tajiri

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama Mohamed Dewji tajiri mkubwa vile alitekwa, wewe ulikuwa na kinga gani kwa bwana yule?

    Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana. During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine walifirisiwa kabisa ama moja kwa moja au kwa kuchukua pesa kwenye akaunti zao, mfano Nimrodi mkono...
  2. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Asilimia 95 ya mabinti wanaotoka kwenye familia tajiri ni makahaba wa kutupwa!

    Kwa utafiti wangu usiotia shaka hata chembe tena kwa kujionea mimi mwenyewe hakika asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea kwenye familia tajiri ama wanaojiweza ni makahaba wa kutupwa! Ipo hivi, mawakala wa uzinzi na ma dada poa sugu miaka ya hivi karibuni wanaendesha mradi wa kuwauza mabinti...
  3. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Ukiwa masikini ukifa unaonekana umekufa tu, lakini ukiwa tajiri unaonekana umekufa kweli

    Hbari za wakati huu. Ni katika falsafa zangu binafsi naona kabisa maisha ni magumu sana ukiwa hai na ukifa ni magumu vilevile. Kuna watu wanapokuwa hapa duniani ni dhahiri hatufanani. Hats m apotangukia mbele ya haki mnakuwa tofauti sana. Uwepo wa wazaz wetu wapenz, wanapotuhudumia na...
  4. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Sandile Shezi: Tajiri Mtoto wa South aliyekimbia na Mamilioni ya Rand ya Wateja wa Forex

    Forex milionea amekula kona n mamilion ya shilingi ,kaacha mke na watoto sauzi kakimbilia ughaibuni ,na polis washatoa warant ya kumkamata popote. ========== Sandile Shezi: Everything to know about SA’s youngest millionaire As The South African reported in the final months of 2021, Sandile...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nina Mtaji wa Tsh 50,000/= tu je, niiwekeze katika Biashara gani ili nije kuwa Tajiri?

    Ndiyo hela ya mwisho niliyonayo Mfukoni mwangu na ikiisha tu sijui nitaishije hapa Mjini na Uswahilini niliko. Nishaurini haraka je, hii Shilingi Elfu Hamsini (Tsh 50,000/=) tu niliyonayo niiwekeze katika Biashara gani / Mradi upi ili inilinde hapa Mjini na pia ije kunifanya kuja kuwa Tajiri...
  6. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa tajiri ungefanya nini?

    Hamjambo vijana, Mimi kama mimi ningefanya hivi; Ningebadili duni yangu kuwa pepo yangu, ningefanya kila niwezalo kupata nivitamanivyoo kufurahisha nafsi yangu. Kwako Johnnie Walker na mshamba_hachekwi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Hivi! Viongozi wetu huwa hawatamani watanzania wafe ili wawepo wao tu?

    Hisia zangu kwa sasa ni kwamba! Tumekuwa nchi yenye viongozi wanaotamani waishi kama maisha ya kama wako peponi na kuwadharau kabisa wanaowafanya wafikie hatua ya kuishi hivyo, watu has ni, walipa kodi na masikini kabisa ambao wanaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu! Watu hawa wanyonge na...
  8. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Huwezi kuwa tajiri kwa pesa za matajiri

    You can't start to be rich if you tagert money from rich people. To be rich target money from poor people. Poor people offer big market and demand. Because poor people are MANY and always are in NEED! Kibangubangu presents.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya kugongewa mwanamume mwembamba maskini na mwanamume mnene tajiri

    Kuna uzi flani uliletwa humu jamvin kuhusu wanaume wanene matajiri hawapeleki moto ndo maana wanachapiwa sana. Mmoja wa members Basi Nenda alipinga vikali na kujigamba eti yeye ni mnene lakini anawagongea sana wanaume wembamba . Sasa tofauti ni hii. Sisi wanaume wembamba maskini tunawagongea...
  10. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Another year and another blessing, happy birthday to me tajiri

