Hivi Tajiri Bill Lugano, yuko wapi?

Intelligent businessman

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
26,317
53,219
Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.

Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.

Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.

👉Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.

Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.

Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni 👉hajibu email tunazomtumia
👉 Secretary wake hajulikani alipo
👉Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
👉 Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.

Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.

hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.

Za ndani Inasemekana 👉Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.

We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano 🙏🙏🙏
 
Salaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.

Bill Lugano ni TAJIRI MKUU WA MATAJIRI hapa JamiiForums. Nilimwambia nasoma hadithi ya UMUGHAKA ya utajiri wa kaka Ally (Ally Mpemba) akasikitika sana, akaniambia utajiri wa kishetani una mateso makali sana.

Jana kaniingizia sh. 10,000,000/ kwenye account yangu ninunue vitabu vya matajiri wakubwa duniani nione walitumia mbinu gani kufanikiwa.

Nikimaliza kusoma vitabu nimwambie nataka kufanya biashara gani anipe mtaji.

Kule Mbeya kuna maparachichi mengi sana, ikiwezekana nifanye joint venture na To yeye tulime maparachichi tukauze Ulaya
 
Salaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.

Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.

Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.

👉Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.

Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.

Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni 👉hajibu email tunazomtumia
👉 Secretary wake hajulikani alipo
👉Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
👉 Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.

Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.

hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.

Za ndani Inasemekana 👉Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.

We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano 🙏🙏🙏
Nipo brother. Sema mwanzo wa mwaka ratiba zangu zilikuwa tight. Nilisafiri na wafanyakazi wangu wote tukapumzike visiwa vya Bahama kwa utulivu mkubwa bila kuwasiliana na watu wengine dunia hii. Tumerudi salama
 
Back
Top Bottom