taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wadhifa wa Mwenezi Taifa CCM ni sawa na DPP, IGP au DCI

    Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania. DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa sana la kiufundi kumteua Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM Taifa

    Huenda ni kwa kutotathmini au kushauriwa vibaya kwa CCM kumpendekeza Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, hili litakigharimu kwa kiasi kikubwa sana. Hii ni nafasi ya kukisemea chama kwa wananchi na siyo kwenda kulazimisha baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali kufanya kazi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni vigogo gani wanatengeneza jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars? Kwanini dola inaogopa kuwachukulia hatua? Wanalipa kodi?

    Nimeona viongozi wa vilabu vya mpira ndio wanahangaika na watu wanaotengeneza jezi feki. Najiuliza ni halali kisheria mtu kutengeneza jezi feki Tanzania? Mbona kwenye bidhaa nyingine watu huchukuliwa hatua kali za kisheria? Au wanaotengeneza ndio vigogo wenye nchi? Tukiendelea hivi haiwezekani...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli usiofundishwa kuhusu rangi za Bendera ya Taifa (Tanzania)

    Ni kwamba bendera ina jumla rangi nne lakini kati ya rangi hizo hakuna rangi inayoitwa NJANO bali ni rangi ya DHAHABU ambayo ilikusudiwa kuwakilisha madini tuliyonayo nchini Swali la msingi ni kwa nini sasa tukaijua njano na kuitumia kisha dhahabu tukapotezea?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM ni hatari kwa taifa hili

    Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau kwa wanaCCM na watanzania ni nini. Mtu mwenye tuhuma za kugushi vyeti, mvamizi wa vituo vya tv...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  7. JamiiForums Tanzania Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga

    Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam. Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam. Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini...
  8. JamiiForums Tanzania Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

    Toka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi. Saudia iko wap na uwezo wake? Qatar je kwann wasitoe hata vifaa? Misri jirani kabisa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tulipende Taifa letu na Rais wetu ili Taifa lipate Baraka za Mungu

    Leo nazungumzia upendo kwa Taifa pamoja Rais wetu. Nilazima Taifa letu kwanza ndio iwe ibada yetu sisi wa Tanzania na jambo la pili ni Rais wetu wa Jamuhuri ya Muungano na yule wa Zanzibar. Jamani tuwapende mambo mazuri yatatokea napenda kuwakumbusha tupunguze midomo na Tupunguze maneno mengi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Huduma na Mazingira katika Wodi No. 11 Jengo la Kibasila, Hospitali ya Taifa -Muhimbili hairidhishi

    Wodi namba 11 ni miongoni mwa wodi za wanaume zilizopo jengo la Kibasila katika Hospitali ya taifa Muhimbili (Upanga) Hali ya mazingira katika wodi hiyo sio nzuri 1. Sakafu ni chafu 2. Mashuka yamepauka 3. Vitanda vimechoka na vimepangwa kwa kusongamana 4. Vyandarua licha ya kuwa na rangi...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Mama wa Taifa ni Rais Samia vipi kuhusu Maria Waningu Gabriel Magige Nyerere?

    https://youtu.be/jwNlcsJu8Nw Maria Waningu Gabriel Magige aliyezaliwa 31 December 1930: Kutimiza miaka 94 ifikapo 31 Desemba 2023
  12. JamiiForums Tanzania Miradi mikakati yote aliyoianzisha hayati Magufuli imekwama kutekelezeka. Taifa letu linakwamishwa na genge la watu wachache wasio na nia njema

    SGR kipande cha Dar mpaka Dodoma angekuwepo hayati JPM sasa hivi kingekuwa kimekamilika. Hali ya usafirishaji mizigo na abiria ingeimarika. Mradi wa JNHP kwa mwaka huu ungeanza kuzalisha umeme na bei ya umeme ingepungua. Mgao pia ungeisha kabisa. Hii ni mifano tu ya miradi ambayo imekwamishwa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania MUNGU saidia taifa hapo kesho lisihaibike..

    Habari.. Toka uwanja ukalabatiwe kesho ndo itakuwa mechi ya kwanza kupigwa. Kuna mambo kadhaa nayaona yanatokea kesho. 1.simba kufungwa goli zaidi 3. 2..umeme kukatika ghafla Wanasema kuna standby generator,ila hofu yangu ipo kwa wanaomkwamisha mama samiha ,nahisi washahonga pesa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kumtambua Rais Samia kama Mama wa Taifa ni kujenga familia (nchi) imara

    Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi. Ni muda mrefu nilikuwa nawaza Kwa mazuri anayofanya Rais Samia ni vyema atambuliwe rasmi kama Mama wa...
  15. JamiiForums Tanzania Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    Hii dhana inaitesa sana dunia, mpaka karne hii kuna wapumbavu wanamini Israel ni taifa Mungu!! 🤔 ni uongo mkubwa sana. Mungu gani mbaguzi? Je, Mungu anapenda wanavyoua raia wasio na hatia? Mungu anawachukia wapalestina? Kama sio wazungu Israel isingekuepo leo hii. Hata Misri tu inatosha...
  16. JamiiForums Tanzania Zanzibar kufuta mitihani ya Taifa na kuwa na Mfumo Mpya wa Elimu

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inafanya mageuzi makubwa ya mfumo wa elimu kuanzia sasa hivi. Watakuwa na mpango wa muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu. Katika mipango hiyo kuna mitihani ya Taifa ambayo itafutwa kabisa. Hawaoni sababu ya kuwepo kwa mfumo wao mpya wa elimu. Jinsi...
  17. JamiiForums Tanzania Betting yachangia billioni 170 katika pato la taifa kwa mwaka 2022/2023

    Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzishwa kwake July 01, 2003 ambapo imesema ndani ya miaka hiyo imefanikiwa kuchangia pato la Taifa kufikia Tsh. bilioni 170.43 kwa mwaka, kuongeza ajira kwa vijana na kuvutia uwekezaji wa kampuni 67 za kitaifa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini Taifa Stars (Tanzania) haichezi mechi nyingi za kirafiki kama mataifa mengine?

    Wanajukwaa natumai nanyi ni mashuhuda timu yetu ya taifa stars haipati mechi nyingi za kirafiki tofauti kabisa na mataifa mengine hata majirani zetu wote wanacheza kwanzia mechi mbili hadi tatu kipindi cha ratiba ya FIFA ya mapumziko ya ligi mbalimbali Duniani. Taifa hili lina tatizo gani...
  19. JamiiForums Tanzania Swali kwa Kitila Mkumbo; Kama Sauti ya Askofu (anayetaka Samia kuitwa Mama wa Taifa ni ya Watanzania) vipi Ile ya TEC iwe sio ya Watanzania?

    Hilo ni swali tu Wala Sina ugomvi Wala husda ya MTU yoyote kuitwa vyovyote vile aitwavyo. Inawezekanaje Askofu (sijui kama ni Askofu KWELI) kutaka Samia kuitwa Mama wa Taifa iwe ni Sauti ya Watanzania na..... 1. Isiwe ni Sauti ya Watanzania Kwa wale Maaskofu wa TEC kuhusu "kuuzwa" Kwa bandari...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

    Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango. Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…