    Nimezaliwa familia ya kishua sana tena sana yaani mimi kwa sasa kumiliki bilioni kadhaa kwenye akauti kwenye akauti yangu is not big issue naenda London kama wewe unavyoenda huko kwenu kwa mtogole au unavyoenda kwenu maganzo au unavyoenda huko kwenu maji kuinama ukienda na mabasi yanayovuja huko...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa tuhuma za Dhulma za Tajiri Saalah Dhidi ya Eliud

    Kwema Wakuu! Nilikuwa nafuatilia mkasa uliokuwa umeletwa siku tatu nyuma na ndugu nokwenumuya, akiwasilisha malalamiko yake kuhusu uonevu na dhulma inayofanywa na tajiri mmoja aliyemtambulisha Kwa jina la Saalah Dhidi ya Eliud. Nikaona nitoe uchambuzi Kwa uchache ili kama taifa tuwezi kujifunza...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna tajiri aliyekuwa tajiri kwa kuomba kwa Mungu apewe utajiri

    Siri ya kufanikiwa kiuchumi ni kuenenda katika HAKI! Kwenye Biblia hakuna tajiri yeyote aliyemuambia Mungu "naomba unipe utajiri" na akapata, never na sijaona andiko hilo kwa mwenye nalo alilete. Wajanja walishaachaga kuomba utajiri. Kumbuka, Ufalme wa Mungu hutekwa na WENYE NGUVU NA MAARIFA...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Elon Musk amerudi kuwa tajiri namba moja Duniani kwa mara nyingine tena

    Bwana Elon Musk ambae alikua Tajiri namba 1 Duniani toka August 2021 hadi October 2022 na kisha kua tajiri namba 2 kwa muda wa miezi 4 hivi kutokana na kushuka kwa thamani ya hisa zake, sasa amerejea tena kileleni. Elon Musk aambaeni muanzilishi na mmiliki wa makampuni kadhaa ikiwemo Tesla...
  14. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Mwanza anunua ndege binafsi ya kutembelea

    Mfanyabiashara maarufu kijana jijini Mwanza anaingia katika orodha ya Watanzania wachache nchini na labda pia anaweza kuwa kati ya watu wawili watatu wasio na asili ya Kiasia kumiliki ndege binafsi ya kupigia misele. Kijana huyo (jina kapuni kwa sababu za kibiashara na kiusalama) ni...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

    Wanabodi, Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Faida ni bora kuliko mshahara. Mshahara utakufanya uishi tu, lakini faida inaweza kukufanya uwe tajiri

    Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina chochote lakini bado nikaandika kitu ambacho kitakufanya kesho uwe mtu mkubwa sana hapa duniani. Wapo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Forbes Africa: MO Dewji ndiye tajiri namba 1 Afrika Mashariki na Kati

    Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Forbes Januari 30, 2023, Mo Dewji alikuwa nafasi ya 15 hapo awali, amepanda kwa nafasi mbili kutokana na utajiri wake unaokadiriwa kufikia Dola 1.5 bilioni (Sh 3.5 trilioni). Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'MO Dewji amepanda kwa nafasi mbili katika...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba huwezi kuwa tajiri kama umeajiriwa au unamfanyia kazi mtu?

    Kwema wakuu? Mimi ni kijana wa miaka 20 na ndo kwanza nimeanza maisha ya kujitegemea na ndoto yangu ni kuwa tajiri siku moja. Nimekua nikisikia baadhi ya watu hasa hawa motivational speakers wakisema kuwa huwezi kutajirika kama utafanya kazi za kuajiriwa tu na hii imenifanya kuona kama sipo...
  19. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hivi Tajiri Bill Lugano, yuko wapi?

    Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano. Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao. Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Tabia 6 za buibui zinazotofautisha kati ya maskini mchapakazi na tajiri mchapakazi

    1. Uwezo wa kukamata wadudu au fedha. Maskini na watu wapambanaji huwekeza muda wao wa kazi kuzipata fedha wakati tajiri huwekeza muda huo huo wa kazi kujenga mali itakayomsaidia kutengeneza fedha kwa ajili yao. Kivipi? Buibui hufanya kazi kubwa kutengeneza utando utakaomsaidia kudaka wadudu...
Back
Top Bottom