The taifas (singular taifa, from Arabic: طائفة ṭā'ifa, plural طوائف ṭawā'if, a party, band or faction) were the independent Muslim principalities of al-Andalus (Spain) that emerged from the decline and fall of the Umayyad Caliphate of Córdoba between 1009 and 1031. They were a recurring feature of Andalusian history. Conquered by the Almoravids in the late 11th century, on its collapse many taifas re-appeared only to be subsumed by the Almohads. The fall of the latter resulted in a final flourishing of the taifas, but by the end of the 13th century only one remained, Granada, the rest being incorporated into the Christian states of the north.
WanaJF Salaam
Ni siku nyingine muhimu kabisa katika historia ya chama kikuu cha upinzani nchini CHADEMA.
Baraza Kuu jipya la Chadema linakutana leo maalum kuichagua sekretariati mpya ya chama hicho itakayokivusha katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020.
Kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho...
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) kimefanikiwa kuziunganisha mahakama 52 nchi nzima na Mkonga wa Taifa wa Mawasiliano.
Kitendo hicho kitasaidia urahisi wa mawasiliano miongoni mwa mahakama mbalimbali hivyo kuwezesha uhamishaji wa mafaili, Jambo litakalopunguza muda wa kufuatilia rufaa...
Baada ya mapokezi ya Bombadier majuzi kule Mwanza, upande wa pili, Rais wa Zanzibar Dk Shein aliwaalika Ikulu wachezaji wa Timu ya Taifa ya Soka kwenda kula nao chakula na isitoshe akawapa na zawadi Fedha, kwa kazi nzuri waliofanya kule Kampala katika mashindano ya CECAFA!Katka hali ya kawaida...
Hii Wizara ishakuwa kidonda ndugu, ubora wa elimu unashuka kila kukicha wahitimu tunaozalisha hawakidhi vigezo vya soko la ajira.
Shule zetu za umma uwiano wa wanafunzi kwa Mwalimu hauendani na uhalisia watoto wetu kila siku wanadaiwa hela na maelezo sahihi mwanangu wa Darasa la pili kila siku...
Habari!
Taifa ni watu na tunapozungumzia mchango wa taifa katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia tunamaanisha jitihada za watu katika taifa husika katika kulitekeleza hilo.
Katika historia kuna watu wengi maarufu kutokana na vipaji pamoja na maarifa waliyokuwa nayo hapo zamani yaliyokuwa...
Tangu awamu hii iingie madarakani kuna dalili za ukweli kuwa chuki inazidi kujengeka sana miongoni mwa jamii. Nina ndugu yangu upinzani lakini amekuwa na kinyongo sana nami (ingawa haoneshi) kwa namna uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulivyoendeshwa. Anazungumza huko, watu wanasikia, wananiambia...
Salamu!
Katika taifa linalo jinasibu kuwa ni la 'Kidemokrasia' na pia lenye 'Hazina Kubwa' ya viongozi (wa kila rika na jinsia), kuna ulazima ama umuhimu gani kwa kiongozi wa taifa hilo kuongezewa ukomo wa muda wa kukaa madarakani?
Nafahamu kuna watakaosema kuwa "kama wananchi wanahitaji...
Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania.
Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
Ni wazi kwamba tunapotoka majumbani na kwenda kujitafutia riziki, au tukiwa na matatizo mbai mbali, tunapitia sehemu nyingi na tunasaidiwa na wengi. Tukipanda dala dala hatuuizi dereva ni dini gani, au kondakta ni dini gani. Hivyo hivyo tukienda kununua mchele dukani. Wala hatuulizi daktari au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.