TFF waliwaza nini kuipa Sandaland tenda ya jezi za timu za taifa?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM.

Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za taifa.

Uhasimu wa Simba na Yanga unafahamika Je, mashibiki wa Yanga watakubali kuzinunua na kuvaa jezi za timu ya taifa zinazotolewa na kampuni inayoifadhili Simba ya Sandaland?

Kukurupuka oyeee!!!
 
Point ya Simba ilikuwa wao hawakushirikishwa kwenye mkataba ule, na mkataba ulikuwa na pesa ndogo sanaaaa, kama sikosei haifiki hata 10M kwa mwezi, na mkataba ule hadi TFF walipiga marufuku mtu kuuongelea,

Kuhusu TFF na Sandaland ni kuwa sandaland ni mfanyabiashara tu, sio mwekezaji simba tofaut na GSM ambae ni mwekezaji pale Yanga,

Wenye akili watavaa , ambao hawana akili hawatavaa
 
Maana yake Yanga wooote isipokua mzee Kikwete hawatavaa!!!
 
Uhasimu wa Simba na Yanga unafahamika Je, mashibiki wa Yanga watakubali kuzinunua na kuvaa jezi za timu ya taifa zinazotolewa na kampuni inayoifadhili Simba ya Sandaland?
Jezi za timu ya taifa si lazima wanunue, na hata wale wa Simba wasiponunua hakuna atakayewalazimisha. Lakini katika Ligi, timu zote ni lazima kuzivaa, upende usipende
 
Point ya Simba ilikuwa wao hawakushirikishwa kwenye mkataba ule, na mkataba ulikuwa na pesa ndogo sanaaaa, kama sikosei haifiki hata 10M kwa mwezi, na mkataba ule hadi TFF walipiga marufuku mtu kuuongelea,

Kuhusu TFF na Sandaland ni kuwa sandaland ni mfanyabiashara tu, sio mwekezaji simba tofaut na GSM ambae ni mwekezaji pale Yanga,

Wenye akili watavaa , ambao hawana akili hawatavaa
Rafiki wa adui yako ni adui yako pia.

Tofauti Yao ni ndogo sana, GSM anaingiza fedha Yanga na Sandaland anaingiza fedha Simba. GSM anaipa nguvu Yanga na Sandaland anaipa nguvu Simba. Yanga anaitangaza GSM na Simba anaitangaza Sandaland.
 
Mkuu, ukiendekeza Usimba na Uyanga hutafanya la maana.
 
Point ya Simba ilikuwa wao hawakushirikishwa kwenye mkataba ule, na mkataba ulikuwa na pesa ndogo sanaaaa, kama sikosei haifiki hata 10M kwa mwezi, na mkataba ule hadi TFF walipiga marufuku mtu kuuongelea,

Kuhusu TFF na Sandaland ni kuwa sandaland ni mfanyabiashara tu, sio mwekezaji simba tofaut na GSM ambae ni mwekezaji pale Yanga,

Wenye akili watavaa , ambao hawana akili hawatavaa
GSM sio muwekezaji Yanga , hii ni habari mpya kutoka kwako
 
Rafiki wa adui yako ni adui yako pia.

Tofauti Yao ni ndogo sana, GSM anaingiza fedha Yanga na Sandaland anaingiza fedha Simba. GSM anaipa nguvu Yanga na Sandaland anaipa nguvu Simba. Yanga anaitangaza GSM na Simba anaitangaza Sandaland.
Wewe acha kukaza fuvu basi.... GSM ni mdhamini wa Yanga na wakati huo huo mfanyakazi wake ndio raisi wa klabu wakati huo huo ndio kit supplier wa klabu yaani karibia kila kitu kinachoihusu klabu kinafanyiwa maamuzi na GSM hutaki endelea kukaza fuvu,
Wakati Sundaland ni kit supplier wa Simba tu yaani yeye kamegewa kipande chake ndani klabu kawekeza.... Yani hili nalolinahitaji tume kukuelewesha ukubwa wa utofauti wao?
 
Ninachofahamu Mimi Simba na mashabiki wa Simba waligomea mkataba wa TFF na GSM kuidhamini ligi. Simba na mashabiki wao waligomea kuvaa jezi zenye logo ya GSM.

