Another year and another blessing, happy birthday to me tajiri

Chawa wa lumumbashi

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
793
1,749
Nimezaliwa familia ya kishua sana tena sana yaani mimi kwa sasa kumiliki bilioni kadhaa kwenye akauti kwenye akauti yangu is not big issue naenda London kama wewe unavyoenda huko kwenu kwa mtogole au unavyoenda kwenu maganzo au unavyoenda huko kwenu maji kuinama ukienda na mabasi yanayovuja huko

Nimezaliwa Aghakhan miaka 30 iliyopita je wewe umezaliwa nyumbani au kwenye dispensary? Pole sana nimeishi na kukulia upanga wewe umekulia wapi? Pole sana kwa hayo maisha yako ya kishindia mihogo na uji au mchembe hahahaha

Karibu nyote tuparty pale nyumbani lounge vyakula vyote vitakuwepo tafadhali kama unataka kuja please ni pm maaan unaweza kufukuzwa kama Mbwa wa kinondoni msikitini! Pole sana

Now I have billion of money kwenye account kuanzia Nmb,Absa, CRDB,BOA mpaka standard chartered na pia kama utakuwa na shida ya hela karibuni sana

" Happy birthday to me tajiri,majanja,billionaire na deep state"
 
Eeeeh! Una wazimu wewe?
 
Tatizo ni ushamba mwingi na roho ya kimaskini inakuandama

Kama wewe mwenye akili hizo za kimaskini na ndiyo upewe mgawo wako kwenye hizo mali za kurithi kama hichi unachotuambia ni kweli lakini kwa sababu wakishua huwa hawako kama wewe

Basi nakuhakikishia una kipindi kifupi sana kurudi kuwa masikini wa kutupwa kwa kuwa una asili hiyo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sent

From my TECNO kc8! Tecno ni simu au bomu? Idiot
 
Kericho county Kenya
FB_IMG_1674727224186.jpg

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe ni mtoto wa Hans Macha basi nakubali. Maana yule mzee dividend tu ya CRDB milioni 500 kila mwaka
 
Back
Top Bottom