Duniani zinashindwa kukomesha ufisadi: Takwimu haziisemi vibaya Tanzania

    Mathalani, Ripoti ya Kielelezo cha Ufisadi wa Mwaka 2022 inaonesha kuwa nchi nyingi zinashindwa kukomesha ufisadi. Kielelezo hiki cha Ufisadi hupanga nchi na maeneo 180 Duniani kwa viwango vyao vya ufisadi katika sekta za umma, na kutoa alama kuanzia alama sufuri 0 ikiashiria (ufisadi mkubwa)...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Mawasiliano Robo ya Mwaka inayoishia Juni 2024

    Ripoti hii inawasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya nne ya mwaka wa fedha 2023/2024. Kwa ujumla, ripoti inatoa takwimu za mawasiliano ya simu, pesa mtandao, Intaneti, utangazaji, posta na usafirishaji wa vifurushi na vipeto, na huduma nyingine zinazohusiana na teknolojia ya Habari na...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester: Takwimu za Sensa Zitumike Kutoa Mikopo

    Mbunge wa Jimbo la Momba Condester Sichalwe ametoa wito kwa Taasisi za kifedha Mkoani Songwe kutumia Takwimu za Sensa kutoa mikopo kwa wakulima. Ametoa wito huo katika Kongamano maalum lililofanyika Wilayani Momba Mkoani Songwe la kuwawezesha kiuchumi wakulima ambapo amesema Taasisi za kifedha...
  7. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TAKWIMU ZA NDOA TANZANIA

    Asilimia 51.4 ya watu wenye umri wa miaka 15 na zaidi Tanzania wameoa au kuolewa na asilimia 5.5 wanaishi pamoja. Sensa 2022.
  8. lugoda12

    JamiiForums Tanzania TAKWIMU ZA KAYA ZENYE VYOO NCHINI

    Asilimia 94.4 ya kaya Tanzania zina vyoo. Kaya zisizo na vyoo Tanzania zimepungua kutoka asilimia 7.8 mwaka 2012 hadi asilimia 5.6 mwaka 2022.
  9. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Prince Dube striker mpya wa Yanga

    Prince Dube, muuaji anayetabasamu katika misimu minne aliyokuwa akiitumikia Azam FC alifanikiwa kufunga magoli 34 ndani ya Ligi Kuu 🇹 🗓️ 04 Misimu ⚽️ 34 Mabao Mwana Mfalme ni mali ya Wananchi My Take Dube kapendeza sana jezi ya Yanga
  10. Smt016

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa hii takwimu iliyotolewa na bodi ya ligi kupitia admin wao wa mtandao wa X

    Nimesoma mara mbili mbili sijaelewa hii takwimu wamemaanisha nini, kilichonishangaza zaidi ni kutumika kwa neno pekee kwa maana hakuna nyingine mwenye takwimu ya namna hiyo.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Shule zaandikiwa Barua kutoa takwimu za Idadi ya wanafunzi wa Kiislamu shuleni

    Kabla ya yote natanguliza ombi Maalum, kwamba kama Taarifa hii si ya kweli iondolewe hapa mara moja. Lakini kama ni ya kweli ijadiliwe ili tufahamu malengo yake, yaweza kuwa malengo mazuri tu kama kujua idadi ili kugawa kanzu, Juzuu na mambo mengine mazuri kama udhamini Nk, pia yaweza kuwa na...
  12. Determinantor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ummy aumbuliwa, ajikuta akisifia kwa takwimu za zamani

    Kutoka mtandao wa X, kizuri Kula na mwenzio, naweka hapa ili wapiga zumari wajifunze Namna ya kumsifia unayempenda bila kujidhalilisha. Kumbuka technology haiongopi. Tunadanganya kwa faida ya Nani? Rais Samia kataa sifa hizi za kipumbavu. Pokea zile unazostahili. ==== Bandiko hili kwa hisani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania itumie takwimu za mifugo kudhibiti mafuriko

    Nchi za Afrika, ikiwemo Tanzania zimeingia kwenye historia ya kukumbana na athari mbaya za mafuriko ambazo hazijawahi kushuhudiwa kwa miongo mingi iliyopita. 2023 hadi 2024 baadhi za nchi za Afrika hususani kusini mwa jangwa la sahara zimepoteza mamia ya watu, makazi, mifugo na miundombinu...
  14. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Takwimu za JamiiForums

    Habari wana Bodi. Nimekuwa nikiwaza mara kadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu. Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu? Post zilizotumwa huku ni sahihi? Nikiwaza ndugu yangu GENTAMYCINE anaweza akawa anapost zaidi ya laki 4 peke yake...
  15. Manyanza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za talaka nchi mbalimbali

    🇮🇳India: 1% 🇻🇳Vietnam: 7% 🇹🇯Tajikistan: 10% 🇮🇷Iran: 14% 🇲🇽Mexico: 17% 🇪🇬Egypt: 17% 🇿🇦South Africa: 17% 🇧🇷Brazil: 21% 🇹🇷Turkey: 25% 🇨🇴Colombia: 30% 🇵🇱Poland: 33% 🇯🇵Japan: 35% 🇩🇪Germany: 38% 🇬🇧United Kingdom: 41% 🇳🇿New Zealand: 41% 🇦🇺Australia: 43% 🇨🇳China: 44% 🇺🇸United States: 45% 🇰🇷South Korea...
  16. Arnold Kalikawe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  17. uhurumoja

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yaongoza kwa takwimu za kufuatiliwa JamiiForums

    Club ya Young Africa inaongoza kwa takwimu za kufatiliwa JamiiForums dhidi ya mshindani wake Simba. Upendo, uchangiaji pamoja na jicho yanga inaonesha kuwa mbele sana dhidi ya Simba. Ingawa hadi Sasa team inayoongoza ni Manchester united ya Uingereza lakini wachambuzi wa mambo wanasema forum...
  18. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania 1979-2024 takwimu za watu duniani walipota maambukizi ya Virusi vya Ukimwi. Tanzania mpaka leo ipo kwenye kundi la top 5

    Kuna video ikionesha takwimu za tokea ugonjwa wa ukimwi kuingia mpaka sasa yani ulitokea uganda ila uganda kashindwa kimashindano na Watanzania. Tazama video hii: Ukimwi upo nyie wa mada zenu kula kimasihara. https://www.youtube.com/watch?v=zEpylI1uhg0
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Houth atoa takwimu ya meli walizozipiga na kusema wanakusudia kupanua wigo wa kuzuia meli za Israel zisipite bahari ya hindi yote

    Abdel-Malik al-Houthi ambaye ni kiongozi wa juu wa wapiganaji wa Houth wa Yemen amesema mpaka sasa wamefanikiwa kuzishambulia meli zenye mafungamano na Israel zipatazo 73 tanguj waanze operesheni yao ya kuwatetea watu wa Palestina. Kupitia televisheni inayomilikwa na wanamgambo hao Abdel Malik...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
Back
Top Bottom