taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Majumuisho Katika Ziara ya UWT Taifa Mkoa wa Geita

    UWT TAIFA WAFANYA MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA MKOA WA GEITA CHATANDA : VIONGOZI WA UWT MIKOANI TOKENI MKAFANYE ZIARA KWENYE MAENEO YENU, MKASIKILIZE NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amewataka Viongozi wa UWT wa Mikoa na wa Mashina...
  2. JamiiForums Tanzania Jokate Mwegelo ateuliwa na CCM kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Taifa, iliyokutana katika kikao chake maalum, leo tarehe 1 Oktoba, 2023, jijini Dar es Salaam, imefanya uteuzi wa makatibu wakuu wa Jumuiya za Umoja wa Wanawake (UWT) na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM). Katika kikao...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

    Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Apongeza na Kusifu Kasi ya Maendeleo Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE ASIFU KASI YA MAENDELEO CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT) Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara katika Chuo cha Taifa cha Usafirisha (NIT) ili kujionea na kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya Serikali katika Chuo hicho. Mhe...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwakubusi: Vyama vya Upinzani kazi yao ni kufukuzia tu ubunge na ruzuku, haviwezi kulikomboa Taifa

    "Vyama vyetu vya siasa nadhani aidha vimechoka sana vyote vinahitaji kupumzika au viongozi wake wamechoka sana wanahitaji kupumzika, na ndio maana wanapoteza ile hamu ya kulikomboa na kulisimamia taifa, wanakuwa watu wa kufukuzana na tuvyeo, ubunge, ruzuku, kugawana, kukaa kaa mezani. Kila...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali: Huu ndio ushauri wa mwisho kwa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF)

    Katika siku za karibuni Bima ya Afya ya Taifa imekuwa gumzo kila kona, hasa inapodaiwa kwamba mfuko huu wa bima unaotoa matibabu kwa watumishi wa umma na familia zao, unakaribia kukata roho. Naomba kutangaza masilahi (declare interest) kwamba mimi ni mnufaika wa mfuko huu kupitia wazazi wangu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania wanaotetea rasilimali za Taifa wanafungwa lakini wanaoiba wanapewa promosheni?

    Kila anayesimama kutetea watanzania anafungwa na watanzania ila anayeiba anaongezewa cheo. Tumeona wale wote walioiba wakasifia watawala wanazidi kupewa nafasi nzuri ya kuiba na kula ila wale wote waliosimama kutetea wananchi wanyonge wasipofungwa basi watashinda kesi. Tukiendelea na tawala...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hurumia wazee waliolitumikia taifa kwa uaminifu leo wanalipwa Tsh 3,000 kwa siku

    Raisi wangu Samia naandika post hii nikiamini kwa huwa unapitia jukwaa hili kama siku moja ulivyotwambia. kama siyo wewe kuusoma mwenyewe basi naomba wasaidizi wako wakufikishie ujumbe huu. Kuna wazee wastaafu waliolitumikia taifa hili kwa uaminifu, na unajua kuwa huko myuma hapakuwepo ujanja...
  9. JamiiForums Tanzania Ni hasara kubwa kuwa na wanasiasa kama Mbowe wenye kujali matumbo yao

    Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania? Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti. Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ubungo DSM, Kibesa S/Msingi wanafunzi darasa la nne waamuliwa kuchangia sh. 1,000/ mfululizo mpaka watakapofanya mtihani wa taifa

    Kibesa S/msingi wilaya ya Ubungo, jijini Dar Es Salaam, wanafunzi wa darasa la nne waamuliwa kufanya mtihani mfululizo kwa gharama ya sh. 1,000 kila mwanafunzi na kwa darasa zima lenye wanafunzi 120 linalazimika kuchanga kiasi cha sh.120,000/ ikitajwa kuwa ni posho ya Mwalimu na gharama ya...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tumeshindwa kweli kutoka hapa tulipo hata kwa mambo madogo?

    Wakuu habari za wakati huu, Kama Taifa kwa miaka 60 tumeshindwa kupiga hatua katika kila nyanja hata mambo madogo yametushinda inashangaza hata mambo madogo ya wananchi kuzaa kwa mpangilio tu ili kumudu gharama za maisha haiwezekani? Mtu ana chumba kimoja ana watoto wanne mtu huyu atapiga...
  12. JamiiForums Tanzania Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri Mchengerwa kwa taifa lake

    G.O.A.T Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake! Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa, "Kuanzia leo (siku hiyo) ajira zote za umma zipitie utumishi ili kuondoa upendeleo na kuweka usawa...
  13. JamiiForums Tanzania Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
  15. JamiiForums Tanzania TFF waliwaza nini kuipa Sandaland tenda ya jezi za timu za taifa?

    Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM. Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Adui wa taifa sio Ujinga, umasikini na maradhi, bali ni ni lishe

    Aliyebuni kula liugali kubwa na kamboga kadoko au wali lumbesa na tumaharage kidogo ndio katufikisha hapa. Tunakula ili tujaze tumbo sio kushibisha seli hai kwa virutubisho jengefu. Watu wengi tunashiba tumboni lakini seli za ubongo na za maamuzi ya msingi zinalala njaa kila siku. Matokeo yake...
  17. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Maharage Chande aondolewa TTCL, ateuliwa kuwa Postamasta, Ulanga arudishwa TTCL

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. John Ulanga kuwa Balozi. Bw. Ulanga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF). Amevunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na amemteua Balozi Meja...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 20 ijayo Bila hatua stahiki tunaenda kuwa na taifa la watu kati

    Naandika kwa masikitiko sana Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara Mpaka napata kichefuchefu Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa nchi ya matukio; hongera CCM kwa kufaulu kujenga Taifa la namna hii

    Wiki chache zilizopita tulishuhudia mjadala mkali kuhusu bandari, baadaye kukaibuka tetesi za rupia kupenyezwa kwa baadhi ya wakazi wa Ufipa ili wajiondoe katika mjadala huu. Dkt. Slaa, Dkt. Nshallah, Mwabukusi, Tundu Lissu, TEC na wananchi wengine wakaendelea kutoa elimu kuhusiana na kile...
  20. JamiiForums Tanzania Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…