taifa

The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة‎ ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Sospeter Muhongo: Mapendekezo ya Mpango wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    LEO BUNGENI: MAPENDEKEZO YA MPANGO WA TAIFA KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 - Mchango wa Prof Muhongo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ameshauri yafuatayo: *Mipango yetu ya maendeleo ilenge kupunguza umaskini kwa kasi kubwa *Uwekezaji wetu ulenge kupunguza umaskini kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuiombee nchi ya Israel: Haikanushiki kuwa Israel ni Taifa teule la Mungu. Hii haina maana kuwa Waisrael wote hawana makosa, tuwaombee

    Tatizo la msingi la Wayahudi ni kauli yao hii waliyoisema juu ya Yesu: Math 27:25. Wakasema damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu! Tuwaombee Mungu awape kutubu na kupokea rehema. Natamani Mungu awajalie kutubu kama taifa la NINAWI lilivyotubu kwa mahubiri ya Nabii Yona!
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe akichangia Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025

    "Katika taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2024-2025, Matarajio yangu ni kuona sasa kuwa na Mipango ya Nchi yetu ambayo inatekelezeka kwa muda mfupi na muda mrefu. Mipango ambayo itajibu matarajio ya wananchi" - Saashisha Mafuwe, Mbunge wa Jimbo la Hai "Ili...
  4. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Tume ya Mipango ya Taifa Iwe Taasisi Inayojitegemea, Ataja Faida za Kuwa na Taasisi ya Mipango ya Taifa Inayojitegemea

    MBUNGE REUBEN NHAMANILO: TUME YA MIPANGO YA TAIFA IWE TAASISI INAYOJITEGEMEA, ATAJA FAIDA ZA KUWA NA TAASISI YA MIPANGO YA TAIFA INAYOJITEGEMEA "Mwaka 1961 - 1964 Mipango ya Taifa imekuwa ikipangwa na Tume ya Maendeleo ya Uchumi. Mwaka 1965 Mipango tukaipeleka Ofisi ya Rais Idara ya Mipango na...
  6. JamiiForums Tanzania Wiki hii jezi ya Yanga kama vazi la taifa

    Tangu tuwafunge Makolo naona mitaani jezi ya Yanga imetawala huku ni nadra sana kukutana na mtu kavaa jezi ya Simba. Kila ninapopishana na watu kumi basi wawili au mmoja kavaa jezi ya Yanga Hakika kuwafunga Makolo kuna raha yake tena uzuri zaidi tumewashindilia za kutosha Sijui kama Makolo...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali inapanga kutumia Tsh. Trilioni 12.10 kulipa Deni la Taifa, Mishahara Tsh. Trilioni 11.77

    Serikali imepanga kulipa kiasi hicho kutoka katika Makusanyo ya Tsh. Trilioni 47.42. Kwa mujibu wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba, Makusanyo hayo pia yatagharamia Miradi ya Maendeleo Tsh. Trilioni 15.32 na Shughuli nyingine za Serikali Tsh. Trilioni 8.22 Fedha za Maendeleo zitajumuisha...
  8. M

    JamiiForums Tanzania HAMAS: Tuna uhakika taifa la Palestna litashinda vita na wavamizi Wazayuni

    Nov 05, 2023 06:46 UTC Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika vita vinavyoendelea Ghaza hivi sasa. Televisheni ya Al Jazeera imemnukuu, Osama Hamdan, mmoja wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  10. JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Kuchangia Pato la Taifa kwa Asilimia 10 Ifikapo Mwaka 2025

    Hatua hiyo inataokana na mikakati mbalimbali ikiwemo kufanya mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010, yaliyotekelezwa mwaka 2017, hivyo kuundwa Tume ya Madini. - Mikakati hiyo imebainishwa na Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba alipozungumza na waandishi wa habari...
  11. JamiiForums Tanzania Sagini ashiriki mazishi ya Mjukuu wa Baba wa Taifa

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mbunge wa Jimbo la Butiama, Jumanne Sagini na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi wakiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Daudi Charle's Nyerere mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mhe. Charle's Makongoro Nyerere wakati wa...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wa Hayati Magufuli wanaopanga kuleta sintofahamu Bungeni mnatakiwa kutambua ufisadi alifanya aliyewaingiza Bungeni

    CAG afichua Serikali ya Magufuli ilivyoisababishia taifa hasara ya Sh 1.7 Trilioni mradi wa SGR Ripoti mpya ya CAG iliyotolewa Aprili 6, 2023, yasema Serikali ya Awamu ya 5 ilivunja sheria ya nchi kwenye utoaji wa kandarasi ya reli llikubali masharti mabovu ya Benki ya StanChart kuwapa...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwl. Nyerere aliwaza nini akafanya maamuzi haya kwenye Muungano?

    Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika na kutakuwa na Taifa la Tanzania ambapo Taifa Hilo litauwa Taifa la Tanganyika na kuwa Tanzania wakati Zanzibar atabaki na Taifa lake na bendera zake. Kutakuwa na Taifa moja ila lenye Ardhi moja itaitwa Ardhi ya Watanganyika wakati nyingine itaitwa Ya...
  14. JamiiForums Tanzania Picha: Waziri Mkuu Kassimu Majilwa akiwa na Paul Makonda mwenezi wa CCM taifa

  15. JamiiForums Tanzania Israel si taifa la Mungu, Palestina taifa teule?

    Miaka 2000 ya kuwa kwenye diaspora Israel hawakupoteza identity yao, lugha yao wala dini yao. Warumi chini ya Kaisari Nero wali besiege Jerusalem na kuwatawanya kwenye dola yao maana walikuwa wakaidi hawakukubali kuabudu miungu mingi ya kirumi walikuwa jamii pekee iliyoamini katika Monotheistic...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
  17. JamiiForums Tanzania Alichonijibu huyu tapeli wa mtandao kimenifanya nitafakari mno juu ya Taifa langu Tanzania

    Habari, Leo asubuhi nilipokea ujumbe kwa namba ngeni ukisema "Mbona siku zinakwenda upo kimya" Mwisho kajitambulisha kuwa ni mwenye nyumba. Nikajua tu ni tapeli wa mtandaoni anajaribu bahati huenda akatumiwa pesa na mmoja wa wapangaji wanaodaiwa na wenye nyumba. Nikampigia akapokea simu kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tuungane kupiga vita madawa ya kulevya! Nguvu kazi ya Taifa inateketea sana

    Wakuu hali inatisha vijana ambao ni nguvu kazi ya Taifa inaendelea kuteketea kila kukicha. Hali ni mbaya wakuu!
  19. JamiiForums Tanzania Comrade Kawaida wa CCM anavyomwita Rais Samia 'Mama wa Taifa' siyo sahihi

    Huyu Comrade nadhani yupo CCM Morogoro. Anamwita Rais Samia 'Mama wa Taifa',hii siyo sahihi. Yaani, Mama wa Taifa kwa maana ipi? Kwamba Taifa halina Mama wa Taifa na linahitaji Mama wa Taifa,au uupo Mama wa Taifa sasa hivi,na anahitajika kubadilishwa apatikane mwingine. Halafu huyu Comrade...
  20. JamiiForums Tanzania TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

    TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland. Home kit Away Kit Third Kit
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…