Hivi karibuni TFF imeingia mkataba wa miaka 10 na kampuni inayotengeneza jezi za timu ya Simba, Sandaland kutengeneza jezi za timu za taifa.

Uhasimu wa Simba na Yanga unafahamika Je, mashibiki wa Yanga watakubali kuzinunua na kuvaa jezi za timu ya taifa zinazotolewa na kampuni inayoifadhili Simba ya Sandaland?

Kukurupuka oyeee!!!
Wallace Karia....
Mwanasimba mtupu ..
 
Uongozi wa TFF una nasaba na Simba
 
Nature ya mikataba ni tofauti, ule mkataba wa GSM na TFF ulikuwa ni kwa ajili ya clubs sio timu ya Taifa, yaani club zote zivae jezi yenye nembo GSM huku malipo kwa clubs yakiwa kiduchu.
Mkataba wa Sandaland na TFF , ni wa timu ya Taifa, hakuna club inayolazimishwa kuvaa jezi ya timu ya Taifa pia malipo si kwa clubs ni kwa TFF.
 
Wewe acha kukaza fuvu basi.... GSM ni mdhamini wa Yanga na wakati huo huo mfanyakazi wake ndio raisi wa klabu wakati huo huo ndio kit supplier wa klabu yaani karibia kila kitu kinachoihusu klabu kinafanyiwa maamuzi na GSM hutaki endelea kukaza fuvu,
Wakati Sundaland ni kit supplier wa Simba tu yaani yeye kamegewa kipande chake ndani klabu kawekeza.... Yani hili nalolinahitaji tume kukuelewesha ukubwa wa utofauti wao?
Simba inapata fedha kutoka Sandaland kutokana na mauzo ya jezi, Fedha hii inakwenda kuishibisha Simba. Adui yako muombee njaa ili ashindwe kucheza vizuri. Yanga Kununua jezi za timu ya taifa inayotolewa na Sandaland ni sawa na kumuongezea chakula adui yake. Think critically brother.
 
Nature ya mikataba ni tofauti, ule mkataba wa GSM na TFF ulikuwa ni kwa ajili ya clubs sio timu ya Taifa, yaani club zote zivae jezi yenye nembo GSM huku malipo kwa clubs yakiwa kiduchu.
Mkataba wa Sandaland na TFF , ni wa timu ya Taifa, hakuna club inayolazimishwa kuvaa jezi ya timu ya Taifa pia malipo si kwa clubs ni kwa TFF.
Kwahiyo Sandaland anafaidikaje kwenye mkataba huu wa kusambaza jezi kwa timu zetu za taifa?
 
Simba inapata fedha kutoka Sandaland kutokana na mauzo ya jezi, Fedha hii inakwenda kuishibisha Simba. Adui yako muombee njaa ili ashindwe kucheza vizuri. Yanga Kununua jezi za timu ya taifa inayotolewa na Sandaland ni sawa na kumuongezea chakula adui yake. Think critically brother.
Huu ndo tunaitaga ukiritimba wa akili na mawazo sasa... Ficha huo ujinga wako
 
mjinga ni wewe bro! yaani unataka mashabiki wa Yanga waichangie Simba indirectly kupitia kununua jezi za timu za taifa? unadhani watu wote ni wajinga hivyo? Nani hajui kuwa simba inapata pesa kutoka Sandaland kupitia jezi? Nani hajui kuwa Sandaland itapata fedha kupitia ku supply jezi kwenye timu za taifa kupiti mkataba huu? Nani hajui kuwa hata wanachama na mashabiki wa Yanga watanunua jezi za timu za taifa? Hii ni hesabu ndogo tu ya kama A=B and B=C, why A should not be equal to C? nyashu!!!!

Given, A=Simba, B= Sandaland na C= Taifa Stars.
 
Unachokiamini wewe ni huo ujinga wako ulioleta hapa kua upo sawa, sasa usitake kila mtu awe na ujinga wa mawazo kama wewe kama hutaki endelea kukaza fuvu....
 
Kwahiyo unachobisha hapo ni nini? Kwamba pesa za jezi haziendi Sandaland? au kwamba Sandaland haiipi Simba pesa? Au kwamba wapenzi wa Yanga wakinunua jezi za timu ya taifa pesa haifiki Sandaland? Nonsense!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom